TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Habari wadau,
Sheria zetu na mtu anayekutwa na kosa la mauaji nashauri ibadilishwe waweke miaka 15 tu inatosha maana lengo la kumuweka mtu jela ni ajifunze naamini miaka 15 atakuwa amejifunza kumuweka maisha jela ni kuipa mzigo tu serikali usio na tija pia kuharibu maisha ya wategemezi wake.
Pia tuangalie sheria ya kumiliki bunduki au bastora ni vizuri ingefanyiwa mapitio ili kila Mtanzania awe na yake ili kujihakikisha usalama na kupunguza uonevu katika jamii zetu.