TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Hao ndio wasomi wa TANZANIA.Kuna nyuzi flani ulidai umesoma Nuclear Science nje. Kwa nyuzi zako za siku hizi napinga ingawa siwezi prove.
Watanzania wana haki za msingi nyingi wanahitaji kuliko kumiliki silaha. Bunduki sio smartphone. Unataka kuitumia kuingiza kipato, kwa njia zipi?
Ni mtazamo wangu, je wewe una mtazamo gani?Kuna nyuzi flani ulidai umesoma Nuclear Science nje. Kwa nyuzi zako za siku hizi napinga ingawa siwezi prove.
Watanzania wana haki za msingi nyingi wanahitaji kuliko kumiliki silaha. Bunduki sio smartphone. Unataka kuitumia kuingiza kipato, kwa njia zipi?
Jibu unalo kwamba watu hawahitaji bunduki ili wafanye mauaji, hivyo hakuna maana kuweka sheria ngumu ambazo zitawafanya matajiri tu ndio wamiliki bunduki ,je wa hali ya chini masikini hawana haki ya kujilinda?Anayeuliwa hana wategemezi? Sasa hivi Sheria ngumu hivi lakini bado mauaji kila siku, wakipunguza unahisi hali itakuwaje?
Pumbavu zako
Research iliyofanywa na John Lott ilionyesha More Guns,Less crime tafuta kitabu cha huyo mwamba.Anayeuliwa hana wategemezi? Sasa hivi Sheria ngumu hivi lakini bado mauaji kila siku, wakipunguza unahisi hali itakuwaje?
Pumbavu zako
True bro..!More guns,less crime,na wala sio less guns less crimeNaona tutakuwa tunaelewana kirahisi sana
Nasoma vitabu bro kabla sijashusha uzi .Kuzunguka koote kumbe unapanga kuua[emoji1]
unaona somalia , sudan, south afrika , syria , marekani watu wanayo uana tua matatizo mengi mkuu haya tuliyonayo yanatoshaHabari wadau...!
Sheria zetu na mtu anayekutwa na kosa la mauaji nashauri ibadilishwe waweke miaka 15 tu inatosha maana lengo la kumuweka mtu jela ni ajifunze naamini miaka 15 atakuwa amejifunza kumuweka maisha jela ni kuipa mzigo tu serikali usio na tija pia kuharibu maisha ya wategemezi wake.
Pia tuangalie sheria ya kumiliki bunduki au bastora ni vizuri ingefanyiwa mapitio ili kila mtanzania awe na yake ili kujihakikisha usalama na kupunguza uonevu katika jamii zetu.
Wanauana sababu nyingi sio kwamba siraha ndio zinawafanya wauane hata wangepewa mapanga bado tu wangeuana tu.unaona somalia , sudan, south afrika , syria , marekani watu wanayo uana tua matatizo mengi mkuu haya tuliyonayo yanatosha
Lakini pia si kuna sheria kali kwa wale wanaofanya muwaji. Je sheria hiyo imeweza kupunguzu kesi au bado wanauwana tuuuDah marekani Wana hyo sheria ya kumiliki silaha daily wanauana kama mahayawani wa nyikani, Bora tubaki hivo hivo tulivo na sheria zetu
unahisi kwamba wakati naandika uzi nilikuwa na ka K-vant kadogo😂😂😂Kiufupi ni kwamba UMELEWA..!