Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
- Thread starter
-
- #81
Yaani hawa mabeberu hawajui sisi ni nchi huru!!..UV-CCM mnatakiwa muandamane kulaani walichokifanya mabalozi.
..wameingilia uhuru wa vyombo vya dola na mahakama zetu kwa kumuondosha mtuhumiwa anayetakiwa mahakamani.
Huwezi soma sheria Tanzania ukafanya kazi ulaya kwa sheria hiyo. sheria ya Tanzania siyo applicable ulaya ni mpaka arudi darasani tena kukubalika ulaya.Vigezo ni usome kuongezea kinachokosekana na anaweza. Hivyo bado kabisa kusema eti hawezi kuwa lecturer. Pia ziko kazi nyingi anaweza kufanya pia tena UN. He is intelligent and capable
Wabongo bhana wana maneno hawajui mbowe ana biashara zake nyingi na ma assets kibao kama kumbi za starehe, hotels , wabongo wengi sio watafiti ni waropokaji😂😂Mkuu mbowe kaanza kushika hela kabla kizazi cha tatu nyuma huko kwenu hamjajua kusoma na kuandika. Usimchukulie poa.
Na ni lazima ajifunze lugha kwanza (kama ni ubelgiji), siyo ulaya yote wanashobokea Kiingereza kama huku kwetu tulivyo.Huwezi soma sheria Tanzania ukafanya kazi ulaya kwa sheria hiyo. sheria ya Tanzania siyo applicable ulaya ni mpaka arudi darasani tena kukubalika ulaya.
Nchi mbili tu ulaya unaweza ku operate kwa kiingereza nazo ni UK na Ireland republic. Nchi zingine zote lazima ujifunze lugha zao kwa ubelgiji ama kifaransa ama flemish.Na ni lazima ajifunze lugha kwanza (kama ni ubelgiji), siyo ulaya yote wanashobokea Kiingereza kama huku kwetu tulivyo.
Hapo sasa. Na huko ubelgiji wakongomeni kibao wamesoma tena kuzidi huyo kamanda na wapo wanazagaa tu.Nchi mbili tu ulaya unaweza ku operate kwa kiingereza nazo ni UK na Ireland republic. Nchi zingine zote lazima ujifunze lugha zao kwa ubelgiji ama kifaransa ama flemish.
Ubelgiji karibu nusu ya population ni wa congo men kutoka fansi ya Kinshansa na Brazavile.Hapo sasa. Na huko ubelgiji wakongomeni kibao wamesoma tena kuzidi huyo kamanda na wapo wanazagaa tu.
Ndio maana kamanda alijifunza kunyoa kiduku alipokuwa huko ili naye afanane nao kidogo (les sapeur).Ubelgiji karibu nusu ya population ni wa congo men kutoka fansi ya Kinshansa na Brazavile.
Kilaza ndiyo anasoma miaka 10 PhD au kukutana na figusi za Supervisors wa Tanzania. Nilisoma nchi moja kati ya Scandinavian kwa Miaka 4 kasoro nikarudi Tz niliowaacha tumeanza wote PhD bado tu Thesis haziishi. Kuna waliotumia almost 10 yrs hasa wa Uchumi. The World is not fair and worse in Tanzania.Asome nini Tundu Lisu yuko over 50 ? Hata akianza leo atamaliza labda tayari anakaribia au keshagonga 60, hiyo kazi atakupa nani wakati kuna vijana wanaingia labor market wako late 20' s au early 30' s? Hata huko UN siyo rahisi hivyo kama mnavyofikiria ingekuwa hivyo angeshapata tayari zamani sana tu, huyo kaenda kuomba ukimbizi ina maana atakuwa anaishi kutegemea hela ya Serikali ya hiyo nchi, ...
Yes ndiyo maana nimesema atasoma kinachokosekana au asomee kingine siyo lazima aendelee na sheria. Na after all hakuna anayejua kazi ambayo atafanya kwa sasa kisiasa. I tell you the guy will be extremely busy busy na mapambano kwa Njia nyingine. Lissu ni super talented kwenye issues za ukombozi. Ni kipaji chake toka akiwa anasoma lower classes mpaka uppers.Huwezi soma sheria Tanzania ukafanya kazi ulaya kwa sheria hiyo. sheria ya Tanzania siyo applicable ulaya ni mpaka arudi darasani tena kukubalika ulaya.
Mkuu mbowe kaanza kushika hela kabla kizazi cha tatu nyuma huko kwenu hamjajua kusoma na kuandika. Usimchukulie poa.
Unatumia unyeo kufikiria,maana maneno yako yana harufu ya kinyesi.
Aahhhh wapi? Kwao Mbowe alizaliwa akakuta kwao wanapikia chai noti. Wana utajiri wa kutosha. Wana assets mpaka nje ya nchi. Hivi unamlinganisha Mbowe na nani ako vile?
Hahhaa ukiona bado anataka hela ujue nibtabia ya ujasiriamali aliyonayo siyo njaa kama ya kwako. Alishaishinda njaaweka akiba ya maneno,wacha kujifanya unamjua mbowe kuliko baba yako.
Watu mmejaa ujinga mwingi sana juu ya huu upinzani usio na tija,na yamkini mnao andika hapa mkawa ndiyo ninyi wenyewe wachumia tumbo mnajaribu kuchukua mawazo ya wananchi kujua tunakufikirieni nini.Kwa mtazamo wangu, pamoja na Godbless Lema na familia yake kupewa hifadhi ya kisiasa nchini Kenya, Lema na familia yake watakuwa salama zaidi iwapo wataishi nje ya region hii ya Afrika Mashariki na zaidi wakiwa Ulaya,Marekani au kwingineko licha ya ukweli kuwa hadhi ya ukimbizi aliopewa nchini Kenya inatosha kumhakikishia usalama wake.
Hivyo ,ninaamini Tundu Lissu akiwa nchini Ubelgiji, anaweza kufanya mipango/kushawishi nchi za ulaya hasa Ubelgiji atakokuwa anaishi, kuhakiisha Lema na familia yake wanahama nchini Kenya na kwenda kupata hifadhi katika mojawapo ya nchi za Ulaya,Marekani au katika nchi nyingine tofauti na Kenya ambapo anaweza kukaa kwa muda tu.
Ni imani yangu pia Lissu atafanikisha mambo mengi ya kusaidia wapinzani wenzake pamoja na vyama vya upinzani akiwa huko ughaibuni-anakwenda kuanzisha movement za kusaidia mabadiliko akiwa huko Ulaya pasipo kuvunja au kukiuka mashariti ya kupewa hifadhi katika nchi za watu.
Muda utaongea.
Safi kabisa hata Mbowe ikiwezekana aondoke maana usalama wake ni muhimu kuliko pesaKwa mtazamo wangu, pamoja na Godbless Lema na familia yake kupewa hifadhi ya kisiasa nchini Kenya, Lema na familia yake watakuwa salama zaidi iwapo wataishi nje ya region hii ya Afrika Mashariki na zaidi wakiwa Ulaya,Marekani au kwingineko licha ya ukweli kuwa hadhi ya ukimbizi aliopewa nchini Kenya inatosha kumhakikishia usalama wake.
Hivyo ,ninaamini Tundu Lissu akiwa nchini Ubelgiji, anaweza kufanya mipango/kushawishi nchi za ulaya hasa Ubelgiji atakokuwa anaishi, kuhakiisha Lema na familia yake wanahama nchini Kenya na kwenda kupata hifadhi katika mojawapo ya nchi za Ulaya,Marekani au katika nchi nyingine tofauti na Kenya ambapo anaweza kukaa kwa muda tu.
Ni imani yangu pia Lissu atafanikisha mambo mengi ya kusaidia wapinzani wenzake pamoja na vyama vya upinzani akiwa huko ughaibuni-anakwenda kuanzisha movement za kusaidia mabadiliko akiwa huko Ulaya pasipo kuvunja au kukiuka mashariti ya kupewa hifadhi katika nchi za watu.
Muda utaongea.
Hamna mtanzania hata mmoja aliyemsindikiza isipokuwa mabeberu?Safi kabisa hata Mbowe ikiwezekana aondoke maana usalama wake ni muhimu kuliko pesa
We mpuuzi kweli wewe na shule yako unafanya nini? sifa za kijinga kabisa eti shule bado una mawazo ya kizamani sn. Mtu huna hata bajaji pamoja na shule yako, watu wanataka pesa na siyo huo ujinga wa shule, hayo makaratasi yako siku ukifa yanaishia hapo hapo kaburini, Lema ana maghorofa watoto watarithi, hivyo vyeti vyako watoto wako watarithi? shame on you na shule yakoHuyu Lema hata shule hana,America au Ulaya atafanya kazi gani ?Ataweza kuosha vyombo Mac Donald au kufanya kazi supermarket ya kupanga bidhaa ?