Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Jamaa ameweka heshima hata Nyerere hajawahi kusindikizwa na balozi yeyetoHamna mtanzania hata mmoja aliyemsindikiza isipokuwa mabeberu?
Sawa atakuwa rais wa Ujerumani ,Ubelgiji na Marekani
Unafurahia huu Ujinga eti... Muda utaongea yatamkuta aliyekaribu nawe,....Lema alishaandaliwa charge sheet.
1st count: utakatishaji fedha.
2nd count: kumiliki genge la uhalifu
3rd count: ugaidi
Hapo hakuna dhamana, bahati yake amewawahi, angeozea jela.
Hahhaa ukiona bado anataka hela ujue nibtabia ya ujasiriamali aliyonayo siyo njaa kama ya kwako. Alishaishinda njaa
We mpuuzi kweli wewe na shule yako unafanya nini? sifa za kijinga kabisa eti shule bado una mawazo ya kizamani sn. Mtu huna hata bajaji pamoja na shule yako, watu wanataka pesa na siyo huo ujinga wa shule, hayo makaratasi yako siku ukifa yanaishia hapo hapo kaburini, Lema ana maghorofa watoto watarithi, hivyo vyeti vyako watoto wako watarithi? shame on you na shule yako
Anapesa wewe una nini?[emoji1][emoji1]leo lema anatafuta pesa sio ukombozi wako tena.
kwani hizi akili zenu ni kama umeme wa tanesco zinakuja na kukata??
Mabegi meusi ndio tatizo, sio CCM kama chama cha siasa chenye nguvu.Impact ya Lissu ni Nini? Kakuta chadema ina wabunge 70+ kaacha zero. Ana -ve impact
Kimei kavhungulia fursa tu. Na huko Kili hamna jimbo permanent la ccm. Anytime wale jamaa wanapindua meza muulize Kimei kama ni jamaa yako anajua walichomfanya huko vunjo.kwani hujui kama mbowe ni mchaga kama wachaga wengine???
mimi nina njaa lakini siko tayari kutapeli hisia za mtu.
mtafute kimei,ndio utajua bado hujawajua wachaga.
How could I?!Unafurahia huu Ujinga eti... Muda utaongea yatamkuta aliyekaribu nawe,....
CCM wanaogopa kushindwa kuliko hata kifo cha kawaida. Hawako tayari au hata kuamini kuwa inaweza kukabidhi chama kingine madaraka.Hivi usanii wa chadema utaisha lini? Wananchi wameshawashutukia, uchaguzi uliopita ni kupimo tosha. Nauliza majina ya wabunge wa viti maalum ni yepi? Maana naona kama mnataka kupindua meza kwa kuweka ama ndugu zenu au wake zenu!! Chadema ni usanii tupu
NI LENGO LA TUNDU LISSU KUHAKIKISHA KUWA MICHEZO ANAYOIFANYA ULAYA KILA MFUASI WAKE ANAMPELEKA HUKO KUIFANYA. TULISEMA SISI, CDM INAKUFA KIBUDU 2020 HAMKUTUAMINIKwa mtazamo wangu, pamoja na Godbless Lema na familia yake kupewa hifadhi ya kisiasa nchini Kenya, Lema na familia yake watakuwa salama zaidi iwapo wataishi nje ya region hii ya Afrika Mashariki na zaidi wakiwa Ulaya,Marekani au kwingineko licha ya ukweli kuwa hadhi ya ukimbizi aliopewa nchini Kenya inatosha kumhakikishia usalama wake.
Hivyo ,ninaamini Tundu Lissu akiwa nchini Ubelgiji, anaweza kufanya mipango/kushawishi nchi za ulaya hasa Ubelgiji atakokuwa anaishi, kuhakiisha Lema na familia yake wanahama nchini Kenya na kwenda kupata hifadhi katika mojawapo ya nchi za Ulaya,Marekani au katika nchi nyingine tofauti na Kenya ambapo anaweza kukaa kwa muda tu.
Ni imani yangu pia Lissu atafanikisha mambo mengi ya kusaidia wapinzani wenzake pamoja na vyama vya upinzani akiwa huko ughaibuni-anakwenda kuanzisha movement za kusaidia mabadiliko akiwa huko Ulaya pasipo kuvunja au kukiuka mashariti ya kupewa hifadhi katika nchi za watu.
Muda utaongea.
ICCNini mustakabali wa CHADEMA sasa?
Kwishney??
Vitu vingine vinashangazaMuulize Jiwe na watu wake.
Ndio maana nimeulizaHujui kitu
Heshima ya kulawitiwaJamaa ameweka heshima hata Nyerere hajawahi kusindikizwa na balozi yeyeto
Sawa, lakini kumbuka kuwa hawa jamaa ni wasanii tu.....hawajawahi kutishiwa maisha yao isipokuwa wanakimbia Tanzania kwa sababu hawana kazi, wanataka kutunzwa tu na watu/mabeberu.Kwa mtazamo wangu, pamoja na Godbless Lema na familia yake kupewa hifadhi ya kisiasa nchini Kenya, Lema na familia yake watakuwa salama zaidi iwapo wataishi nje ya region hii ya Afrika Mashariki na zaidi wakiwa Ulaya,Marekani au kwingineko licha ya ukweli kuwa hadhi ya ukimbizi aliopewa nchini Kenya inatosha kumhakikishia usalama wake.
Hivyo ,ninaamini Tundu Lissu akiwa nchini Ubelgiji, anaweza kufanya mipango/kushawishi nchi za ulaya hasa Ubelgiji atakokuwa anaishi, kuhakiisha Lema na familia yake wanahama nchini Kenya na kwenda kupata hifadhi katika mojawapo ya nchi za Ulaya,Marekani au katika nchi nyingine tofauti na Kenya ambapo anaweza kukaa kwa muda tu.
Ni imani yangu pia Lissu atafanikisha mambo mengi ya kusaidia wapinzani wenzake pamoja na vyama vya upinzani akiwa huko ughaibuni-anakwenda kuanzisha movement za kusaidia mabadiliko akiwa huko Ulaya pasipo kuvunja au kukiuka mashariti ya kupewa hifadhi katika nchi za watu.
Muda utaongea.
Hasa dingi yakoHeshima ya kulawitiwa
Impact gani wakati.kakuta kuna wabunge yeye kawafuta na kupata mmoja?Kwani Chadema ni viongozi au wanachama wake? kama unadhani ni viongozi hawa waliopo huwaoni?
Lissu aliondoka then akarudi bado akawa na impact kubwa tu, bado hujifunzi? na Lema pia itakuwa hivyo hivyo.
Chadema ilikuwepo, ipo, na itaendelea kuwepo.
That day hawa watu wakirudi moto utawaka vile vile, spirit never die.