Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Ulimwengu wa roho ni timilifu na mambo yake huenda na kufanyika juu ya uwezo na utashi wa kawaida wa binadamu.
Ukiachana na makafara yanayosemwa kuitaabisha sana nchi. Hapa nazungumzia yale makafara mawili makubwa la Bagamoyo na la Lindi ambayo sasa ni kama uhai wake unafikia tamati. Kuna lile la viongozi muhimu kufa wakiwa madarakani. Hapa tafsiri yake kiroho ni kwamba nyumba inabomolewa.
Kifo cha rais, kiongozi mkuu
Kifo cha katibu mtendaji mkuu
Kifo cha waziri wa sheria, Mtunza kanuni
Kifo cha waziri wa ulinzi, Mlinda kaya.
Kiroho hivi tunaita ni vifo vya kimkakati. Nyumba imeondolewa msingi, imeondolewa paa, imeondolewa mifumo na imeondolewa madirisha na milango.Kwasababu zozote zile mwendazake akawa tena rais kwa awamu ya pili. Chama chake kilishaumba utaratibu wa vipindi viwili viwili. Hili ni roho. Kwahiyo kiroho huyu bado ni rais na ukomo wake 2025.
Kwasababu zilezile za kiroho akataka kukengeuka viapo, maagano na makafara yaliyowekwa! Na akaadhibiwa! Huku kipindi chake cha pili kikimaliziwa na msaidizi wake! Ukiachana na mambo haya ya katiba iliyompa msaidizi nafasi ya juu. Kiroho hakuna mabadiliko.
Aliingia kama msaidizi ndio nafasi yake kiasili na kamwe kiroho hakujiandaa kuwa rais na hakufanya juhudi zozote kuwa rais
Hii tunayoita ni awamu ya sita kiroho ni awamu ileile ya tano kwakuwa mabadiliko ya awamu ni kila baada ya kipindi fulani na kwa utaratibu fulani. Na kikomo chake ni miaka mine ijayo.
Utimilifu wa namba saba na mkanganyiko wa awamu sita(awamu ya sita) Chama dola kingekuwa na nafasi bora ya kutamba kama awamu ya tano ingeisha salama. Lakini kwa unabii ule wa kikomo cha kuwa kikapunyuliwa kwa kuondolewa msingi, mwongozo wa kiutendaji na ulinzi.
Awamu ya sita imejichomeka kwenye tano ili tu kuharakisha(bila kujua na bila utashi) kikomo cha kuwa cha chama dola. Hivyo basi ukombozi wa taifa unakuja. Kwa kile kinachoweza kuonekana kama awamu ya saba! Lakini haitakuwa tena awamu kwakuwa kiroho tamati itakuwa imewadia kwasababu zote zilizotajwa za, kimwili na za kiroho pia
Yanayotokea sasa na yatakayoendelea kutokea mpaka kumaliza awamu ya 5/6 ni unabii ambao hakuna mwenye uwezo wa kuutangua kwa namna yoyote ile. Sio mama wala deep state wala mtu yoyote awaye yote! Mgongano(collision) wa awamu mbili ndani ya moja kiroho ni ajali ambayo madhara yake yataonekana mwisho wa awamu ambayo itakuwa na majeraha makubwa yasiyotibika
Hii ni sawa na kuzaa mtoto mwenye kasoro kimaumbile kwakuwa mjadala wa kuhusu awamu ya tano au sita ulikuwa mkubwa na haujawahi kupatiwa jibu moja la hakika.
Kuna makundi yanajijenga kuwania nafasi ya juu baada ya awamu hii kutamatika. Wanamkosoa mama kwa mengi. Lakini huu ni unabii wa kiroho. Nobody can control it.Wanaweza kufurahishwa sana na hii mada lakini wana safari ngumu na yenye kutatiza sana.
Na wasipokuwa makini watapanguswa ili vumbi litoke!