Mtazamo wa kiroho: Kwanini Rais Samia hawezi kuwa Rais kwa vipindi viwili

Mtazamo wa kiroho: Kwanini Rais Samia hawezi kuwa Rais kwa vipindi viwili

Mshana umeenda mbali zaidi, mimi niliishia kwenye sababu za kimwili na akili nikasema huyu aliyepo hataongeza muda, akili na mwili wake vyote viko likizo, bora apumzike tu.

Mwili wake umechoka, ana akili yake haishughulishi kufikiria chochote, now kila kila mtu huko serikalini anajiamulia atakavyo.
Sio kosa lake kwakuwa ganzi iliyompata ina asili na nguvu ya kiroho..yupo kukamilisha awamu..Akitaka kuendelea anahitajika kufanya mengi ya giza na kwa mtazamo wangu mama hayuko hivyo..sio mtu wa makuu

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Unachosema ni kuwa atakaye peperusha bendera ya 2025-2030 kiroho ndo atakuwa ameanza mzunguko wake halali wa kwamza maana huyu wa sasa kadandia wa mwenzake aliyelala, sasa akichaguliwa samia na akashinda akawa raisi ina maana kiroho atadaiwa kipindi kimoja tena cha kuongoza yaani 2030-2035 maana hii si awamu yake kiroho yaani.

What a lucky one ikitokea akachaguliwa, yaani kiroho atakuwa raisi wa kwanza mwanamke na raisi wa kwanza kuwepo madarakani 15years.

Hata hivyo Tanzania si nchi ya kiroho ingawa watu wake wana imani.
 
Kikatiba hakuna mwenye uwezo wa kuongoza zaidi ya miaka 10. Hata akigombea 2025 akashinda mwisho wake ni 2030 tu. Kipindi hiki cha kwanza they triumph together with magufuli, kwahiyo kinahesabika ni kipindi chake cha kwanza.
 
Kwa hiyo ni kipindi chake... hapo sawa.
 
Unachosema ni kuwa atakaye peperusha bendera ya 2025-2030 kiroho ndo atakuwa ameanza mzunguko wake halali wa kwamza maana huyu wa sasa kadandia wa mwenzake aliyelala, sasa akichaguliwa samia na akashinda akawa raisi ina maana kiroho atadaiwa kipindi kimoja tena cha kuongoza yaani 2030-2035 maana hii si awamu yake kiroho yaani.

What a lucky one ikitokea akachaguliwa, yaani kiroho atakuwa raisi wa kwanza mwanamke na raisi wa kwanza kuwepo madarakani 15years.

Hata hivyo Tanzania si nchi ya kiroho ingawa watu wake wana imani.
Paragraph ya kwanza kwenye mada kuu nimeandika hivi

"Ulimwengu wa roho ni timilifu na mambo yake huenda na kufanyika juu ya uwezo na utashi wa kawaida wa binadamu."

Kama atakuwa na utashi wa kiroho nia na hamu ya kuwa rais wa kuchaguliwa kisha nguvu ya kiroho ikamkubali basi atakuwa..Shida ni kwamba nyumba anamoishi ilishapata nyufa tangu 2015 na ilipofika 2020 ikaondolewa vitu vingi muhimu....

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Paragraph ya kwanza kwenye mada kuu nimeandika hivi

"Ulimwengu wa roho ni timilifu na mambo yake huenda na kufanyika juu ya uwezo na utashi wa kawaida wa binadamu."

Kama atakuwa na utashi wa kiroho nia na hamu ya kuwa rais wa kuchaguliwa kisha nguvu ya kiroho ikamkubali basi atakuwa..Shida ni kwamba nyumba anamoishi ilishapata nyufa tangu 2015 na ilipofika 2020 ikaondolewa vitu vingi muhimu....

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Nilisoma sema nipo kiroho zaidi ndugu Mshana. Si unajua kiroho mambo ni ya kimiujiza ujiza tu. Mengi kama si lolote linawezekana.
 
Ulimwengu wa roho ni timilifu na mambo yake huenda na kufanyika juu ya uwezo na utashi wa kawaida wa binadamu.

Ukiachana na makafara yanayosemwa kuitaabisha sana nchi. Hapa nazungumzia yale makafara mawili makubwa la Bagamoyo na la Lindi ambayo sasa ni kama uhai wake unafikia tamati.

Kuna lile la viongozi muhimu kufa wakiwa madarakani. Hapa tafsiri yake kiroho ni kwamba nyumba inabomolewa.

Kifo cha rais, kiongozi mkuu
Kifo cha katibu mtendaji mkuu
Kifo cha waziri wa sheria. Mtunza kanuni
Kifo cha waziri wa ulinzi, Mlinda kaya.

Kiroho hivi tunaita ni vifo vya kimkakati. Nyumba imeondolewa msingi, imeondolewa paa, imeondolewa mifumo na imeondolewa madirisha na milango.

Kwasababu zozote zile mwendazake akawa tena rais kwa awamu ya pili. Chama chake kilishaumba utaratibu wa vipindi viwili viwili. Hili ni roho. Kwahiyo kiroho huyu bado ni rais na ukomo wake 2025.

Kwasababu zilezile za kiroho akataka kukengeuka viapo, maagano na makafara yaliyowekwa! Na akaadhibiwa! Huku kipindi chake cha pili kikimaliziwa na msaidizi wake!
Ukiachana na mambo haya ya katiba iliyompa msaidizi nafasi ya juu. Kiroho hakuna mabadiliko.

Aliingia kama msaidizi ndio nafasi yake kiasili na kamwe kiroho hakujiandaa kuwa rais na hakufanya juhudi zozote kuwa rais
Hii tunayoita ni awamu ya sita kiroho ni awamu ileile ya tano kwakuwa mabadiliko ya awamu ni kila baada ya kipindi fulani na kwa utaratibu fulani. Na kikomo chake ni miaka mine ijayo.

Utimilifu wa namba saba na mkanganyiko wa awamu sita(awamu ya sita) Chama dola kingekuwa na nafasi bora ya kutamba kama awamu ya tano ingeisha salama. Lakini kwa unabii ule wa kikomo cha kuwa kikapunyuliwa kwa kuondolewa msingi, mwongozo wa kiutendaji na ulinzi.

Awamu ya sita imejichomeka kwenye tano ili tu kuharakisha(bila kujua na bila utashi) kikomo cha kuwa cha chama dola!

Hivyo basi ukombozi wa taifa unakuja. Kwa kile kinachoweza kuonekana kama awamu ya saba! Lakini haitakuwa tena awamu kwakuwa kiroho tamati itakuwa imewadia kwasababu zote zilizotajwa za, kimwili na za kiroho pia

Yanayotokea sasa na yatakayoendelea kutokea mpaka kumaliza awamu ya 5/6 ni unabii ambao hakuna mwenye uwezo wa kuutangua kwa namna yoyote ile. Sio mama wala deep state wala mtu yoyote awaye yote!

Mgongano(collision) wa awamu mbili ndani ya moja kiroho ni ajali ambayo madhara yake yataonekana mwisho wa awamu ambayo itakuwa na majeraha makubwa yasiyotibika
Hii ni sawa na kuzaa mtoto mwenye kasoro kimaumbile kwakuwa mjadala wa kuhusu awamu ya tano au sita ulikuwa mkubwa na haujawahi kupatiwa jibu moja la hakika.

Kuna makundi yanajijenga kuwania nafasi ya juu baada ya awamu hii kutamatika. Wanamkosoa mama kwa mengi. Lakini huu ni unabii wa kiroho. Nobody can control it.

Wanaweza kufurahishwa sana na hii mada lakini wana safari ngumu na yenye kutatiza sana. Na wasipokuwa makini watapanguswa ili vumbi litoke!
January Makamba Rais wetu wa awamu ya Saba
 
Mwenye masikio na asikie..atakayeshupaza shingo atavunjika mara... Kama kijiti kikavu katikati ya jangwa
Acha uongo ndugu.Magufuli alikufa kwa ugonjwa wa moyo.Waziri wa ulinzi amekufa kwa corona.Waziri wa sheria na katibu mkuu pia corona.Unachoandika huwa tunaita ni hadithi za kusadikika na kubuni tu.

Watanzania wengi wanapenda uongo uongo tu.Kama wanavyolishwa uongo wa chanjo ya corona.Samia atatawala mpaka 2030.
 
Acha uongo ndugu.Magufuli alikufa kwa ugonjwa wa moyo.Waziri wa ulinzi amekufa kwa corona.Waziri wa sheria na katibu mkuu pia corona.Unachoandika huwa tunaita ni hadithi za kusadikika na kubuni tu.Watanzania wengi wanapenda uongo uongo tu.Kama wanavyolishwa uongo wa chanjo ya corona.Samia atatawala mpaka 2030.
Haya asante kwa kuchangia..hii ni mada huyu lazima mitazamo itofautiane..huu wako ni mtazamo pia

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom