Mtazamo wa raia wa nchi za Afrika wanaoishi Ulaya na Marekani juu ya Hayati Rais Magufuli

konda msafi

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2018
Posts
1,696
Reaction score
8,763
Ndugu wana JF nimeona nishare na ninyi kile walichonieleza hawa marafiki zangu niliokutana nao South Africa kipindi nahangaikia ndoto zangu kuhusu mtazamo wao kwa aliyekuwa rais wetu JPM.

Kuna rafiki yangu raia wa Kameruni ila kwa sasa anaishi Marekani. Jamaa ni PhD wa uchumi na amefundisha baadhi ya vyuo hapo Johannesburg kabla ya kwenda Marekani kutafuta maslahi zaidi. Mwezi uliopita alikuja Tanzania baada ya kuzuiwa kuingia Australia ambako pia alikuwa anafanya consultation na makampuni flani yaliyokuwa yanahitaji huduma yake. Alipozuiliwa kuingia Australia kwa sababu ya restrictions za Covid 19 aliamua kuja Tanzania kupumzika hivyo nilipata wasaa wa kuonana na kuongea naye, maana tulikuwa hatujaonana zaidi ya miaka 10.

Huyu bwana alinishangaza sana kuhusu jinsi alivyokuwa anamwongelea JPM. Jamaa alikuwa anasema Tanzania tumempoteza rais bora. Acha ninukuu maneno yake. "Magufuli was the best president in Africa". Anasema "the guy was doing a good job"

Kiufupi jamaa anasema Magufuli alikuwa kiboko, na nchi alikuwa anaipeleka mbele. Nilijaribu kumwuliza kipi kinachomfanya aseme Magufuli alikuwa rais bora. Alisema yeye kama mwanauchumi na mfuatiliaji mzuri wa Siasa za Africa mambo aliyokuwa anayafanya Magufuli ni makubwa sana na hakuna rais yeyote wa Afrika mwenye huo uthubutu. Alitaja issue ya kusimamia madini na kuyabana makampuni ya kigeni kuchota madini ni kitu ambacho marais wengi Afrika kimewashinda.

Jamaa alikuwa anasema Magufuli alikuwa ni rais wa ajabu sana ambaye haogopi wazungu. Nilijaribu kumwambia mbona sisi humu nchini tunaona kama alikuwa anatupelekesha tu, tulikuwa hatuna uhuru hata wa kuongea, hofu imetanda, anaminya demokrasia. Jamaa akajibu hayo mambo ya kuminya demokrasia na kunyima uhuru hayaoni kama ni issue ya msingi ukilinganisha na kazi kubwa ya kuijenga nchi aliyokuwa anaifanya. Anasema huko nje (west Africa) Magufuli ni popular sana. Jamaa anasema Magufuli was the best president in Africa.

Kuna jamaa zangu wengine raia wa Zambia na DRC. Huyu wa Zambia ameoa muaustralia na anaishi Sydney na huyu wa DRC yeye yuko Durban South Africa. Wote hawa nikiwa naongea nao huwa wanasema Magufuli was the best president ever.

Pia kuna kidada flani kizungu kiraia cha Ireland (UK) kinaishi South Africa, ni kisanii yani kinaimba mziki tulikuwa tunasoma nacho chuo kimoja na pia tunasali pamoja huwa kinaniambia Magufuli alikuwa the best president. Kilikuwa very interested na siasa za Tanzania baada ya kumwona Magufuli akifanya usafi kule feri. Kuna picha kilinitumia ya Magufuli anafanya usafi kule feri amezungukwa na wauza samaki.

Binafsi sikuwa mshabiki sana wa Magufuli ila kusema ukweli nimeanza kushawishika na kuamini kuwa jamaa alikuwa rais mzuri. Nikiangalia ile miradi aliyoianzisha kwa muda mchache aliotawala, je kama angeendelea kuwepo kwa mhula mwingine ingekuwaje. Iangalie Morogoro road kutokea Kimara kuelekea Kibaha jinsi inavyopendeza utadhani nipo barabara za South Africa. Ukiweka pembeni mapungufu yake jamaa alikuwa anaipeleka nchi mbali sana.
Tumsamehe kwa mapungufu yake na tumwombee pumziko la amani huko aliko.
 
Ndugu wana JF nimeona nishare na ninyi kile walichonieleza hawa marafiki zangu niliokutana nao South Africa kipindi nahangaikia ndoto zangu kuhusu mtazamo wao kwa aliyekuwa rais wetu JPM.

Kuna rafiki yangu raia wa Kameruni ila kwa sasa anaishi Marekani. Jamaa ni PhD wa uchumi na amefundisha baadhi ya vyuo hapo Johannesburg kabla ya kwenda Marekani kutafuta maslahi zaidi. Mwezi uliopita alikuja Tanzania baada ya kuzuiwa kuingia Australia ambako pia alikuwa anafanya consultation na makampuni flani yaliyokuwa yanahitaji huduma yake. Alipozuiliwa kuingia Australia kwa sababu ya restrictions za Covid 19 aliamua kuja Tanzania kupumzika hivyo nilipata wasaa wa kuonana na kuongea naye, maana tulikuwa hatujaonana zaidi ya miaka 10.
Huyu bwana alinishangaza sana kuhusu jinsi alivyokuwa anamwongelea JPM. Jamaa alikuwa anasema Tanzania tumempoteza rais bora. Acha ninukuu maneno yake. "Magufuli was the best president in Africa". Anasema "the guy was doing a good job"
Kiufupi jamaa anasema Magufuli alikuwa kiboko, na nchi alikuwa anaipeleka mbele. Nilijaribu kumwuliza kipi kinachomfanya aseme Magufuli alikuwa rais bora. Alisema yeye kama mwanauchumi na mfuatiliaji mzuri wa Siasa za Africa mambo aliyokuwa anayafanya Magufuli ni makubwa sana na hakuna rais yeyote wa Afrika mwenye huo uthubutu. Alitaja issue ya kusimamia madini na kuyabana makampuni ya kigeni kuchota madini ni kitu ambacho marais wengi Afrika kimewashinda. Jamaa alikuwa anasema Magufuli alikuwa ni rais wa ajabu sana ambaye haogopi wazungu. Nilijaribu kumwambia mbona sisi humu nchini tunaona kama alikuwa anatupelekesha tu, tulikuwa hatuna uhuru hata wa kuongea, hofu imetanda, anaminya demokrasia. Jamaa akajibu hayo mambo ya kuminya demokrasia na kunyima uhuru hayaoni kama ni issue ya msingi ukilinganisha na kazi kubwa ya kuijenga nchi aliyokuwa anaifanya. Anasema huko nje (west Africa) Magufuli ni popular sana. Jamaa anasema Magufuli was the best president in Africa.

Huo ndio ukweli, ila utasikia au utaitwa MATAGA japo ndani ya roho Na nafisi Zao hilo wanalitambua. He was a real son of Africa
 
Magufuli alikuwa ni mtendaji wa majukumu yake kisawasawa,hakutaka Jambo lake likwamwe na alijua kusimamia anacho taka kiwe.

Shida ni kuamini kuwa anaweza yeye tu bila kupata ushauri wa wengine, na ali amini Wapinzani ni watu wabaya kabisa pengine wasio takiwa hata kuishi.

Hivyo tuyakumbuke mazuri yake na kuyafanyia kazi na mabaya yake tuyazike.
 
Uko sahihi mkuu.
 
Screenshot_20210919-122731_WhatsApp.jpg

Screenshot_20210919-122755_WhatsApp.jpg

Screenshot_20210919-122802_WhatsApp.jpg

Screenshot_20210919-122853_WhatsApp.jpg

Screenshot_20210919-122844_WhatsApp.jpg

Screenshot_20210919-122958_WhatsApp.jpg

Screenshot_20210919-123202_WhatsApp.jpg

Screenshot_20210919-123213_WhatsApp.jpg

Screenshot_20210919-123251_WhatsApp.jpg

Screenshot_20210919-122844_WhatsApp.jpg
 
Ndugu wana JF nimeona nishare na ninyi kile walichonieleza hawa marafiki zangu niliokutana nao South Africa kipindi nahangaikia ndoto zangu kuhusu mtazamo wao kwa aliyekuwa rais wetu JPM.

Kuna rafiki yangu raia wa Kameruni ila kwa sasa anaishi Marekani. Jamaa ni PhD wa uchumi na amefundisha baadhi ya vyuo hapo Johannesburg kabla ya kwenda Marekani kutafuta maslahi zaidi. Mwezi uliopita alikuja Tanzania baada ya kuzuiwa kuingia Australia ambako pia alikuwa anafanya consultation na makampuni flani yaliyokuwa yanahitaji huduma yake. Alipozuiliwa kuingia Australia kwa sababu ya restrictions za Covid 19 aliamua kuja Tanzania kupumzika hivyo nilipata wasaa wa kuonana na kuongea naye, maana tulikuwa hatujaonana zaidi ya miaka 10.
Huyu bwana alinishangaza sana kuhusu jinsi alivyokuwa anamwongelea JPM. Jamaa alikuwa anasema Tanzania tumempoteza rais bora. Acha ninukuu maneno yake. "Magufuli was the best president in Africa". Anasema "the guy was doing a good job"
Kiufupi jamaa anasema Magufuli alikuwa kiboko, na nchi alikuwa anaipeleka mbele. Nilijaribu kumwuliza kipi kinachomfanya aseme Magufuli alikuwa rais bora. Alisema yeye kama mwanauchumi na mfuatiliaji mzuri wa Siasa za Africa mambo aliyokuwa anayafanya Magufuli ni makubwa sana na hakuna rais yeyote wa Afrika mwenye huo uthubutu. Alitaja issue ya kusimamia madini na kuyabana makampuni ya kigeni kuchota madini ni kitu ambacho marais wengi Afrika kimewashinda. Jamaa alikuwa anasema Magufuli alikuwa ni rais wa ajabu sana ambaye haogopi wazungu. Nilijaribu kumwambia mbona sisi humu nchini tunaona kama alikuwa anatupelekesha tu, tulikuwa hatuna uhuru hata wa kuongea, hofu imetanda, anaminya demokrasia. Jamaa akajibu hayo mambo ya kuminya demokrasia na kunyima uhuru hayaoni kama ni issue ya msingi ukilinganisha na kazi kubwa ya kuijenga nchi aliyokuwa anaifanya. Anasema huko nje (west Africa) Magufuli ni popular sana. Jamaa anasema Magufuli was the best president in Africa.

Kuna jamaa zangu wengine raia wa Zambia na DRC. Huyu wa Zambia ameoa muaustralia na anaishi Sydney na huyu wa DRC yeye yuko Durban South Africa. Wote hawa nikiwa naongea nao huwa wanasema Magufuli was the best president ever.

Pia kuna kidada flani kizungu kiraia cha Ireland (UK) kinaishi South Africa, ni kisanii yani kinaimba mziki tulikuwa tunasoma nacho chuo kimoja na pia tunasali pamoja huwa kinaniambia Magufuli alikuwa the best president. Kilikuwa very interested na siasa za Tanzania baada ya kumwona Magufuli akifanya usafi kule feri. Kuna picha kilinitumia ya Magufuli anafanya usafi kule feri amezungukwa na wauza samaki.

Binafsi sikuwa mshabiki sana wa Magufuli ila kusema ukweli nimeanza kushawishika na kuamini kuwa jamaa alikuwa rais mzuri. Nikiangalia ile miradi aliyoianzisha kwa muda mchache aliotawala, je kama angeendelea kuwepo kwa mhula mwingine ingekuwaje. Iangalie Morogoro road kutokea Kimara kuelekea Kibaha jinsi inavyopendeza utadhani nipo barabara za South Africa. Ukiweka pembeni mapungufu yake jamaa alikuwa anaipeleka nchi mbali sana.
Tumsamehe kwa mapungufu yake na tumwombee pumziko la amani huko aliko.
He was the best. RIP
 
Huyo jamaa anafanya kazi ikulu ya moja ya nchi za Africa Magharibi. Nilikutana nae jijini Siem Riep nchini Cambodia.

Anaesema sifa anazopewa Magufuli ni za kutunga basi ajiangalie tena.

Mimi binafsi naamini Mama Samia atafanya pia makubwa kwa upande wake maana yeye ni mwananfunzi wa Marais wawili Bora kabisa (JK & JPM).
 
Kwa hiyo hiyo screenshot ni mawasiliano yako na huyo jamaa wa ikulu?
 
Back
Top Bottom