Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
MTAZAMO TU
Kwa jinsi mambo yanavyoenda hadi muda huu inaonekana wazi CCM wamefeli plan zote A.B.C na extra plan D+E
Ukiangalia mikakati ovu ilopangwa kimantik inaonekana yote haipiti njia ilokusudiwa hii wasahili husema *KIFO CHA NYANI*
Tuangalie jinsi mipango ilivyosukwa miaka mtano nyuma ikiwa barazani baraza la wawakilishi ndani ya chama cha mapinduzi hadi kwenye tume za uchaguzi ikiwemo msukumo mkubwa wa msajili wa vyama .
Nikiangalia kwa hali ilivyo sioni kuwepo kwa uchaguzi mana kwa jinsi mambo yalivyo kwa CCM siamini kama wataruhusu kupigwe kura zihesabiwe wapate aibu mpya haiwezkani .
Kinachoonekana hapa ni kuchafumo mwenendo wa uchaguzi ili usiwepo ama kukwepa uchaguzi ili pawepo uchafuzi,
Kimatik CCM njia ilobaki ni kulazimisha fujo kwa kuwaengua wagombea wote wa uwakilishi ili upinzani ugome na kama hawakugoma ifanyike fujo ili watafute njia ya maridhiano baadae bila uchaguzi.
Inaonekana wazi CCM bara wamewatupia zigo ccm huku wakilazimisha ushindi wa lazima huku wakiogopa damu za wananchi kwa hofu ya macho ya mataifa kwa sasa.
Tuangalie uzito wa mgombea wa ccm aliepelekwa donge na baba yake akakataliwa kwa kuwadai watoto wao kina Shekh Mselem pia kujinadi kuwa zalio la donge Dkt. Khalid ndio chaguo la wazanzibar.
Tukiangalia nyuma ngome kuu ya CCM Zanzibar ni kusini nako Dr. Husein (KEVU KAFULYO) baada kuachiwa msikiti peke yake na ccm walofuatana toka mjini
Unadhani nini CCM wafanye kama si kuharibu na kukwepa uchaguzi mwaka huu ?
Tujiandae kuona mengi.