kibwengomfupi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 675
- 676
duuuh hichi chama kimezidi sasa... yaan uhuni wa kiwango cha juu..
sasa ccm basi
Safi sana kaka. Ikiwa wanaofanya kazi kwenye tume ndo wanaoiba kura za upinzani basi waanzwe wao. ndo watatia adabu na kuacha kuiba kura kuwapa maCCM. Hamid mahmoud atafuata precedence ya akina senge pevu Jecha salum Jecha, Mwinyi mbegu, Aboud talib na Zubeir Toza. lakn kama akitenda haki atajiwekea record safi sana.
My brother Dega uko wapi?