Zanzibar 2020 Mtazamo wa Uchaguzi Zanzibar

duuuh hichi chama kimezidi sasa... yaan uhuni wa kiwango cha juu..

sasa ccm basi

My brother Dega uko wapi?
 
Hawezi kutenda haki, na hayupo tayari kutenda haki. Maana maajabu ya 8 ya dunia ni kuwa nchi yenye wapiga kura wasiozidi na wala kufika milioni uchaguzi kufanywa siku mbili. SIku ya kwanza ya uchaguzi ndio siku ya wizi wa kura unafanyika. SIku zote anaekunyima haki yako ndio unaetakiwa kupambana nae, na kwenye uchaguzi anaenyima haki ni Tume ya uchaguzi, wale ndio wa kula nao sahani moja sasa.
 
Nikiangalia kwa hali ilivyo sioni kuwepo kwa uchaguzi mana kwa jinsi mambo yalivyo kwa CCM siamini kama wataruhusu kupigwe kura zihesabiwe wapate aibu mpya haiwezkani
Wewe ni chama gani?, Mgombea wako ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…