Mtazamo walionao watu wa Dini juu ya watu wasioamini uwepo wa Mungu

Mtazamo walionao watu wa Dini juu ya watu wasioamini uwepo wa Mungu

Hawa majamaa wanaoamini hakuna Mungu usibishane nao maana huwez kuwaelewesha kabisaa tazama hapa chini👇👇👇👇.................kwaiyo atheist angekuwa mjinga angeelewa lakn tatizo n liko hapo chini.
Mpumbavu amesema moyoni, Mungu yupo.
Unaona inavyosound poa?
 
Mungu, Shetani, nuksi, mikosi, maagano, madhabahu, BARAKA, laana, mizimu, UCHAWI,.....hivyo vyote havipo kabisa wala hakuna anayeweza thibitisha uwepo wake,... lakini wenye uelewa finyu wako tayari wauue wenzao kisa kasema kitu fulani hakipo, hii inathibitisha upeo mdogo wa wa fikra walionao watu wa imani.......,hao watu ni vyema wakaachwa na UPUMBAVU wao🚮❗
 
Back
Top Bottom