Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Ni wakati mwafaka wa CCM kuondolewa madarakani. Kuna viashiria vya kutosha na fursa nyingi za vyama vya upinzani kuingia Ikulu. Hili litawezekana tu iwapo wanasiasa wa upinzani wataweka ubinafsi pembeni na kujikita kwenye masuala ya kitaifa hasa ya maendeleo km kumtua mama ndoo kichwani, fursa za uchumi kwa vijana, mageuzi katika kilimo, nkFursa ya CCM kuanguka ilikuwa ni 1995 wakati ule Mrema alivyowageuka lakini Nyerere aliiokoa alivyoingilia kati uchaguzi na kuwakashifu na kuwakejeli wapinzani wa siasa. Baada ya 1995, CCM imejikita na vigumu kuanguka. Nyerere ndiye aliyeuwa demokrasia Tanzania.
Wakati muafaka ulikuwa ni 1995 wakati CCM ilikuwa kwenye mazingira magumu. Sasa hivi wamejikita, wamejifunza kila mbinu ya kubaki madarakani. Siyo rahisi.Ni wakati mwafaka wa CCM kuondolewa madarakani. Kuna viashiria vya kutosha na fursa nyingi za vyama vya upinzani kuingia Ikulu. Hili litawezekana tu iwapo wanasiasa wa upinzani wataweka ubinafsi pembeni na kujikita kwenye masuala ya kitaifa hasa ya maendeleo km kumtua mama ndoo kichwani, fursa za uchumi kwa vijana, mageuzi katika kilimo, nk
tangu mfumo wa vyama vingi urejee ccm walishashinda kihalali mara 1 tu, mwaka 2005 tena huku bara, chaguzi zingine zoote waliiba kwa nguvu, wakilindwa na katiba letu bovu wasilotaka libadilishwe, maana ndo kete yao pekee ya kubaki madarakani kwa sasa.
Lakini ccm haikubaliki kwa wananchi haina uwezo wa kusimama tena yenyewe bila kubebwaFursa ya CCM kuanguka ilikuwa ni 1995 wakati ule Mrema alivyowageuka lakini Nyerere aliiokoa alivyoingilia kati uchaguzi na kuwakashifu na kuwakejeli wapinzani wa siasa. Baada ya 1995, CCM imejikita na vigumu kuanguka. Nyerere ndiye aliyeuwa demokrasia Tanzania.
DuuuuuhWalishazoea kufanya ufisadi na kuiba mali za umma na wakati wa uchaguzi wanawalaghai wananchi. Sasa watanzania walishawashutukia.
Mwaka 2015 baada ya kuona kuwa walishachafuka kwa ufisadi wakafanya ulaghai kujifanya wanawakataa mafisadi, kumbe ndio walewale. Mwaka huu na kuendelea watanzania hawadanganyiki.
Ni wakati mwafaka wa CCM kuondolewa madarakani. Kuna viashiria vya kutosha na fursa nyingi za vyama vya upinzani kuingia Ikulu. Hili litawezekana tu iwapo wanasiasa wa upinzani wataweka ubinafsi pembeni na kujikita kwenye masuala ya kitaifa hasa ya maendeleo km kumtua mama ndoo kichwani, fursa za uchumi kwa vijana, mageuzi katika kilimo, nk
Not everything...hawana uungwaji mkono wa wananchi...tatizo watanzania ni kama timelogwa na huyu ccm..siku tukizinduka ndipo watakapojua hiyo Dola wanayoitegemea sio lolote sio chochote...ipo sikuMtaifanya nini ccm?, haihitaji Kura zenu kubaki madarakani. They have everything required to stay in power.