Siyo kweli,CCM haishindi uchaguzi wowote huru.Unamhusisha Mwl.na wizi wa kijinga wa uchaguzi mnaoufanya?Hivi hata ingekuwa kweli ndiyo kuhalalisha uchafuzi huu na uminywaji wa Democracy wa kiasi hiki.Fursa ya CCM kuanguka ilikuwa ni 1995 wakati ule Mrema alivyowageuka lakini Nyerere aliiokoa alivyoingilia kati uchaguzi na kuwakashifu na kuwakejeli wapinzani wa siasa. Baada ya 1995, CCM imejikita na vigumu kuanguka. Nyerere ndiye aliyeuwa demokrasia Tanzania.
CCM huwa hawashindi chaguzi,ni usanii huku wakiangamiza mabilioni ya fedha za Watanzania.
Moto wa Katiba umeanza kuwaunguza mnaanza kutajana wenyewe!
Bado Ndugai hamjamalizana naye?