Mtazamo: Wananchi wameichukia CCM ilishazoea kuwaona wajinga, wananchi wa leo sio wa 2015

Mtazamo: Wananchi wameichukia CCM ilishazoea kuwaona wajinga, wananchi wa leo sio wa 2015

Fursa ya CCM kuanguka ilikuwa ni 1995 wakati ule Mrema alivyowageuka lakini Nyerere aliiokoa alivyoingilia kati uchaguzi na kuwakashifu na kuwakejeli wapinzani wa siasa. Baada ya 1995, CCM imejikita na vigumu kuanguka. Nyerere ndiye aliyeuwa demokrasia Tanzania.
Siyo kweli,CCM haishindi uchaguzi wowote huru.Unamhusisha Mwl.na wizi wa kijinga wa uchaguzi mnaoufanya?Hivi hata ingekuwa kweli ndiyo kuhalalisha uchafuzi huu na uminywaji wa Democracy wa kiasi hiki.
CCM huwa hawashindi chaguzi,ni usanii huku wakiangamiza mabilioni ya fedha za Watanzania.
Moto wa Katiba umeanza kuwaunguza mnaanza kutajana wenyewe!
Bado Ndugai hamjamalizana naye?
 
Hawa jamaa wame track akili za watanzania Kwa 98%,hivi kweli Ndugai amekuwa hoja ya taifa kabisa?!
CCM ni kirusi siku kikitolewa tunaweza kuiona Tanzania kipekee.
Mwizi Ndungai leo ni National darling.
 
Tatizo hao wapinzani wenyewe ni ccm au hawapo kabisaaa
Sasa ccm itaendelea kubaki hapo kwa muda mrefu sana
 
Walishazoea kufanya ufisadi na kuiba mali za umma na wakati wa uchaguzi wanawalaghai wananchi. Sasa watanzania walishawashutukia.

Mwaka 2015 baada ya kuona kuwa walishachafuka kwa ufisadi wakafanya ulaghai kujifanya wanawakataa mafisadi, kumbe ndio walewale. Mwaka huu na kuendelea watanzania hawadanganyiki.
Tanzania ni mali ya Ccm
 
Fursa ya CCM kuanguka ilikuwa ni 1995 wakati ule Mrema alivyowageuka lakini Nyerere aliiokoa alivyoingilia kati uchaguzi na kuwakashifu na kuwakejeli wapinzani wa siasa. Baada ya 1995, CCM imejikita na vigumu kuanguka. Nyerere ndiye aliyeuwa demokrasia Tanzania.

Akili mgando usikute na wewe una familia inakutegemea
 
Not everything...hawana uungwaji mkono wa wananchi...tatizo watanzania ni kama timelogwa na huyu ccm..siku tukizinduka ndipo watakapojua hiyo Dola wanayoitegemea sio lolote sio chochote...ipo siku
Uaminifu nakwambia uungwanji mkono nao bado wanao. Wanavyo idadi ya kuwatosha kuhalalisha walitakalo.
 
Back
Top Bottom