Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo vip?Nyie ndio washamba mnaodhani Arsenal yuko top of EPL juu ya Liverpool na Man City kwa bahati mbaya, mmezoea kuishi kwa kukariri kama watoto wa shule ya msingi
Aisee....Leo ratiba ya UCL imetoka na Arsenal amepangwa na Bayern Munich. Baada ya kuona ratiba hii, nikawaonea huruma mashabiki wa Arsenal kwani wanaenda kumaliza msimu tena bila taji lolote.
Arsenal ataanzia nyumbani Emirates kisha kwenda Allianz Arena ambapo huko atakufa nyingi si mnajua Harry Kane yupo huko na anaifahamu Arsenal vizuri tangu akiwa EPL amewafunga magoli ya kutosha tu!
Hapo Arsenal atakuwa nje ya Uefa kufikia April 16 na hata akifuzu anaenda kukutana na Man City au Real Madrid bado maisha ni magumu.
Atabaki kwenye ligi, huko nako safari sio rahisi ana safari ngumu.
Kwanza kabisa ana kibarua cha kwenda Etihad kisha baada ya wiki chache atarejea jijini Manchester safari hii akienda Matofali ya Kuchoma. Huko kote atadondosha alama.
Pulia atakuwa na kiporo dhidi ya Chelsea ya Poch.
Wakati hayo yakitokea, Big Ange na Spurs yake watakuwa wanawakaribisha katika North London Derby, Hapa wanaweza wakaambulia sare.
Siwaoni Arsenal wakitwaa ubingwa wa EPL, mechi za karibuni wanacheza na kupata matokeo ya ngekewa sana, ufinyu pia wa kikosi hasa katika idara ya ushambulizi itawagharimu kiaina.
Msisahau FA Cup walishatoka mapema tu!
Kwahyo, nahitimisha kuwa, Arsenal atashika nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi na kumaliza msimu bila taji lingine licha ya soka bora wanalopiga.
Ulinitukana Sana lakini Muda si mrefu tutajua Tu Nani aliandika UCHOKO kama ulivosemaumeandika UCHOKO tu,huyo Tuchel amepitwa point 10 na anayeongoza Ligi,alifungwa 5 na Entrach Frankfurt,aligongwa 3 na Bochum timu iliyo nafasi ya 4 kutoka mwisho,aligongwa 3 na Bayer Leverkusen,watakaoingia uwanjani ni wachezaji 11 wa Arsenal na 11 wa Bayern wote wakiwa na miguu miwilimiwili,wachezaji wa Bayern hawatakuwa na miguu mitatumitatu,hivyo acheni viuchambuzi vyenu vya kichoko kenge nyie
Usiku wenyewe wa Ulaya si ndio leo? Hapo Allianz Arena,ndugu yao kutoka kwa wapinzani wao wa North London, Spurs Mr. Magoli Harry Kane ANAWASUBIRI KWA HAMU.Huku kwenye ligi tayari Man City kaishakaa kwenye nafasi yake ambayo sidhani kama ataiachia.Leo ratiba ya UCL imetoka na Arsenal amepangwa na Bayern Munich. Baada ya kuona ratiba hii, nikawaonea huruma mashabiki wa Arsenal kwani wanaenda kumaliza msimu tena bila taji lolote.
Arsenal ataanzia nyumbani Emirates kisha kwenda Allianz Arena ambapo huko atakufa nyingi si mnajua Harry Kane yupo huko na anaifahamu Arsenal vizuri tangu akiwa EPL amewafunga magoli ya kutosha tu!
Hapo Arsenal atakuwa nje ya Uefa kufikia April 16 na hata akifuzu anaenda kukutana na Man City au Real Madrid bado maisha ni magumu.
Atabaki kwenye ligi, huko nako safari sio rahisi ana safari ngumu.
Kwanza kabisa ana kibarua cha kwenda Etihad kisha baada ya wiki chache atarejea jijini Manchester safari hii akienda Matofali ya Kuchoma. Huko kote atadondosha alama.
Pulia atakuwa na kiporo dhidi ya Chelsea ya Poch.
Wakati hayo yakitokea, Big Ange na Spurs yake watakuwa wanawakaribisha katika North London Derby, Hapa wanaweza wakaambulia sare.
Siwaoni Arsenal wakitwaa ubingwa wa EPL, mechi za karibuni wanacheza na kupata matokeo ya ngekewa sana, ufinyu pia wa kikosi hasa katika idara ya ushambulizi itawagharimu kiaina.
Msisahau FA Cup walishatoka mapema tu!
Kwahyo, nahitimisha kuwa, Arsenal atashika nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi na kumaliza msimu bila taji lingine licha ya soka bora wanalopiga.
Mkuu agiza pepsi baridi nalipa kwa N-cardUsiku wenyewe wa Ulaya si ndio leo? Hapo Allianz Arena,ndugu yao kutoka kwa wapinzani wao wa North London, Spurs Mr. Magoli Harry Kane ANAWASUBIRI KWA HAMU.Huku kwenye ligi tayari Man City kaishakaa kwenye nafasi yake ambayo sidhani kama ataiachia.
🤣🤣🤣Maoni yako yapuuzwe!!
Wa mjini uko wapi?Nyie ndio washamba mnaodhani Arsenal yuko top of EPL juu ya Liverpool na Man City kwa bahati mbaya, mmezoea kuishi kwa kukariri kama watoto wa shule ya msingi.
Lete dastibin tutupe🤣🤣Unapoteza muda kuandika takataka
😂😂Niseme tu pambafu.
Unaleta mambo ya simba na yanga weweThe gunners wapo vizuri huu msimu unaweza kua wao
Nyie bado ni wanyonge tu!! Mbwaumeandika UCHOKO tu,huyo Tuchel amepitwa point 10 na anayeongoza Ligi,alifungwa 5 na Entrach Frankfurt,aligongwa 3 na Bochum timu iliyo nafasi ya 4 kutoka mwisho,aligongwa 3 na Bayer Leverkusen,watakaoingia uwanjani ni wachezaji 11 wa Arsenal na 11 wa Bayern wote wakiwa na miguu miwilimiwili,wachezaji wa Bayern hawatakuwa na miguu mitatumitatu,hivyo acheni viuchambuzi vyenu vya kichoko kenge nyie
Kakimbilia kijijiniWa mjini uko wapi?
Jamaa alikua anaiona arsenal kama timu ya shaulin soka [emoji1787][emoji81]Nyie bado ni wanyonge tu!! Mbwa
Wachawi mnatakiwa kuuwawa 😆😆😆😆Leo ratiba ya UCL imetoka na Arsenal amepangwa na Bayern Munich. Baada ya kuona ratiba hii, nikawaonea huruma mashabiki wa Arsenal kwani wanaenda kumaliza msimu tena bila taji lolote.
Arsenal ataanzia nyumbani Emirates kisha kwenda Allianz Arena ambapo huko atakufa nyingi si mnajua Harry Kane yupo huko na anaifahamu Arsenal vizuri tangu akiwa EPL amewafunga magoli ya kutosha tu!
Hapo Arsenal atakuwa nje ya Uefa kufikia April 16 na hata akifuzu anaenda kukutana na Man City au Real Madrid bado maisha ni magumu.
Atabaki kwenye ligi, huko nako safari sio rahisi ana safari ngumu.
Kwanza kabisa ana kibarua cha kwenda Etihad kisha baada ya wiki chache atarejea jijini Manchester safari hii akienda Matofali ya Kuchoma. Huko kote atadondosha alama.
Pulia atakuwa na kiporo dhidi ya Chelsea ya Poch.
Wakati hayo yakitokea, Big Ange na Spurs yake watakuwa wanawakaribisha katika North London Derby, Hapa wanaweza wakaambulia sare.
Siwaoni Arsenal wakitwaa ubingwa wa EPL, mechi za karibuni wanacheza na kupata matokeo ya ngekewa sana, ufinyu pia wa kikosi hasa katika idara ya ushambulizi itawagharimu kiaina.
Msisahau FA Cup walishatoka mapema tu!
Kwahyo, nahitimisha kuwa, Arsenal atashika nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi na kumaliza msimu bila taji lingine licha ya soka bora wanalopiga.
😬😬😬😬Jamaa alikua anaiona arsenal kama timu ya shaulin soka [emoji1787][emoji81]