Mtazamo wangu: Huenda Yanga SC ikajihakikishia rasmi Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC kwa Matokeo ya Mnyama na Coastal Union Leo au Police Tanzania Jumapili

Mtazamo wangu: Huenda Yanga SC ikajihakikishia rasmi Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC kwa Matokeo ya Mnyama na Coastal Union Leo au Police Tanzania Jumapili

Huyu ndiye rafiki yangu GENTAMYCINE kwenye ubora wake wa kujenga hoja na kusimamia anachokamini [emoji122][emoji122][emoji122]

NB: Na ametoa tahadhari kabisa kwa wale ambao mtakuwa mmekerwa na huu ujumbe wake. Najua hajasema ila mimi nawaibia siri. Mkija vibaya MTAPOPOLEWA

Una simu ngap G?
Anha nmekumbuka hi id ni ya desktop
 
Wapumbavu Wenzako na ambao wengi mmejazana hapa watakuamini kwa huu Uwongo wako ila wenye Akili Kubwa tunajua mpaka hapa ilipofikia Simba SC ( hatua hii ya Robo Fainali ya CAF ) imejipatia Kitita cha Dola za Kimarekani 350,000 ambazo ni sawa na Shilingi 803,000,000/= ( Milioni Mia Nane na Tatu ) za Tanzania kwa rate ya sasa ya Dola ya Tsh 2,300/= kwa Dola Moja.

Alooo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mkuu hata kindumba?
Si wanajjfanya Wajanja? Waroge wao sasa Kudadadeki zao. Tukisema ( tukiwaambia ) ukweli hapa JamiiForums wanatutukana wakati wengine tunaijua Simba SC yao ndani nje na tumeshaifanyia mengi makubwa, ya Hatari na hata Kujitoa Mhanga pasipo kuhitaji Malipo yoyote ( Fadhila zozote ) kutoka Kwao ila tulijitoa ( Sacrifice ) kwa Mapenzi yetu makubwa kwa Simba SC yenu ( yao )
 
Kwa timu iliyokosa furaha kwa misimu minne sioni ajabu mwaka huu wakichukua wao..as long mnyama malengo yake kimataifa yako vizuri! Na kwa akili tu ya kawaida usimba na uyanga unanoga ikiwa timu zote zinafanya vizuri! Sasa fikiria timu moja hiyohiyo kila mwaka inachukua yenyewe tu kombe..
Na ndio maana hata hizi kelele za kuipamba yanga za waandishi wa habari sio za bahati mbaya..ni kuhakikisha wanairudisha yanga kwenye ramani..hata simba wanalijua hili,na huwezi amini hata Manara kwenda yanga ni katika kukamilisha huo mkakati ngalau yanga nao wawe na furaha..Simba haikufika pale bahati mbaya iliwachukua miaka mingi sana ya machozi na damu.
 
Huyu ndiye rafiki yangu GENTAMYCINE kwenye ubora wake wa kujenga hoja na kusimamia anachokamini 👏👏👏

NB: Na ametoa tahadhari kabisa kwa wale ambao mtakuwa mmekerwa na huu ujumbe wake. Najua hajasema ila mimi nawaibia siri. Mkija vibaya MTAPOPOLEWA
Na 'nitawapopoa' kweli wawe makini tu.
 
Huu ni ukweli... Wengi wao naona wanajifariji mara tumechukuwa hela Toka CAF.. ndugu zangu niwaambie kitu Raha ya Mpira au tsnia yoyote ni Kombe au tuzo.. pesa zipo tu ndo maana watu waliua kutengeneza kombe au tuzo Ile ndo heshima.. Niambie Makolo mwaka huu mtachukuwa kombe gani hapa Bongo (Bac Kuna kolo mmoja atakuja na Kusema tumebeba Mapinduzi😁😁
Kwa hiyo hela sio tuzo? Utopolo bhana.
 
Pamoja na kuwa Makolo lia lia huwa nakukubali unapoamua kusimamia ukweli mpaka kuchukiwa na Makolo wenzako
Asante Mkuu ni Kheri nichukiwe na wana Simba SC Wanafiki na Wapumbavu waliopo, ila nitasema Ukweli wangu daima, Siku zote na hata kama Utanigharimu Uhai wangu au Chochote kile.
 
Kwa Matokeo ya Chamazi Complex Jana Usiku, kwa Presha Kubwa iliyoko sasa, kwa Ratiba ngumu ya Ligi Kuu na ile ya ASFC, kwa Rotation ya Wachezaji ili Kukwepa injuries na kwa Mawazo pamoja na Maandalizi ya Mechi na Waafrika Kusini katika Robo Fainali ya CAF Kiufundi GENTAMYCINE naona kuna Uwezekano mkubwa wa Kuangusha Alama Muhimu ama na Coastal Union FC leo au na Police Tanzania Jumapili hali ambayo itawahakikishia rasmi Ubingwa Wapinzani kwani tayari watakuwa wameshajikusanyia Alama ( Points ) nyingi za kuwapa Jeuri hiyo.

Nasisitiza huu ni Mtizamo wangu wa Kiufundi Mimi GENTAMYCINE na sijakulazimisha Uuamini au Uuchukue bali naomba / nakuomba tu Uuheshimu na kama hiki nilichokiandika Kitakukwaza ( Kitakukera ) nakusihi Vumilia tu kwani wengine tumebarikiwa kuwa Wakweli, Waona Mbali na hatujawahi ama Kuhisi Kitu au Kutabiri Jambo halafu kwa 75% hadi 99.999% kisiwe / lisiwe Kweli.

Na kama labda utakuwa na Hasira ( Jazba ) mno na GENTAMYCINE kwa huu Mtazamo wangu wa Kiufundi kutokana na Mapenzi ( Mahaba ) niue yako kwa Klabu yako pendwa nakuomba Kwanza anza Kuwakasirikia Viongozi wako ( hasa Mwekezaji wako ) ambaye alisitisha ( aligoma ) kutoa Posho kwa Wachezaji na CEO wenu nae akawacheleweshea Mishahara Wachezaji wenu hali iliyopelekea Wachezaji kushuka Morali na hatimaye Kuharibu Mechi ya Mbeya na Mbeya City FC na ile ya Kagera na Kagera Sugar FC.

Niwatakieni tu Karume Day njema Leo.
Japo mie ni yanga,nimependa kauli yako ya kuomba uvumilivu kwa maoni yako,asante kwa hilo
 
Kwa timu iliyokosa furaha kwa misimu minne sioni ajabu mwaka huu wakichukua wao..as long mnyama malengo yake kimataifa yako vizuri! Na kwa akili tu ya kawaida usimba na uyanga unanoga ikiwa timu zote zinafanya vizuri! Sasa fikiria timu moja hiyohiyo kila mwaka inachukua yenyewe tu kombe..
Na ndio maana hata hizi kelele za kuipamba yanga za waandishi wa habari sio za bahati mbaya..ni kuhakikisha wanairudisha yanga kwenye ramani..hata simba wanalijua hili,na huwezi amini hata Manara kwenda yanga ni katika kukamilisha huo mkakati ngalau yanga nao wawe na furaha..Simba haikufika pale bahati mbaya iliwachukua miaka mingi sana ya machozi na damu.
Baada ya kuona Mambo yameshaharibika leo ndiyo mnajifariji kwa haya Maneno na hivi Visingizio vyenu vingi? Nikiwaambia Ukweli hapa JamiiForums si huwa hamtaki ( hamkubali ) na Mnanitukana na Kunishambulia?

Endeleeni basii na huo Utamaduni Wenu wa Kinafiki na Kiupopoma.
 
Wewe inaonekana mchawi sio bure, kama umeikatia tamaa simba kwanini kutwa unaandika nyuzi humu,sisi wenye nayo tumerizika nayo hata tukikosa ubingwa au tukiishia robo fainali mwaka huu hatuwadai kitu wachezaji wetu na makocha wetu kwasababu tulianza ligi vibaya na tulikutana na bahati ya viwanja vibovu, sisi hatuna pressure kwasababu mwakani tunakwenda kimataifa kama kawaida tena champions league na tukiwa tunawachezaji wazuri acha kutupa pressure zisizo na maana sisi hatufanyi vibaya kwenye ligi kwani tupo nafasi ya pili na tunacheza robo fainali ya caf shirikisho.
 
Huu ni ukweli... Wengi wao naona wanajifariji mara tumechukuwa hela Toka CAF.. ndugu zangu niwaambie kitu Raha ya Mpira au tsnia yoyote ni Kombe au tuzo.. pesa zipo tu ndo maana watu waliua kutengeneza kombe au tuzo Ile ndo heshima.. Niambie Makolo mwaka huu mtachukuwa kombe gani hapa Bongo (Bac Kuna kolo mmoja atakuja na Kusema tumebeba Mapinduzi[emoji16][emoji16]
Mapinduzi yanga hamlitaki?sio nyinyi mmezunguka nalo kama mazuzu Dar msimu uliopita na joto kali.
 
Wewe inaonekana mchawi sio bure, kama umeikatia tamaa simba kwanini kutwa unaandika nyuzi humu,sisi wenye nayo tumerizika nayo hata tukikosa ubingwa au tukiishia robo fainali mwaka huu hatuwadai kitu wachezaji wetu na makocha wetu kwasababu tulianza ligi vibaya na tulikutana na bahati ya viwanja vibovu, sisi hatuna pressure kwasababu mwakani tunakwenda kimataifa kama kawaida tena champions league na tukiwa tunawachezaji wazuri acha kutupa pressure zisizo na maana sisi hatufanyi vibaya kwenye ligi kwani tupo nafasi ya pili na tunacheza robo fainali ya caf shirikisho.
Kwaiyo wengine walikuwa wanachezea kwenye viwanja vilivyopo mbinguni? Nyie tu ndo mlikuwa mnachezea viwanja vibovu sio?
 
Back
Top Bottom