Mtazamo wangu: Huenda Yanga SC ikajihakikishia rasmi Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC kwa Matokeo ya Mnyama na Coastal Union Leo au Police Tanzania Jumapili

Pumbavu na kuna uwezekano mkubwa pia Mechi zako za Leo na Coastal Union FC na ile ya Jumapili dhidi ya Police Tanzania ukaharibu zote au moja wapo na labda kitakachokuokoa ni 'Kuhonga' ili Timu ishinde na ishushe Presha za nyie Mashabiki Mbumbumbu ili mpoe na msianzishe Migogoro.
 
Hata wakichukua .
Simba ameshaingiza bilioni 1 na chenji huko shirikisho.
Tena kwa hatua chache tu.
Hivi siku hizii dola imepanda kiasi hiki? Yaani dola 350,000 wanazopokea waliotinga robo fainali kumbe ni sawa sawa na bilioni moja za kitanzani
 
Kuingia makundi Simba kalipwa bei gani?
Na kuingia robo FAINALI Simba kalipwa bei gani?
 
We ndio mjinga wa mwisho,kazi kuwaombea mabaya wanaume wenye mafanikio, acha wivu wa uke wenza.
 
Kwahyo tuwalaumu viongozi? Unataka kila msimu Simba ibebe ubingwa tu? Lazima ifike stage tukubali hiyo ndio football lazma na timu nyingine zije kubeba ubingwa. Utakuwa juha mkubwa sana ukiendelea kuamini kuwa Simba kila msimu itwae ubingwa wa NBC
 
Mapinduzi yanga hamlitaki?sio nyinyi mmezunguka nalo kama mazuzu Dar msimu uliopita na joto kali.
Wenyewe wanasema kilichowafanya wazunguuke nalo Dar ni matokeo ya mechi ya fainali na wala sio kwa sababu ya kupata kombe. Hilo kombe lilikuwa ni msindikizaji tu.
 
Hizo bil 1 yanga anazipata katika ubingwa wa ligi
Mh tupe mchangunuo wake hapa hiyo bi 1 mtaiiba wapi?maana mshindi anapata mil 500 mshindi wa pili mil 250 ina maana tofauti ya ni mil 250 so nyie mnatoa wapi hiyo bil 1?
 
Wenyewe wanasema kilichowafanya wazunguuke nalo Dar ni matokeo ya mechi ya fainali na wala sio kwa sababu ya kupata kombe. Hilo kombe lilikuwa ni msindikizaji tu.
Ndio maana msemaji wao alisema hawana akili na kuthibitisha hilo wakaenda kumbeba huyohuyo aliewatukana
 
Simba tupambane kiume kuchukua kombe la Azam, ligi labda utokee muujiza
 
Ndio maana msemaji wao alisema hawana akili na kuthibitisha hilo wakaenda kumbeba huyohuyo aliewatukana
Niliwahi kusoma michango humu kwenye JF, niliona jamaa kama amefuta kauli zake zinazoihusu Uto na kudai hakuwa serious na kauli nyengine alizitoa akiwa amelewa.

Kwa hivyo anadai zisichukuliwe kiivyo na asihusishwe nazo.
 
Kwa hiyo wameajiri mwendawazimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…