crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Wcb wasafi ndio lebo namba moja afrika mashariki na kati hivi sasa lakini wasanii wake ni masikini kwa sababu kikubwa katika wanachotengeza kinaishia kwa mameneja na kidogo kwao.
Nimewahi kumsikia mkubwa fela pale wasafi fm alisema analipwa milion 40 kwa mwezi na mond ukiweka mbali mgao kutoka kwa wasanii.
WCB ni kubwa kwa sababu ya diamond. Hawa mameneja hawana impact yoyote pale ndio maana hata wasanii wanaowasimamia nje ya lebo hiyo hawajafanikiwa kwa chochote.
Solution hapa ni kuwatenganisha mameneja na lebo. Kama mond anawaamini sana hawa jamaa basi awaweke wawe mameneja wake kama msanii na sio lebo otherwise wasanii watabaki kuwa masikini na watatoka pale bila chochote cha kujivunia zaidi ya umaarufu.