Mtazamo wangu juu ya mabadiliko yaliyofanyika hivi karibuni

D

DeletedMember281674

Guest
Wizara ya Ndani, aliyekuwepo kaondolewa kwa sababu pale Kuna manunuzi ya upigaji, na alionekana ni mtu ambaye hapendi upigaji katika manunuzi hayo ndiyo maana kawekwa Bwana Mdogo asiyebweka.

Wizara ya Habari & Michezo, Kuna hela mingi sana pale za ujenzi na ukarabati wa viwanja vya michezo hususani viwanja vya mipira miguu ukizingatia Afcon 2027 itafanyika pia TZ. Aliyepelekwa mtoto wa Mjini kuliko hata FA, maana FA Ndani ya miaka 2 kawa Bilionea ghafla kutokana na deals hizo, Sasa huyu Mpya anaenda kutuonesha misuli FA maana huko nyuma walishasuguana Hawa wawili hususani ziara ya FA kwenye Mkoa ambao Mpya alikuwa RC hakupita kumsalimia yeye akanyoosha hadi eneo la mradi na kumpigia kampeni kiaiana Mbunge aliyekuwepo Gambo kabla ya kura za maoni, hii kitu ilimkwaza Sana huyu Mpya.

Kazi Maalum, huyu katolewa kule kaliletwa kazi Maalum ili kumsaidia namba Moja kuweka nchi kwenye mstari maana walikuwepo wengi ni vilaza, ila majalalani yule ni First Class tangu akiwa majalalani, atamsaidia kama namba Moja mwenyewe atakubali kushaurika, akikataa atamtumbua.

Huu ni mtazamo tu, unaweza Pinga au kukataa, yote inaruhusiwa
 
Screenshot_20260110-183702~2.png
 
Back
Top Bottom