EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
-
- #101
Jipeleke TRA wakupe deni lako ni kiasi gani vinginevyo mshahara wa januari wanaingika makato kwenye salary slip yakoMimi nilifunga biashara tangu 2015 huko na sijatowa taarifa nitakuwa nadaiwa kiasi gani ..nikalipe fastaa
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Sijaajiriwa mkuu. Biashara zina mapato..Jipeleke TRA wakupe deni lako ni kiasi gani vinginevyo mshahara wa januari wanaingika makato kwenye salary slip yako
ndio uende wakupe deni lako
Ya kusitisha businesaa
πππAache mambo ya ajabu kama hana hela ya kuendeshea nchi awaombe msamaha wazungu aliowaita ni mabeberu.
Bado unaota chadema? Haijafa?Mnataka mjifichefiche ili iweje? Acha serikali iwajue, mnalilia utawala wa sheria wakati huohuo hamtaki kufata sheria! Chadema hovyo kabisa!
Inaconnect VP sasa TIN na HESLB?Mimi nawasikitia waliokopa LOAN BOARD halafu wamekwepa na kuapa kuwa hawatalipa.
Unajulikana kirahisi uko wapi na unafanya nini ?Inaconnect VP sasa TIN na HESLB?
Non Bussiness Tin Number inahusiana vipi Na Bussiness tin number ?
Hujui kuwa Tin namba ya biashara (kampuni )na tin number yako binafsi ni vitu viwili tofauti.
Siku hizi TRA wakiishiwa vianzo vya mapato wanarudi nyuma miaka 10-15 kutafuta kodi kwenye makaratasi.Ishu ya road licence ilifutwa na sidhani kama wanafuatilia madeni ya nyuma ya road licence