Mtazamo wangu juu ya ujio wa TIN kwa Waajiriwa

Mtazamo wangu juu ya ujio wa TIN kwa Waajiriwa

Mkuu mi nilifunga business but niliwajulisha kwa barua, hapo Kuna ishu tena kwangu?
Kwa jinsi mifumo ya serikali ilivyo ya hovyo, hakuna namna unaweza kukwepa kuingizwa kwenye madeni hayo, mimi ilinitokea hivi karibuni, nilinunua gari kwa mtu wakati ambapo serikali walikuwa wamefuta Road License fee, nilipokwenda Tra kubadirisha Umiliki wa gari hilo nikaambiwa hii kadi inadaiwa Load license na hawawezi kupokea malipo mengine mpaka lile deni liwe cleared, nililazimika kulipa bila kupenda, lakini pia matatizo haya yapo hata kule kodi ya ardhi, ilionekana nadaiwa miaka mingi, nisinge kuwa na risiti za nyuma ingekuwa shida sana,
acha watukamue
 
Nini kilipelekea mpk ukafunga mkuu?
Iko hivi mkuu...

Nilifungua kabusiness hapo muhonda kariakoo, hee nikaenda kupiga nao tozo wakanikamua ipasavyo, nilivyoona nilichotoa sio nilichopata nikafunga na nikawajulisha kwa barua!

Pale tra ukifika ofisini kwao wakianza kukudiria kodi mama unaweza kutapika full kichefuchefu
 
Vyovyote vile itakavyo kua, kwa hatus hizi ambazo serikali inachukua, nadhani thamani na heshima ya pesa itaonekana sasa. Watu watakua wanafanya maamuzi sahihi na yenye tija kwenye matumizi ya pesa kwa sababu upatikanaji wake utakua mgumu na hata ukiwa rahisi bado utakamuliwa tu kwa ajili ya maendeleo ya nchi.
 
Duuh pole sana kwa changamoto, ila pia hongera kwa uthubutu wa kujikwamua kiuchumi

Ni bahati mbaya sana hapa kwetu badala hizi mamlaka za mapato ziwe friendly na small business ili kudiversify tax base wao wanaweka mazingira magumu na hivyo kuziua na kuendelea kuwa na no ileile ya walipa kodi miaka nenda rudi

Ukiua biashara umeua ajira umeua mapato umeua uchumi TRA watengeneze mazingira mazuri ya kodi yatakayowaattract watu wapende kulipa kodi lkn pia yatakayo wahamasisha watu waanzishe biashara kwa wingi na hivyo kufikia lengo la ajira 8m wakiendelea na mtindo huu ajira nyingi zitapotea
 
Non Bussiness Tin Number inahusiana vipi Na Bussiness tin number ?

Hujui kuwa Tin namba ya biashara (kampuni )na tin number yako binafsi ni vitu viwili tofauti.
TIN ni moja tu haijawahi kuwa zaidi ya hapo. Kama sio ya baiashara ukitaka kufanya biashara unaibadilisha matumizi.
 
Vyovyote vile itakavyo kua, kwa hatus hizi ambazo serikali inachukua, nadhani thamani na heshima ya pesa itaonekana sasa. Watu watakua wanafanya maamuzi sahihi na yenye tija kwenye matumizi ya pesa kwa sababu upatikanaji wake utakua mgumu na hata ukiwa rahisi bado utakamuliwa tu kwa ajili ya maendeleo ya nchi.
Mawazo ya kimaskini kabisa haya, yaani wewe unajifanya una nchi hapa sio ??, ungejua jinsi hao viongozi wenu wanavyoishi kama wako peponi usingesema huu upuuzi wako, hao viongozi pamoja na malipo makubwa wanayopewa, (mbunge kwa mfano 12million Tshs/mwezi) na bado analipiwa hela ya mafuta ya gari lake analipiwa marupurupu kibao na bado anapewa mkopo wa kununua gari ambalo akimaliza ubunge linakuwa la kwake na hawalipi kodi, akimaliza tu muda wake wa ubunge analipwa mafao yake hapo hapo, wakati mwalimu anaambiwa asubiri mpaka afikishe miaka 60 ndio apewe mafao yake tena kwa kusimangwa
 
TIN ni moja tu haijawahi kuwa zaidi ya hapo. Kama sio ya baiashara ukitaka kufanya biashara unaibadilisha matumizi.
Sijui hata unaelewa ulichoandika au nilichoandika.

Nimesema kampuni Ina Tin number Yake na mtu binafsi ana tin namba yake. Nyie mnaotumia tin namba zenu kuwa za Kampuni ni wale mnaofanya biashara chini ya bussiness name ambapo kisheria madeni ya biashara yako ni huunganishwa na mmiliki. Tofauti na kwenye kampuni madeni Ni ya kampuni.

Kipi hakieleweki hapo.
 
Wewe jamaa unapotosha, mimi nilipata Tin wakati nachukua leseni ya gari, nilipoanza biashara nikaambiwa nilete Tin, siku nyingine naenda kulipa mapato nikaambiwa inaonekana una biashara nyingine, yaani kuna biashara ya duka la madawa ilionekana kwenye Tin yangu, nikawaambia mimi sina duka la madawa, wakaiondoa, kwa hiyo biashara zote wanaziingiza kwenye Tin moja, na sasa ndio wanataka kuingiza na PAYE
 
TATIZO kubwa ninaliona katika Nchi hii ni kwamba huwa hamna taarifa rasmi zenye ufafanuzi wa wazi.Mara nyingi utaona jambo mitandaoni na kumbe ndio ukweli.

Kwa kweli watu wanahofu ya Kila kitu Mara sijui ukisambaza taarifa hii unachochea lakini kwann tusiangalie kipi kweli na si kweli Kingine ni aina ya kesi kila mara Kesi ni utakatishaji na uhujumu..Zimekua nyingi na maarufu sana this time.a
 
Sijui hata unaelewa ulichoandika au nilichoandika.

Nimesema kampuni Ina Tin number Yake na mtu binafsi ana tin namba yake. Nyie mnaotumia tin namba zenu kuwa za Kampuni ni wale mnaofanya biashara chini ya bussiness name ambapo kisheria madeni ya biashara yako ni huunganishwa na mmiliki. Tofauti na kwenye kampuni madeni Ni ya kampuni.

Kipi hakieleweki hapo.
Wewe ndio ulikua huelewi unachokisema mpaka mtu mmoja hapo naona amekuelemisha. Kujifanya ujuaji kwenye hakuna. Mada inazungumzia TIN na waajiriwa. Wewe uje uweke mambo ya kampuni sijui TIN ya kampuni.
Kampuni toka lini ikawa muajiriwa. Kampuni ni mtu kisheria na hivyo inakua na TIN yake. Hiyo haimzuii share holder pia kuwa na TIN yake au kuwa muajiriwa.
 
Sijui hata unaelewa ulichoandika au nilichoandika.

Nimesema kampuni Ina Tin number Yake na mtu binafsi ana tin namba yake. Nyie mnaotumia tin namba zenu kuwa za Kampuni ni wale mnaofanya biashara chini ya bussiness name ambapo kisheria madeni ya biashara yako ni huunganishwa na mmiliki. Tofauti na kwenye kampuni madeni Ni ya kampuni.

Kipi hakieleweki hapo.
TIN ya mtu binafsi inakuaje ya kampuni. Hujui unachoongea halafu mbishi sana.
Business enterprise, partnership whatever haiwezi kuwa kampuni.
 
Back
Top Bottom