Mtazamo wangu juu ya ujio wa TIN kwa Waajiriwa

Mtazamo wangu juu ya ujio wa TIN kwa Waajiriwa

Non Bussiness Tin Number inahusiana vipi Na Bussiness tin number ?

Hujui kuwa Tin namba ya biashara (kampuni )na tin number yako binafsi ni vitu viwili tofauti.
Kwasasa hivi hakuna non business na business Tin,Tin inakuwa moja isipokuwa,hiyo moja kama ulifungua Non business unaibadilisha inakuwa Business.Reg. ya Tin inatumia NIDA kwahiyo itagoma kwenye system hakuna Tin namba mbili kwa mtu mmoja.
 
Bro ukifungua Biashara kwa Bussiness name madeni yako yote ya biashara ni madeni yako. Ndio maana tin namba yako wanaia-upgrade ili iwe bussiness tin number.

Ila ukifungua kampuni , madeni ya biashara yako ni ya kampuni yako, na huku hata uwe na tin namba yako ila kampuni itakuwa na tin namba Yake ambayo ndio itakuwa inatumika kulipia Kodi TRA.

Nilichojifunza watanzania tunafanya vitu vingi kimazoea.
 
Kumbuka gari ilisajiliwa na TIN yako na ilishasajili DENI kabla haijafutwa, so deni huenda likabaki
Hii issue ilifutwa kile kipindi cha kuhakiki TIN. Watu tulikutwa tunadaiwa RL za magari tuliouza uzuri hadi wabunge waliguswa wakakimbia kufuta madeni yote ya nyuma ya RL. Wakichimba tena hili kaburi kuna watu tutabadili majina na dini.
 
Non Bussiness Tin Number inahusiana vipi Na Bussiness tin number ?

Hujui kuwa Tin namba ya biashara (kampuni )na tin number yako binafsi ni vitu viwili tofauti.
Kwani kuna tin namba za biashara na non business ambazo zaweza milikiwa na mtu mmoja??
 
Km una biashara kodi unayolipa inatozwa kwenye faida na siyo mtaji. Km biashara ilikufa kwakua hukutengeneza faida sheria inatambua kua huaswi kulipa Kodi Na km biashara bado ipo hai lkn hietengenezi faida napo pia kisheria hupaswi kulipa kodi. Unaposema wanafatilia km zamani uliwahi kua na biashara ili wakutoze kodi sioni uhalali wao wa kufanya hivyo.
Tanzania hakuna sheria,taratibu wala uhalali,kwahiyo usiwe mbishi ndugu,lolote linaweza kutokea muda wowote
 
Km una biashara kodi unayolipa inatozwa kwenye faida na siyo mtaji. Km biashara ilikufa kwakua hukutengeneza faida sheria inatambua kua huaswi kulipa Kodi Na km biashara bado ipo hai lkn hietengenezi faida napo pia kisheria hupaswi kulipa kodi. Unaposema wanafatilia km zamani uliwahi kua na biashara ili wakutoze kodi sioni uhalali wao wa kufanya hivyo.
Haya mambo yapo huko darasani unaposoma ukija huku uwanjani TRA hawajui unaingiza faida wala nini, wao wanakukadiria tozo lao, utajua mwenyewe unalipaje
 
Back
Top Bottom