Mtazamo wangu juu ya ujio wa TIN kwa Waajiriwa

Mtazamo wangu juu ya ujio wa TIN kwa Waajiriwa

Mleta mada unaelewa maana ya kampuni? Tangu lini Deni la kampuni likawa la mtu binafsi.

Bora hata ungesema kwa wanaofanya biashara kwa kutumia bussiness name at least Inge make sense.
 
Mkuu saivi wanaunganisha unatumia TIN moja tu kwa kila shughuli zako, iwe Biashara, driving licence n.k
Mkuu unaelewa unachokizungumza kweli?

Ukifungua kampuni lazima iwe na TIN number yake na sio TIN namba yako. Unless uwe unafanya biashara kwa Kutumia bussiness name ambayo deni la biashara huwa linajumlishwa na muhusika mwenye biashara..
 
Mkuu unaelewa unachokizungumza kweli ?

Ukifungua kampuni lazima iwe na tin number Yake na sio tin namba yako. Unless uwe unafanya biashara kwa Kutumia Bussiness name ambayo Deni la biashara huwa linajumlishwa na muhusika mwenye biashara..
Suala la kampuni ni hatua ndefu, nazungumzia biashara za maduka, hadrware, bar nyingi zinatumia TIN ya mwenyemali na siyo kampuni
 
Suala la kampuni ni hatua ndefu, nazungumzia biashara za maduka, hadrware, Bar nyingi zinatumia TIN ya mwenyemali na siyo kampuni
Mkuu ukifunga biashara kinyemela kama hujatoa taarifa TRA wao wataendelea kuhesabu kama kawaida.

By the way Hilo unalofikiria ni fear of unknown haiwezi kutokea.
 
aache mambo ya ajabu kama hana hela ya kuendeshe nchi awaombe msamaha wazungu aliowaita ni mabeberu
Huko kwa mabeberu mtindo ndio huo. Mtazoea tu kama ambavyo mengi yalikuja tukazoea
 
Iliwahi kunitokea hii kipindi fulani, nilifunga biashara ya ya kama miaka 2 nikakutata nadaiwa million kadhaa TRA
Bora hata saivi wanaweza kukumbusha kwa sms zamani hawakusemeshi unastukia tu hawa hapa na jumla ya kodi unayodaiwa
 
Vipi mfano Mtu amesajili jina la Biashara Brela ila bado hajaanza hata Biashara wala hana leseni ya Biashara say miaka hata miwili hali inaweza kuwaje ?
 
Non Bussiness Tin Number inahusiana vipi Na Bussiness tin number ?


Hujui kuwa Tin namba ya biashara (kampuni )na tin number yako binafsi ni vitu viwili tofauti.
Kwenye hili sakata wale ambao walikuwa na TIN No ya biashara wameambiwa wapeleke hizo hizo, na TRA wanadai mtu mmoja hawezi kuwa na TIN No mbili...
 
Issue ni pesa wekezeni nje mbona Kuna Mambo mengi unawekeza hata uingereza ukiwa bongo unaendelea kula maisha.


Kama una milion 500 zako nunua hata Bonds za serikali ya uingereza, ujerumani , au UsA endelea kula maisha. Usitafute stress. Ndio maana ya dunia kuwa Kijiji msijiumize watanganyika wenzangu.
 
Waliofunga biashara kama hawakutoa taarifa kwa maandishi itawacost sana
Km una biashara kodi unayolipa inatozwa kwenye faida na siyo mtaji. Km biashara ilikufa kwakua hukutengeneza faida sheria inatambua kua huaswi kulipa Kodi Na km biashara bado ipo hai lkn hietengenezi faida napo pia kisheria hupaswi kulipa kodi. Unaposema wanafatilia km zamani uliwahi kua na biashara ili wakutoze kodi sioni uhalali wao wa kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom