Mawazo ya kimaskini kabisa haya, yaani wewe unajifanya una nchi hapa sio ??, ungejua jinsi hao viongozi wenu wanavyoishi kama wako peponi usingesema huu upuuzi wako, hao viongozi pamoja na malipo makubwa wanayopewa, (mbunge kwa mfano 12million Tshs/mwezi) na bado analipiwa hela ya mafuta ya gari lake analipiwa marupurupu kibao na bado anapewa mkopo wa kununua gari ambalo akimaliza ubunge linakuwa la kwake na hawalipi kodi, akimaliza tu muda wake wa ubunge analipwa mafao yake hapo hapo, wakati mwalimu anaambiwa asubiri mpaka afikishe miaka 60 ndio apewe mafao yake tena kwa kusimangwa