Mtazamo wangu kuelekea mechi ya mnyama Simba

Namata

Senior Member
Joined
Sep 1, 2019
Posts
139
Reaction score
173
Kwa mtazamo wangu kelekea mechi ya kesho naona kabisa mnyama naenda kutoa sare kwasababu Misosa watacheza wamerelax kwakuwa hawana cha kupoteza na Simba watacheza kwa umakini mkubwa kuogopa kupoteza poits tatu.

Lakini Mimosa hawajawahi kupoteza kwenye uwanja wao wa nyumbani, so ni ngumu sana Simba kupata ushindi kwenye gem ya style hii. I say draw.
 
Kwa mtazamo wangu kelekea mechi ya kesho naona kabc mnyama naenda kutoa sale kwasababu misosa watacheza wamerelax kwakukuwa awana chakupoteza na sima watacheza kwa umakini mkubwa kuogopa kupoteza poits tatu .Lkn mimosa awajawai kupoteza kwenye uwanja wao wa nyumban so ni ngumu sana simba kupata ushindi kwenye gem ya style hii .I say draw.
Misosa ndo timu gani na ya nchi gani?
 
Kwa mtazamo wangu kelekea mechi ya kesho naona kabc mnyama naenda kutoa sale kwasababu misosa watacheza wamerelax kwakukuwa awana chakupoteza na sima watacheza kwa umakini mkubwa kuogopa kupoteza poits tatu .Lkn mimosa awajawai kupoteza kwenye uwanja wao wa nyumban so ni ngumu sana simba kupata ushindi kwenye gem ya style hii .I say draw.
Simba anafungwa goli 3 na zaidi...... hakuna sare kabisa.
 
Kwa mtazamo wangu kelekea mechi ya kesho naona kabc mnyama naenda kutoa sale kwasababu misosa watacheza wamerelax kwakukuwa awana chakupoteza na sima watacheza kwa umakini mkubwa kuogopa kupoteza poits tatu .Lkn mimosa awajawai kupoteza kwenye uwanja wao wa nyumban so ni ngumu sana simba kupata ushindi kwenye gem ya style hii .I say draw.
Wanataka kujihakikishia nafasi ya kwanza so target ni point tatu japo wakipata droo ni sawa,ila kwenye mpira kama unataka droo basi lazima uaim higher ili ukidrop basi droo sio mbaya.

Pili Mimosa damu changa sio kama nyie na wanakasi kuliko nyie,wanamshambuliaji ana miaka kumi na sita anaanza,ukisema utafute average ya umri kwenye timu nzima basi watakuwa kati ya 19-23/24.

Mjiandae kutolewa pumu na kukimbizwa.
 
Simba mbovu ilo alina shaka kabs lkn simba iyoiyo ikicheza kimatahifa kwenye mchezo muhimu kama huu uwa inabadilika sana sina shika na simba kurudi na point lkn sio kupoteza mchezo ilo never.
 
Haya maneno eti ifika kimataifa Simba ina badilikia ndio hua yanatuponza msimu huu tumeshinda mechi moja kati ya nane kimataifa hayo mabadiliko yata anza lini?
 
Nikweli changamoto kubwa simba sasa inacheza kiwango cha chini sana wachezaji wengi pale walistaili kuachwa sema janjajanja.
 
Wanataka kujihakikishia nafasi ya kwanza so target ni point tatu japo wakipata droo ni sawa,ila kwenye mpira kama unataka droo basi lazima uaim higher ili ukidrop basi droo sio mbaya.

Pili Mimosa damu changa sio kama nyie na wanakasi kuliko nyie,wanamshambuliaji ana miaka kumi na sita anaanza,ukisema utafute average ya umri kwenye timu nzima basi watakuwa kati ya 19-23/24.

Mjiandae kutolewa pumu na kukimbizwa.
Kama CRB atakavyowatoa pumu yanga kwa mkapa
 
Itakua jambo la kushangaza kwa uongozi wa Simba kushindwa kupata point Moja ya mchongo kwa kuongea na viongozi wenzako wa A sec.
Asec wakipata point Moja wanakua na 11 ambazo hakuna atakaye zifikia.
Simba ata pata point Moja itakayo muweka pazuri mechi ya mwisho.
Viongozi waache mkono wa birika, mechi ni nyepesi ugumu waulete viongozi wa Simba.
 
Kwahiyo unawastua ili waje kukupigia kelele baadae kuwa swala la robo fainali kwao ni kawaida
 
Hainipi shida kwakua siku zote apo ndio mwisho.
Ukumbuke kwamujibu wa taarifa ya MO mpaka mwaka Jana wakati anatoa taarifa yake Simba ilikua imetumia bilioni 55 ambazo ni pesa zake binafsi.
Iyo hai husiani na bilioni 20 alizo wekeza na iyo ni msimu wa mashindano ya klabu bingwa uliopoita.

Kama Timu kwa miaka 5 imetumia zaidi ya bilioni 90 ukiingiza na izo alizosema mwekezaji yaani pesa za MO uki ingiza na bajeti ya mashindano ya klabu ya msimu na Bado haijavuka hatua ya robo inamaana mbinu zao zote zimefeli kutokana na gharama walizo tumia mpaka Sasa.
 
Back
Top Bottom