Misosa ndo timu gani na ya nchi gani?Kwa mtazamo wangu kelekea mechi ya kesho naona kabc mnyama naenda kutoa sale kwasababu misosa watacheza wamerelax kwakukuwa awana chakupoteza na sima watacheza kwa umakini mkubwa kuogopa kupoteza poits tatu .Lkn mimosa awajawai kupoteza kwenye uwanja wao wa nyumban so ni ngumu sana simba kupata ushindi kwenye gem ya style hii .I say draw.
Nilidhani ni aina ya chakula kumbe team.Misosa ndo timu gani na ya nchi gani?
MimosasMisosa ndo timu gani na ya nchi gani?
Simba anafungwa goli 3 na zaidi...... hakuna sare kabisa.Kwa mtazamo wangu kelekea mechi ya kesho naona kabc mnyama naenda kutoa sale kwasababu misosa watacheza wamerelax kwakukuwa awana chakupoteza na sima watacheza kwa umakini mkubwa kuogopa kupoteza poits tatu .Lkn mimosa awajawai kupoteza kwenye uwanja wao wa nyumban so ni ngumu sana simba kupata ushindi kwenye gem ya style hii .I say draw.
Wanataka kujihakikishia nafasi ya kwanza so target ni point tatu japo wakipata droo ni sawa,ila kwenye mpira kama unataka droo basi lazima uaim higher ili ukidrop basi droo sio mbaya.Kwa mtazamo wangu kelekea mechi ya kesho naona kabc mnyama naenda kutoa sale kwasababu misosa watacheza wamerelax kwakukuwa awana chakupoteza na sima watacheza kwa umakini mkubwa kuogopa kupoteza poits tatu .Lkn mimosa awajawai kupoteza kwenye uwanja wao wa nyumban so ni ngumu sana simba kupata ushindi kwenye gem ya style hii .I say draw.
Simba mbovu ilo alina shaka kabs lkn simba iyoiyo ikicheza kimatahifa kwenye mchezo muhimu kama huu uwa inabadilika sana sina shika na simba kurudi na point lkn sio kupoteza mchezo ilo never.Wanataka kujihakikishia nafasi ya kwanza so target ni point tatu japo wakipata droo ni sawa,ila kwenye mpira kama unataka droo basi lazima uaim higher ili ukidrop basi droo sio mbaya.
Pili Mimosa damu changa sio kama nyie na wanakasi kuliko nyie,wanamshambuliaji ana miaka kumi na sita anaanza,ukisema utafute average ya umri kwenye timu nzima basi watakuwa kati ya 19-23/24.
Mjiandae kutolewa pumu na kukimbizwa.
Jwaneng akishinda ndio utaona hio sare inaleta shidaSare Sio Mbaya , Lunyasi Atapita
Haya maneno eti ifika kimataifa Simba ina badilikia ndio hua yanatuponza msimu huu tumeshinda mechi moja kati ya nane kimataifa hayo mabadiliko yata anza lini?Simba mbovu ilo alina shaka kabs lkn simba iyoiyo ikicheza kimatahifa kwenye mchezo muhimu kama huu uwa inabadilika sana sina shika na simba kurudi na point lkn sio kupoteza mchezo ilo never.
Nikweli changamoto kubwa simba sasa inacheza kiwango cha chini sana wachezaji wengi pale walistaili kuachwa sema janjajanja.Haya maneno eti ifika kimataifa Simba ina badilikia ndio hua yanatuponza msimu huu tumeshinda mechi moja kati ya nane kimataifa hayo mabadiliko yata anza lini?
Jwaneng Lzm atakandwa kwa Mkapa..!Jwaneng akishinda ndio utaona hio sare inaleta shida
Tena ashinde tu, maana mwisho wake utakuwa ni hizo point saba. Kwa Mkapa atapigwa hata kwa kuazima majini ya wataniJwaneng akishinda ndio utaona hio sare inaleta shida
Kipi kinakupa huo uhakika? mpira ni wachezaji 11 kwa 11Jwaneng Lzm atakandwa kwa Mkapa..!
Hivyo hata akishinda atabakia na 8 points. Mnyama Kapita
Anamànisha Misos.Misosa ndo timu gani na ya nchi gani?
Kama CRB atakavyowatoa pumu yanga kwa mkapaWanataka kujihakikishia nafasi ya kwanza so target ni point tatu japo wakipata droo ni sawa,ila kwenye mpira kama unataka droo basi lazima uaim higher ili ukidrop basi droo sio mbaya.
Pili Mimosa damu changa sio kama nyie na wanakasi kuliko nyie,wanamshambuliaji ana miaka kumi na sita anaanza,ukisema utafute average ya umri kwenye timu nzima basi watakuwa kati ya 19-23/24.
Mjiandae kutolewa pumu na kukimbizwa.
Okay tupo hapa hapa JF, tutakumbushana.Simba mbovu ilo alina shaka kabs lkn simba iyoiyo ikicheza kimatahifa kwenye mchezo muhimu kama huu uwa inabadilika sana sina shika na simba kurudi na point lkn sio kupoteza mchezo ilo never.
Kama CRB atakavyowatoa pumu yanga kwa mkapa
Kwahiyo unawastua ili waje kukupigia kelele baadae kuwa swala la robo fainali kwao ni kawaidaItakua jambo la kushangaza kwa uongozi wa Simba kushindwa kupata point Moja ya mchongo kwa kuongea na viongozi wenzako wa A sec.
Asec wakipata point Moja wanakua na 11 ambazo hakuna atakaye zifikia.
Simba ata pata point Moja itakayo muweka pazuri mechi ya mwisho.
Viongozi waache mkono wa birika, mechi ni nyepesi ugumu waulete viongozi wa Simba.
Hainipi shida kwakua siku zote apo ndio mwisho.Kwahiyo unawastua ili waje kukupigia kelele baadae kuwa swala la robo fainali kwao ni kawaida