homeless1
JF-Expert Member
- Sep 24, 2020
- 427
- 950
Kwanza niseme wazi kuwa mimi ni mshabiki wa Simba sports club lakini uchambuzi wangu utazungumzia uzoefu mdogo nilionao kuhusu soka la Africa.
1. Kwa asilimia 100% nina uhakika Simba Sports Club ataenda Robo fainali hata kama wakibaki na hizo point 10 hio inamaanisha viongozi ni heli wakafikiria kuongoza kundi ili Kuipandisha hadhi team yetu.
2. Tukifika robo fainali nina uhakika mashabiki wa Simba hatutafurahishwa na kama ikitokea tukatolewa lakini nina uhakika pia tutajivunia team yetu kwa hatua ambayo tutakua tumefikia.
3. Team za Africa viwango vyao karibia vyote vinafanana na ndio maana ni mara chache sana kupata matokeo ya team kupigwa goli kuanzia mbili na kuendelea watu tunaobeti nafikiri hapa mnanielewa.
3. Kuna Wydad, Esperance na Mamelod ambao watu wengi wanaona kama ni tishio kitu ambacho niukweli ila ukiwa upande wa hizo team nina uhakika kwao team tishio na hawataki kukutana nayo ni Al Ahly na Simba Sport club kiasi ambacho hawaoni nani ana nafuu kati ya simba na Al Ahly ili waombee nan angoze au awe wa pili kwenye kundi lake.
4. Uwanja wa mkapa zamani nilikua naona kama ni rahisi kuondoka na matokeo ila saiz nmeanza kuelewa ni ngumu kuondoka na alama pale kwa team za nje hata kama zitakutana na Yanga achilia mbali Simba.
5. Simba wako vizuri kwenye defense haswa, Akiwapo onyango, wawa, mzamiru, Lwanga, Manula hua nawaza forward line ya team pinzan inapataje goli yaan wapite wote hao defensive men na ukamfunge Air manula ni kazi ya nguvu na mbinu inatakiwa kuganywa na team pinzani ili hilo litokee
6. Simba na Al Ahly ndio team pekee kati ya 16 zilizopo group stage ambazo zinaweza kua na uhakika wa ku posses mpira kama wakiamua,,,na hata wakiamua kua na approach tofauti hizi team zinamudu...imagine kwenye uwanja wa As Vita...Simba hakutaka kufunguka na alienda na approach ya kudefense na kuacha mpinzan akushambulie lakini As Vita alikua na shots on Target mbili pekee.
7. Simba tatizo ni Finishing na kama tukitaka kutibu tumuombe Gomes Da Rosa amuamini Kagere kwan uwezo wake upo juu sana ukimfananisha na mugalu ambae hawezi kulingana hata na John Boko.
8. Kama Tshabalala, Wawa, Onyango, Lwanga, Mkude, Morrison, Kapombe, Manula, Chama, Luis, kahata, Bwalya, Kagere, Mkude wakiwa fiti, au wasiwe na corona hakuna team Africa ambayo itakua tishio moja kwa moja kwa Simba au hakuna team ambayo haitaheshimu uwezo wa Simba pale zitapokutana.
9. Team ya Simba ni miongoni mwa team yenye depth kubwa kwa maana ya kwamba wachezaji wanaoanza, waliopo bench na hata wanaobaki reserves wana ubora mkubwa
10. Hii imekaa kiushabiki na sio kiuchambuzi, Simba kama ukitaka kuingalia usiiione kama kanyau ni kudude gukubwa gunakotisha sana, ni kama zile ndoto za kuweweseka kwa team pinzani ila za heri kwa wanasimba