Mtazamo wangu kuelekea Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika

Mtazamo wangu kuelekea Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika

Hata wakaunda timu ya pamoja , huo uwezo wa kumfunga simba ndani nje hawana , na kama wangekua nao wangefanya vizuri kwenye makundi yao kuzidi Simba alivyofanya kwenye kundi lake , hakuna hata mmoja aliemfunika uwezo Simba
Sawa Mabingwa wapya wa Afcon 2021!! Muda ni tafiki mzuri sana. Anyway, hongereni kwa kuingia robo fainali kwa mara ya pili na pia kwa kuongoza kundi.

Ingawa mna kazi kubwa kwa yule Striker wenu Cris Mugalu! Hata kama Sarpong ni foward butu, ila Mugalu ni the buttest striker!
 
Mugalu yupo ovyo uongo mbaya

Ni Mara ya 5 sio ya pili , itafaa kusema Mara ya pili ndan ya misimu mitatu ila overall n Mara ya 5

Tunakua , ubingwa hauko mbali sana , nusu final msimuu tunaiona , final majaliwa
 
Al Hilal na Mazembe sio wazuri sana hao belouizdad wamepoteza game na mamelod kwa mkapa kwa ujinga wao wenyewe

Huweze cheza pale dhidi ya mamelod kama we mwarabu wangezingatia sana hili
Hata belouuzdad sio wazuri pia ,

Ngoja tusubiri kata ya Al hilal/belouzidad , Horoya/keizer chief au Mc Alger/Zamalek tutapewa yupi

Chances za nusu final n kubwa mno
 
Sijui washampiga msumari , sio kwa kukosa kule
Kwenye mpira ukipigwa misumari hata kupangwa hupangwi unakua majeruhi

Mugalu sio mshambuliaji anatangaza Big G za mo wetu
 
Siyo tu huna uzoefu na mpira wa Africa bali huna uzoefu na mpira wenyewe kabisa,nilipoona tu umeandika una asilimia 100 Simba kufika robo fainali nikajua kweli huna uzoefu,100%? kweli? kwenye mpira?

Simba na Al ahly ndo pekee wenye uwezo wa ku possess mpira kwenye timu zilizo kwenye 16 kweli? huijui hata Mamelody? I guess unaisikia tu.

Kifupi bandiko lako limejaa Mahaba hisia na dhahania kuliko uhalisia.
Nakukumbusha tu kwamba tulikurekodi
 
Ingawa mna kazi kubwa kwa yule Striker wenu Cris Mugalu! Hata kama Sarpong ni foward butu, ila Mugalu ni the buttest striker!
Naona umeanza kumzungumzia mchezaji mmoja mmoja... kama kawaida yenu! Mugalu alikuwamo kwenye kikosi kilichoishindilia Vita goli 4-1
 
Naona umeanza kumzungumzia mchezaji mmoja mmoja... kama kawaida yenu! Mugalu alikuwamo kwenye kikosi kilichoishindilia Vita goli 4-1
Wachambuzi wengi ni Utopolo. Roho zinawauma Simba akizicharaza vigogo vya soka Afrika.
Nikiwa na luxury ya kushinda goli 4 na tena kwa timu kubwa kama Vita halafu kwenye process fowadi wa timu yetu akose magoli nafurahi . Ina maana timu yetu ina uwezo wa kutengeneza nafasi za kufunga magoli mengi zaidi ambayo ndio ndoto ya kila kocha.
 
Sawa Mabingwa wapya wa Afcon 2021!! Muda ni tafiki mzuri sana. Anyway, hongereni kwa kuingia robo fainali kwa mara ya pili na pia kwa kuongoza kundi.

Ingawa mna kazi kubwa kwa yule Striker wenu Cris Mugalu! Hata kama Sarpong ni foward butu, ila Mugalu ni the buttest striker!
Kumtaja Sarpong hapa ni sawa kuyadharau mashindano ya CAF..
 
Nimebahatika kuangalia timu nyingine zinazo cheza nimetambua simba ni tishio washabiki wengi wa first runners kweli wanaziogopa timu za group a hawapendi wakutane nazo ila hamna jinsi lazima kiumane
Kundi A ndiyo lilikuwa kundi la kifo hivyo hakuna timu ingependa kukutana na timu yoyote ya kundi A ukiondoa El Merrikh tu
 
Sisi wote tunaipenda Simba kaka nna amini Sarpong sio mzuri lakin hawezi kosa nafasi anazo pata ,,,imagine

1. Mugalu anakosa nafasi team ikiwa haina pressure na imerelax

2.Mugalu anakosa nafasi zaid ya 3 akiwa yeye na kipa

3.Mugalu anapiga mashuti zaidi ya sita yote off target

4.Mugalu anabaki na kipa badala ya kupiga shot anakanyaga mpira anaanguka refer game na platnum away mpaka akafanya game tuje kuimaliza kwa mkapa

5.Simba ina viungo wakabaji na washambuliaji wazuri sana na wana uhakika wa kutengeneza nafasi lakin bado hajiamini

6.Sarpong sio mzuri lakini ukweli ni kua yanga team karibia nzima ipo chin kimchezo

7.Yanga kila mchezaji anajichezea mpira wake ,,, Yaan butuabutua imagine yanga anacheza na Costal anafungwa na anazidiwa mchezo

Bwana Mugalu ni Ovyo sana pale Simba anaweza kua bora Sarpong kuliko mugalu Da Rosa ni kocha mzuri sana nataman alione hili na amwamini kagere
Kumtaja Sarpong hapa ni sawa kuyadharau mashindano ya CAF..
 
Makundi mengine sijui hata yalikuwaje nataman Mamelod amtor Al Ahly semi final akutane na sisi ajifunze mpira
Kundi A ndiyo lilikuwa kundi la kifo hivyo hakuna timu ingependa kukutana na timu yoyote ya kundi A ukiondoa El Merrikh tu
 
Binafsi sitamani kukutana na Mamelod Sundowns au Al Ahly tena.

Kama tutavuka robo fainali basi ni vyema tukutane na Wydad Casablanca au Experance msimu huu hawana matokeo mazuri sana tutawatoa kirahisi.
Ni heli hao mamelodi tuwakute semi final ili waje kufia kwa mkapa tusipo wataka saiz tutawakuta final

Alafu kumbuka alikua na kundi jepesi katika magoli 10 aliyofunga matano aliyafunga kwa mkapa dhidi ya belouizdad ambao walicheza pungufu kuanzia dk ya 3

Kama simba ingekutana na team pungufu kwa jinsi ilivosasa hio team ingekufa mpaka 7
 
Bora Wydad casablanca kuliko hao esperance awafai kabisa alafu kundi lake ni la kifo imagine kundi lake lina Zamalek na Ac algiers na still kaweza kupata point 10 hadi sasa yeye anaongoza kundi.
 
Back
Top Bottom