Sisi wote tunaipenda Simba kaka nna amini Sarpong sio mzuri lakin hawezi kosa nafasi anazo pata ,,,imagine
1. Mugalu anakosa nafasi team ikiwa haina pressure na imerelax
2.Mugalu anakosa nafasi zaid ya 3 akiwa yeye na kipa
3.Mugalu anapiga mashuti zaidi ya sita yote off target
4.Mugalu anabaki na kipa badala ya kupiga shot anakanyaga mpira anaanguka refer game na platnum away mpaka akafanya game tuje kuimaliza kwa mkapa
5.Simba ina viungo wakabaji na washambuliaji wazuri sana na wana uhakika wa kutengeneza nafasi lakin bado hajiamini
6.Sarpong sio mzuri lakini ukweli ni kua yanga team karibia nzima ipo chin kimchezo
7.Yanga kila mchezaji anajichezea mpira wake ,,, Yaan butuabutua imagine yanga anacheza na Costal anafungwa na anazidiwa mchezo