Sawa Mabingwa wapya wa Afcon 2021!! Muda ni tafiki mzuri sana. Anyway, hongereni kwa kuingia robo fainali kwa mara ya pili na pia kwa kuongoza kundi.Hata wakaunda timu ya pamoja , huo uwezo wa kumfunga simba ndani nje hawana , na kama wangekua nao wangefanya vizuri kwenye makundi yao kuzidi Simba alivyofanya kwenye kundi lake , hakuna hata mmoja aliemfunika uwezo Simba
Sawa Mabingwa wapya wa Afcon 2021!! Muda ni tafiki mzuri sana. Anyway, hongereni kwa kuingia robo fainali kwa mara ya pili na pia kwa kuongoza kundi.
Ingawa mna kazi kubwa kwa yule Striker wenu Cris Mugalu! Hata kama Sarpong ni foward butu, ila Mugalu ni the buttest striker!
Ni Mara ya 5 sio ya pili , itafaa kusema Mara ya pili ndan ya misimu mitatu ila overall n Mara ya 5Sawa Mabingwa wapya wa Afcon 2021!! Muda ni tafiki mzuri sana. Anyway, hongereni kwa kuingia robo fainali kwa mara ya pili na pia kwa kuongoza kundi.
Ingawa mna kazi kubwa kwa yule Striker wenu Cris Mugalu! Hata kama Sarpong ni foward butu, ila Mugalu ni the buttest striker!
Hata belouuzdad sio wazuri pia ,Al Hilal na Mazembe sio wazuri sana hao belouizdad wamepoteza game na mamelod kwa mkapa kwa ujinga wao wenyewe
Huweze cheza pale dhidi ya mamelod kama we mwarabu wangezingatia sana hili
Sijui washampiga msumari , sio kwa kukosa kuleMugalu yupo ovyo uongo mbaya
Nakukumbusha tu kwamba tulikurekodiSiyo tu huna uzoefu na mpira wa Africa bali huna uzoefu na mpira wenyewe kabisa,nilipoona tu umeandika una asilimia 100 Simba kufika robo fainali nikajua kweli huna uzoefu,100%? kweli? kwenye mpira?
Simba na Al ahly ndo pekee wenye uwezo wa ku possess mpira kwenye timu zilizo kwenye 16 kweli? huijui hata Mamelody? I guess unaisikia tu.
Kifupi bandiko lako limejaa Mahaba hisia na dhahania kuliko uhalisia.
Naona umeanza kumzungumzia mchezaji mmoja mmoja... kama kawaida yenu! Mugalu alikuwamo kwenye kikosi kilichoishindilia Vita goli 4-1Ingawa mna kazi kubwa kwa yule Striker wenu Cris Mugalu! Hata kama Sarpong ni foward butu, ila Mugalu ni the buttest striker!
Wachambuzi wengi ni Utopolo. Roho zinawauma Simba akizicharaza vigogo vya soka Afrika.Naona umeanza kumzungumzia mchezaji mmoja mmoja... kama kawaida yenu! Mugalu alikuwamo kwenye kikosi kilichoishindilia Vita goli 4-1
Kumtaja Sarpong hapa ni sawa kuyadharau mashindano ya CAF..Sawa Mabingwa wapya wa Afcon 2021!! Muda ni tafiki mzuri sana. Anyway, hongereni kwa kuingia robo fainali kwa mara ya pili na pia kwa kuongoza kundi.
Ingawa mna kazi kubwa kwa yule Striker wenu Cris Mugalu! Hata kama Sarpong ni foward butu, ila Mugalu ni the buttest striker!
Kundi A ndiyo lilikuwa kundi la kifo hivyo hakuna timu ingependa kukutana na timu yoyote ya kundi A ukiondoa El Merrikh tuNimebahatika kuangalia timu nyingine zinazo cheza nimetambua simba ni tishio washabiki wengi wa first runners kweli wanaziogopa timu za group a hawapendi wakutane nazo ila hamna jinsi lazima kiumane
Kumtaja Sarpong hapa ni sawa kuyadharau mashindano ya CAF..
Binafsi sitamani kukutana na Mamelod Sundowns au Al Ahly tena.Makundi mengine sijui hata yalikuwaje nataman Mamelod amtor Al Ahly semi final akutane na sisi ajifunze mpira
Kwa simba ipi?Tunazungumzia ikitokea. Huu ni mpira chochote kinaweza kutokea uwanjani
Ya akina Chris Mugalu aka Sarpong wa Simba.Kwa simba ipi?
Ni heli hao mamelodi tuwakute semi final ili waje kufia kwa mkapa tusipo wataka saiz tutawakuta finalBinafsi sitamani kukutana na Mamelod Sundowns au Al Ahly tena.
Kama tutavuka robo fainali basi ni vyema tukutane na Wydad Casablanca au Experance msimu huu hawana matokeo mazuri sana tutawatoa kirahisi.
Na wao wanasema imagine kundi lina As Vita na Al Ahly lakini Simba kapata point 13Bora Wydad casablanca kuliko hao esperance awafai kabisa alafu kundi lake ni la kifo imagine kundi lake lina Zamalek na Ac algiers na still kaweza kupata point 10 hadi sasa yeye anaongoza kundi.