Mtazamo wangu kuelekea Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika

Amka sasa uongee huo utumbo wako tena.
 
Nikianzisha chama changu wewe ndio nitakuwa wa kwanza kukushawishi ujiunge nacho.

Unaweza sana kupambania sera hata kama ni mbovu.

Utopolo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kinachofanya Sarpong aonekane mbovu ni kipi?

Kipindi anakuja Mugalu kila mechi alifunga.. usimpe ubovu mtu kwa game 2/3.

Hata huko ulaya wanakosea.. Atulie tu atarudi kama mwanzo
 
Last season Al Ahly alipiga hao vibonde Tunis na zamalek kama wamesimama
Hiv huyo As vita yupo level moja na Zamalek? Au huyo El mareikh anafikia kiwango Cha Ac algiers?
 
Huyu jamaa sasa hiv atakua anajiskiaje
 
Last season Al Ahly alipiga hao vibonde Tunis na zamalek kama wamesimama
Hao sio vibonde kama unavyosema wewe na inawezekana pia ukuangalia game ya Al Ahly na hao game ilikuwaje zaidi tu ya kuangalia livescore na ndio maana unaongea utumbo
 
Mugalu kafunga magoli mawili katika mechi tano za champions league, kwa data hiyo huwezi kusema Ni butu hata kidogo!! Ni utopolo tu anayeweza kusema hivyo!
 
Njoo Dena uongee huh ujinga walk. Tatizo LA mashabiki wa u to po lo mmejaa chili hu.
 
Naliona hili
Simba inauwezekano mkubwasana was kusonga mbele kwenye hi michuano ya club bingwa kinachotakiwa Dua zetu zinaitajika kwa vijana wetu wapambanaji mungu awajalie wasonge mbele na watuleteee kombe la club bingwa
 
Bado una hasira au imeshaisha mkuu?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Jamaa alipatia kila kitu yaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…