1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Kumbe mkuu unafatilia mpira,,Una jicho la mpira wewe..! Wabongo wengi tunapenda chenga.
Hata Kotei alivyofika kuna thread zilianzishwa humu jukwaani kumponda kisa tu hachezi kama watakavyo Watanzania.
Ndo mana mtu kama Gaucho alipigiwa makofi na mashabiki wa Real Madrid,,Tatizo lenu wabongo mmekariri mchezaji mzuri lazima awe na manjonjo mengi ya kupiga chenga
Kwa kuongezea tu, ni kwamba kiungo lazima ujue kuuficha mpira,,Nani kwa kuambia? Nimechambua vzr wewe tu macho yako huoni huyo kiungo mbrazili sio mkabaji mzuri ingawa ni mzuri kwenye pass na touch lakini unapokuwa kiungo mkabaji kitu Cha muhimu kuliko zote ni lazima uwe unauwezo mkubwa wa kukaba hayo mengine unatakiwa yawe ongeza ningekuwa na pima mchezaji kutokana na manjonjo yake ama pass zake huyo mbrazili kiungo ningemuita Bora lakini kutokana na uwezo mdogo wa ukabaji aliyonayo nimeona kabisa hawez kupata number kwa shubobo,mkude Wala mzamiru mark my words
Game ya jana kwanza wachezaji walicheza ile friend game au show game,,Dakika 20 za mwisho kipindi cha kwanza dynamo walituwini katikati lakini alipongia gerson aliwapoteza kabisa
Mzee baba nimechambua sio kwa kuangalia mechi ya jana tu ebu rudia kusoma kichwa Cha habari tena huyu mshambuliaji nimemuangalia video zake nyingi na pia nimeangalia statistics zake hazirizishi ndo maana ni metoa uchambuzi huo.Mshambuliaji wa brazil hakucheza jana
Tofauti na game ya jana ulimuona wapi tena akiwa na SIMBA?... Sio lazima umchambue ambae hakuchezaMzee baba nimechambua sio kwa kuangalia mechi ya jana tu ebu rudia kusoma kichwa Cha habari tena huyu mshambuliaji nimemuangalia video zake nyingi na pia nimeangalia statistics zake hazirizishi ndo maana ni metoa uchambuzi huo.
SHABIKI WA SIMBA ANAEJIELEWA, UNAONGEA UKWELI MKUUUchambuzi wangu mdogo kuhusu usajili wa Simba
1.shubobo
Huyu sikuwa na mashaka nae kabisa tokea alivyosajiliwa nilivyomuangalia YouTube nikaona kabisa ni mchezaji mzuri na pia nikagundua kwanini kocha alimuacha kotei na kumsajili huyu,huyu jamaa ana uwezo mzuri wakukaba ila anavyomzidi kotei ni kuwa na pass accurate pamoja nakushambulia kutokea katikati kwenda mbele hiv ndio vimewashawishi Simba kumsajili ndo maana sikushaa kwa kiwango kizuri alichoonyesha Jana.
2.Deo Kanda
Huyu ninauita perfect usajili na nikwanini? Mara nyingi Simba imekuwa ikiwatumia mabeki wa pembeni Kama mawinga kitu ambacho sometime kina wacost pale ambapo mabeki hao kuwa wazito kurudi nyuma na kusababisha mapengo yanayotumiwa vizuri na wapinzani wao kuwafunga na tumeona hiv kwenye mechi nyingi za caf champion league lakini kitendo Cha kumsajili real winga Kama Kanda kitawasaidia kupunguza majukumu beki kupanda Sana na pia Kanda ni mzuri kwenye kuwaangaisha mabeki pia anauwezo wa kufunga na kufungua mabeki wa timu pinzani
3.sina imani na wabrazili wote
Kiukwel hao wabrazili hawaja nifurahisha kabisa tokea walivyosajiliwa nimeangalia kwenye YouTube sijaona ukali wao wowote na pia sijajua kwanini walisajiliwa au ndio ulimbukeni wa kupenda wabrazili jamani so kila mbrazili ni mchezaji mzuri kutokana na malengo makubwa walionayo club ya Simba msimu huu sioni hawa wabrazili ni machaguo sahihi kwa simba ebu tuangalie mmoja mmoja
A.yule mbrazili kiungo
Huyu mbrazili nilianza kumuangalia YouTube nilichogundua ana uwezo mdogo Sana kwenye kukaba ingawa ni mzuri kwenye touch na pass lakini unapokuwa kiungo mkabaji kitu muhimu unatakiwa uwe nayo ni uwezo wa kukaba hivyo vingine unatakiwa viwe nyongeza hata mech ya jana nimekiona pia tena kutokana na hili sioni Kama atachukua namba kwa mkude au shubobo hata pia kwa mzamiru.
B.yule beki mbrazili
Nae huyu sijavutiwa kabisa na uwezo wake tokea nimtazame YouTube mpaka mechi ya jana ni beki wa kawaida na sioni Kama anaweza kuingia first eleven ya Simba hata Kenneth ni mzuri kuliko huyu beki
C.mbrazili straiker
Huyu ndo kabisa hamna kitu uwezo wake wa kufunga ni mdogo Sana na hata sioni akipata namba kwa John bocco Wala kwa kagere huyu atakuwa bench maker na atakuwa anakula bure hela za Simba.
N.k Me ni mshabiki wa Simba usije ukasema me ni mshabiki wa ynga kwasababu nimeongea ukweli ambao unaweza ukawa mchungu kwa mashabiki wenzangu wa Simba huo ndio mpira ndio ushabiki wakujenga .
Mkuu hizo comment zako kwa Wabrazil utatukanwa na Mikia wenzako mpaka uchakae maana mashabiki wa Mikia hawajazoea kukosolewa kwa wachezaji wao hasa walioletwa na Mo!Uchambuzi wangu mdogo kuhusu usajili wa Simba

Karibu wiki nzima hii Ausems analalamika hana mshambuliaji wa kati ambaye yupo fiti kwa ajili ya mechi ya leo na Mtibwa. Hili linafikirisha kidogo kwa timu tuliyoaminishwa kuwa imefanya usajili wa kiufundi. Nina mashaka sana na uwezo wa mshambuliaji wa kibrazili Silva japo sipendi kumhukumu sana kabla sijamuona akicheza kabisa mechi ya kirafiki wala ya mashindano. Kila siku tunasoma magazetini kuwa ni mgonjwa. Lililonishtua ni wiki hii tena Ausems kunukuliwa na magazeti kuwa Silva anatakiwa kupunguza uzito. Inashangaza kidogo kwa mchezaji wa kimataifa kujiunga na timu zaidi ya miezi miwili halafu anatakiwa apunguze uzito hata Molinga aliyekuja nyuma yake kashapunguza uzito sijui yeye Silva alikuwa anafanya nini badala ya kupunguza uzito. Anyway tumpe muda labda atakuja kutusuta kwa uwezo wake uwanjani mara atakapoanza kucheza.
Ausems na Kitambi hawatakiwi kulalamika kutokana na kukosekana mshambuliaji asili wa kati kwenye mechi ya leo. Badilini mfumo tumieni mawinga asili badala ya kulia lia. Ingekuwa mimi kocha leo ningeanza na mawinga kati ya Rashid Juma, Kahata, Kanda au Miraji Athumani, sentafowadi Shiboub nyuma yake kati ya Ajib,Chama, Muzamiru au Ndemla. Kwenye ulinzi mtaamua wenyewe maana sijawasikia makocha wakilallamikia eneo hilo.
Ausems na Kitambi msiwe mnaka mnalia lia mara Boko hajawa fiti mara Kagere karudi na uchovu tumieni wachezaji wengine bana mpate matokeo sio kila siku kukariri tu.
Kushambuliwa kwa vipi. Labda hukunielewa. Hao wachezaji niliotaja hapo juu ni uchaguzi wangu kuanzia kiungo namba nane mpaka namba kumi na moja. Eneo la ulinzi kuanzia kiungo mkabaji namba sita sijazungumzia kwani makocha hawajalalamika kukosena mchezaji.Kwa hiyo leo simba watarajie kushambuliwa vilivyo kati na mtibwa sugar sio?
Rekebisha kidogo mkuu, Deo Kanda hajasajiliwa Simba ila yupo pale kwa mkopo toka TP Mazembe. Jamaa wakiona kapandisha kiwango wanamchukua.Uchambuzi wangu mdogo kuhusu usajili wa Simba