Dakika 20 za mwisho kipindi cha kwanza dynamo walituwini katikati lakini alipongia gerson aliwapoteza kabisa
Game ya jana kwanza wachezaji walicheza ile friend game au show game,,
Hata kocha alipomtoa shiboub sio kwamba kachemka ila alikuwa anamtesti na Gerson fraga
Kahata kwenda benchi sio kwamba kachemka la hasha ni vile kuweka na wengine tuwaone,,
Ndo mana deo kanda aliachwa mana alikuwa bado hajafunguka,, we si umeona ulivozidi kwenda mbele na alichangamka,,
Hata nao dynamo nao walishaanza kutoa watu wao muhimu kwani ligi yao ishaanza kule na wanahofia majerui,,
Ila yote ya yote simba tumetatua tatizo la kiungo,,
Ushambuliaji sina swali kwani tuko vzuri,, kagere yuko sehem salama maana anapata anachotaka kutoka kwa Deo kanda na shiboub na kahata pia,,
Hofu yangu ni kwamba kuna wachezaji pendwa watakosa namba ivo tumwache kocha afanye yake.