Mtazamo wangu kuhusu wachezaji wapya wa Simba

Nani kwa kuambia? Nimechambua vzr wewe tu macho yako huoni huyo kiungo mbrazili sio mkabaji mzuri ingawa ni mzuri kwenye pass na touch lakini unapokuwa kiungo mkabaji kitu Cha muhimu kuliko zote ni lazima uwe unauwezo mkubwa wa kukaba hayo mengine unatakiwa yawe ongeza ningekuwa na pima mchezaji kutokana na manjonjo yake ama pass zake huyo mbrazili kiungo ningemuita Bora lakini kutokana na uwezo mdogo wa ukabaji aliyonayo nimeona kabisa hawez kupata number kwa shubobo,mkude Wala mzamiru mark my words
Kwa kuongezea tu, ni kwamba kiungo lazima ujue kuuficha mpira,,

Mtu kama kahata jana sijaona akipoteza mpira kabisa,,

Watu kama Kahata katika game kubwa ndio huamua matokeo,,
 
Umeona vyema mkuu. Uyo Fraga kwanza yupo vizuri kwenye interception ya mipira, anadokoa kitaalamu taalamu. Mipira ya kuzagaa zagaa aitakuwa na madhara kwenye lango la mnyama. Mimi nampa muda zaidi azoee mifumo itakayokuwa inafanyika kupitia prof. Uchebe
 
Unamponda Mbrazil Striker Wakati hujamuona uwanjani akicheza unahukumu Kupitia Viclip vya You tube

poor Mcha-Mbuzi
 
Dakika 20 za mwisho kipindi cha kwanza dynamo walituwini katikati lakini alipongia gerson aliwapoteza kabisa
Game ya jana kwanza wachezaji walicheza ile friend game au show game,,

Hata kocha alipomtoa shiboub sio kwamba kachemka ila alikuwa anamtesti na Gerson fraga

Kahata kwenda benchi sio kwamba kachemka la hasha ni vile kuweka na wengine tuwaone,,

Ndo mana deo kanda aliachwa mana alikuwa bado hajafunguka,, we si umeona ulivozidi kwenda mbele na alichangamka,,

Hata nao dynamo nao walishaanza kutoa watu wao muhimu kwani ligi yao ishaanza kule na wanahofia majerui,,

Ila yote ya yote simba tumetatua tatizo la kiungo,,

Ushambuliaji sina swali kwani tuko vzuri,, kagere yuko sehem salama maana anapata anachotaka kutoka kwa Deo kanda na shiboub na kahata pia,,

Hofu yangu ni kwamba kuna wachezaji pendwa watakosa namba ivo tumwache kocha afanye yake.
 
Mshambuliaji wa brazil hakucheza jana
Mzee baba nimechambua sio kwa kuangalia mechi ya jana tu ebu rudia kusoma kichwa Cha habari tena huyu mshambuliaji nimemuangalia video zake nyingi na pia nimeangalia statistics zake hazirizishi ndo maana ni metoa uchambuzi huo.
 
Tofauti na game ya jana ulimuona wapi tena akiwa na SIMBA?... Sio lazima umchambue ambae hakucheza
Hapa ndio tunakwama kabisa na kubaki waongoX2.
 
hawa wabrazil wanacheza mpira wa hali ya juu yule beki alifanya muda mwingi beki yetu kuwa salama ukiondoa goli la kona hakuna mashambulizi mengi ya kutisha yaliyokuja golini yule Fraga ni aina chache ya viungo kaka kocha wa sasa hivi wa ufaransa Didier deschammp au yule wa bayern munich na timu ya taifa ua Ujerumani Stephan Effenburg anacheza mpira huku akiwa hana mpira yeye kazi yake ni kuziba njia ndio maana alipoingia mpira wa simba pale kati ulibadirika ila wakina Mzamiru waache uchoyo wa kumnyima pasi
 
Medie Kagere mlisema Mzee,lakini ndiyo huyo kila siku anapiga mabao.

Wapeni muda hao Wabaraziri, wapo vizuri tu.
 
Uchambuzi wangu mdogo kuhusu usajili wa Simba
1.shubobo
Huyu sikuwa na mashaka nae kabisa tokea alivyosajiliwa nilivyomuangalia YouTube nikaona kabisa ni mchezaji mzuri na pia nikagundua kwanini kocha alimuacha kotei na kumsajili huyu,huyu jamaa ana uwezo mzuri wakukaba ila anavyomzidi kotei ni kuwa na pass accurate pamoja nakushambulia kutokea katikati kwenda mbele hiv ndio vimewashawishi Simba kumsajili ndo maana sikushaa kwa kiwango kizuri alichoonyesha Jana.

2.Deo Kanda
Huyu ninauita perfect usajili na nikwanini? Mara nyingi Simba imekuwa ikiwatumia mabeki wa pembeni Kama mawinga kitu ambacho sometime kina wacost pale ambapo mabeki hao kuwa wazito kurudi nyuma na kusababisha mapengo yanayotumiwa vizuri na wapinzani wao kuwafunga na tumeona hiv kwenye mechi nyingi za caf champion league lakini kitendo Cha kumsajili real winga Kama Kanda kitawasaidia kupunguza majukumu beki kupanda Sana na pia Kanda ni mzuri kwenye kuwaangaisha mabeki pia anauwezo wa kufunga na kufungua mabeki wa timu pinzani

3.sina imani na wabrazili wote
Kiukwel hao wabrazili hawaja nifurahisha kabisa tokea walivyosajiliwa nimeangalia kwenye YouTube sijaona ukali wao wowote na pia sijajua kwanini walisajiliwa au ndio ulimbukeni wa kupenda wabrazili jamani so kila mbrazili ni mchezaji mzuri kutokana na malengo makubwa walionayo club ya Simba msimu huu sioni hawa wabrazili ni machaguo sahihi kwa simba ebu tuangalie mmoja mmoja
A.yule mbrazili kiungo
Huyu mbrazili nilianza kumuangalia YouTube nilichogundua ana uwezo mdogo Sana kwenye kukaba ingawa ni mzuri kwenye touch na pass lakini unapokuwa kiungo mkabaji kitu muhimu unatakiwa uwe nayo ni uwezo wa kukaba hivyo vingine unatakiwa viwe nyongeza hata mech ya jana nimekiona pia tena kutokana na hili sioni Kama atachukua namba kwa mkude au shubobo hata pia kwa mzamiru.

B.yule beki mbrazili
Nae huyu sijavutiwa kabisa na uwezo wake tokea nimtazame YouTube mpaka mechi ya jana ni beki wa kawaida na sioni Kama anaweza kuingia first eleven ya Simba hata Kenneth ni mzuri kuliko huyu beki
C.mbrazili straiker
Huyu ndo kabisa hamna kitu uwezo wake wa kufunga ni mdogo Sana na hata sioni akipata namba kwa John bocco Wala kwa kagere huyu atakuwa bench maker na atakuwa anakula bure hela za Simba.
N.k Me ni mshabiki wa Simba usije ukasema me ni mshabiki wa ynga kwasababu nimeongea ukweli ambao unaweza ukawa mchungu kwa mashabiki wenzangu wa Simba huo ndio mpira ndio ushabiki wakujenga .
SHABIKI WA SIMBA ANAEJIELEWA, UNAONGEA UKWELI MKUU
 
Mkuu hizo comment zako kwa Wabrazil utatukanwa na Mikia wenzako mpaka uchakae maana mashabiki wa Mikia hawajazoea kukosolewa kwa wachezaji wao hasa walioletwa na Mo!
 
Mikia FC
20190807_232807.jpeg
 
Karibu wiki nzima hii Ausems analalamika hana mshambuliaji wa kati ambaye yupo fiti kwa ajili ya mechi ya leo na Mtibwa. Hili linafikirisha kidogo kwa timu tuliyoaminishwa kuwa imefanya usajili wa kiufundi. Nina mashaka sana na uwezo wa mshambuliaji wa kibrazili Silva japo sipendi kumhukumu sana kabla sijamuona akicheza kabisa mechi ya kirafiki wala ya mashindano. Kila siku tunasoma magazetini kuwa ni mgonjwa. Lililonishtua ni wiki hii tena Ausems kunukuliwa na magazeti kuwa Silva anatakiwa kupunguza uzito. Inashangaza kidogo kwa mchezaji wa kimataifa kujiunga na timu zaidi ya miezi miwili halafu anatakiwa apunguze uzito hata Molinga aliyekuja nyuma yake kashapunguza uzito sijui yeye Silva alikuwa anafanya nini badala ya kupunguza uzito. Anyway tumpe muda labda atakuja kutusuta kwa uwezo wake uwanjani mara atakapoanza kucheza.

Ausems na Kitambi hawatakiwi kulalamika kutokana na kukosekana mshambuliaji asili wa kati kwenye mechi ya leo. Badilini mfumo tumieni mawinga asili badala ya kulia lia. Ingekuwa mimi kocha leo ningeanza na mawinga kati ya Rashid Juma, Kahata, Kanda au Miraji Athumani, sentafowadi Shiboub nyuma yake kati ya Ajib,Chama, Muzamiru au Ndemla. Kwenye ulinzi mtaamua wenyewe maana sijawasikia makocha wakilallamikia eneo hilo.

Ausems na Kitambi msiwe mnaka mnalia lia mara Boko hajawa fiti mara Kagere karudi na uchovu tumieni wachezaji wengine bana mpate matokeo sio kila siku kukariri tu.
 
Kwa hiyo leo simba watarajie kushambuliwa vilivyo kati na mtibwa sugar sio?

Kushambuliwa kwa vipi. Labda hukunielewa. Hao wachezaji niliotaja hapo juu ni uchaguzi wangu kuanzia kiungo namba nane mpaka namba kumi na moja. Eneo la ulinzi kuanzia kiungo mkabaji namba sita sijazungumzia kwani makocha hawajalalamika kukosena mchezaji.

Kwa mtizamo wangu kama Kagere ana uchovu wa mechi za kimataifa plus safari za ndege, Boko ndo kaanza mazoezi kutoka kwenye maumivu na Silva anatakiwa apunguze uzito iwapo ningekuwa kocha ningemtumia Shiboub kuwa mshambuliaji wa kati (namba tisa) kwa sababu ana piga mashuti vizuri, anaweza kupunguza mabeki na ni mzuri kwenye mipira ya vichwa.

Mawinga wawili (namba saba na kumi na moja) ningechagua kati ya Rashid Juma, Miraji Athumani, Deo Kanda au Kahata.

Namba nane na Kumi (washambuliaji wawili nyuma ya Shiboub) ningechagua kati Muzamiru, Chama, Ajibu na Ndemla.

Kwa upangaji huu pengo la Kagere na Boko lingekuwa limepunguzwa kama sio kuzibwa kabisa.

Natumaini nimekufafanulia vizuri ndugu yangu "Uhurumoja"
 
Uchambuzi wangu mdogo kuhusu usajili wa Simba
1.shubobo
Huyu sikuwa na mashaka nae kabisa tokea alivyosajiliwa nilivyomuangalia YouTube nikaona kabisa ni mchezaji mzuri na pia nikagundua kwanini kocha alimuacha kotei na kumsajili huyu,huyu jamaa ana uwezo mzuri wakukaba ila anavyomzidi kotei ni kuwa na pass accurate pamoja nakushambulia kutokea katikati kwenda mbele hiv ndio vimewashawishi Simba kumsajili ndo maana sikushaa kwa kiwango kizuri alichoonyesha Jana.

2.Deo Kanda
Huyu ninauita perfect usajili na nikwanini? Mara nyingi Simba imekuwa ikiwatumia mabeki wa pembeni Kama mawinga kitu ambacho sometime kina wacost pale ambapo mabeki hao kuwa wazito kurudi nyuma na kusababisha mapengo yanayotumiwa vizuri na wapinzani wao kuwafunga na tumeona hiv kwenye mechi nyingi za caf champion league lakini kitendo Cha kumsajili real winga Kama Kanda kitawasaidia kupunguza majukumu beki kupanda Sana na pia Kanda ni mzuri kwenye kuwaangaisha mabeki pia anauwezo wa kufunga na kufungua mabeki wa timu pinzani

3.sina imani na wabrazili wote
Kiukwel hao wabrazili hawaja nifurahisha kabisa tokea walivyosajiliwa nimeangalia kwenye YouTube sijaona ukali wao wowote na pia sijajua kwanini walisajiliwa au ndio ulimbukeni wa kupenda wabrazili jamani so kila mbrazili ni mchezaji mzuri kutokana na malengo makubwa walionayo club ya Simba msimu huu sioni hawa wabrazili ni machaguo sahihi kwa simba ebu tuangalie mmoja mmoja
A.yule mbrazili kiungo
Huyu mbrazili nilianza kumuangalia YouTube nilichogundua ana uwezo mdogo Sana kwenye kukaba ingawa ni mzuri kwenye touch na pass lakini unapokuwa kiungo mkabaji kitu muhimu unatakiwa uwe nayo ni uwezo wa kukaba hivyo vingine unatakiwa viwe nyongeza hata mech ya jana nimekiona pia tena kutokana na hili sioni Kama atachukua namba kwa mkude au shubobo hata pia kwa mzamiru.

B.yule beki mbrazili
Nae huyu sijavutiwa kabisa na uwezo wake tokea nimtazame YouTube mpaka mechi ya jana ni beki wa kawaida na sioni Kama anaweza kuingia first eleven ya Simba hata Kenneth ni mzuri kuliko huyu beki
C.mbrazili straiker
Huyu ndo kabisa hamna kitu uwezo wake wa kufunga ni mdogo Sana na hata sioni akipata namba kwa John bocco Wala kwa kagere huyu atakuwa bench maker na atakuwa anakula bure hela za Simba.
N.k Me ni mshabiki wa Simba usije ukasema me ni mshabiki wa ynga kwasababu nimeongea ukweli ambao unaweza ukawa mchungu kwa mashabiki wenzangu wa Simba huo ndio mpira ndio ushabiki wakujenga .
Rekebisha kidogo mkuu, Deo Kanda hajasajiliwa Simba ila yupo pale kwa mkopo toka TP Mazembe. Jamaa wakiona kapandisha kiwango wanamchukua.
 
Back
Top Bottom