Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
😅😅Na unafanya uchambuzi ukiwa zako pangani umetulia kimya huna habari, ukitoka hapo unatafuta chai na chapati, unashiba unaweka tena bando unalala kitandani unaanza uchambuzi wa vita,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅Na unafanya uchambuzi ukiwa zako pangani umetulia kimya huna habari, ukitoka hapo unatafuta chai na chapati, unashiba unaweka tena bando unalala kitandani unaanza uchambuzi wa vita,
''ao nato''!?Mada za wanaume mchambuzi mvulana..ao nato wako ukraine kitambo na bado wana chezea kichapo russia ni dude kubwa ambalo shoga mkuu US ana likimbia kila linapo tua
Hahahhasinza parestina
Hahahah..... Wapi.....Ulipo Anza neno "inshu" hapo hapo Nika stop.
Ila umejitahidi sio mbaya article iko vzr japo uandishi unamakosa kidogo.Hahahah..... Wapi.....
Tena na israel pia wafanye marekebisho!Tafadhali moderators mmeitwa huku