Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Pamoja kuwa wote ni wana CCM lakini wametofautiana pakubwa sana, Nape yuko na moyo wa kuwatumikia wananchi. Makamba kila anachoongea hakitoki moyoni (anaweza kuongea kitu mpaka ukashangaa hivi huyu nae ni Waziri).
Kwa kweli Nape namkubali sana mzee wa bao la mkono ila Makamba daaaa! kila nikiwaza haingii akilini.
Nape hata akiitisha press inavutia unatamani kumsikikiza, Nape hata akiongea uwongo, huo uongo ataufanyia kazi (eg. alisema tutashinda kwa bao la mkono na wakashinda kweli kwa bao hilo hilo)
Nape kawafanya wanahabari kwasasa ukiwa na cheti chako cha journalism unapata kazi vizuri bila upinzani sio hadi midploma! Wanaandika wanavyotaka (eg. ni mimi mwanahabari wa JF) ila huyu mwingine tangu kaingia workdone siioni, gharama za umeme juu, 27,000Tsh. zishapigwa chini, Bwana la Nyerere maneno kuntu, umeme unakatikakatika kama behewa la treni -- kila kitu kwake ni blaa blaaa tiamaji! tiamaji!
Ila yule mwingine jamani! jamani! madudu tu! 😡😡