Uzi unaanzishwa JF, mambo ya timu ni kambini kati ya kocha, wachezaji, na viongozi, kama Fei anawaburuza hapa JF ndio uwanja rasmi wa kuwajuza mnavyoteswa na dogo..Mlikuwa busy kufanya harakati za kuanzisha uzi wa feitoto na sportpesa mkasahau kuwa timu yenu mbovu
hapana, kocha msaidizi hawez kua kikwazo, tatizo robertinyo anaanza upya kati kati ya msimu, alipaswa kuendelea alipoishia mtangulizi wake coz timu ilikua na run nzuri then pre season ndo aanze upya.Hao wawili walikuwa huru kutimiza majukumu yao, hawakubanwa na kocha aliyetangulia.
Mkuu kwa maelezo haya uliyotoa asipokuelewa basi atakuwa ni mbumbumbu pro maxYanga inanolewa na Nabi, akisaidiwa na Kaze. Kaze ni kocha mzuri, na mkubwa, ananitosheleza kupewa timu peke yake, na alishawahi kuwa kocha mkuu wa Yanga...
Yanga inateswa?? HahahahaUzi unaanzishwa JF, mambo ya timu ni kambini kati ya kocha, wachezaji, na viongozi, kama Fei anawaburuza hapa JF ndio uwanja rasmi wa kuwajuza mnavyoteswa na dogo..
Nimependa sana ulichoandika.Yanga inanolewa na Nabi, akisaidiwa na Kaze. Kaze ni kocha mzuri, na mkubwa, ananitosheleza kupewa timu peke yake, na alishawahi kuwa kocha mkuu wa Yanga.
Man UTD, Ina Ten Hag, ila moja kati ya walio chini yake ni Steve Maclaren. Huyu alishawahi kuwa kocha wa timu ya Taifa ya England, lakini pia alishawahi simamia vilabu kadhaa pale EPL.
So, hapo Simba acheni kuangushia jumba bovu kwa Mgunda, nyie mnamatatizo binafsi mengi.
Timu yenu ni nzuri, Ina wachezaji wenye experience, ila wengi hawakustaili kuendelea kuwepo pale.
Mechi ya jana, Azam hata hawakutumia nguvu nyingi, kazi ilirahisishwa na ninyi. Ushawahi angalia Azam vs Yanga inavyokuwaga? Huwa wanakamiaga sana, wangekamia ya jana, basi mlikuwa mnakufa goli nyingi.
Matola hakuwahi kuwa tatizo pale Simba, Mgunda pia sio tatizo, tatizo lipo kwa viongozi wenu, ambao wanamleta Manzoki kwenye kampeni, alaf kwenye usajili wanaleta Sawadogo. Simaanishi kuww Sawadogo ni mbaya, ila timu ilihitaji mfungaji zaidi kuliko kiungo.
Simba mnaendekeza sana loyalty kuliko reality. Wote tunajua, Bocco pale ni legend, ila kiuhalisia ilibidi awe ameshaondoka kitambo, au la, basi asiwe chaguo la kwanza au tegemezi.
Kiombo hana tofauti na Mzize, hawa wote ni back up strikers, ila tofauti yao ni kwamba, Mzize hana presha kubwa, maana mbele yake kuna Mayele na Musonda, so hata akikosa nafasi za wazi, halaumiwi sana. Ila Kiombo ni back up strikers anayetakiwa kuibeba timu kwa kufunga magoli kila mechi, maana mbele yake kuna Baleke (ambae bado anajaribu kuizoea timu) na Bocco ambae mwili na akili vinashindana.
Mpira ni mchezo wa wazi. Kila kinachotokea kinajionesha, wala hakuna uchawi. Mfano mdogo Liverpool, kabla ya msimu huu kuanza, wachambuzi wengi walisema wanahitajika kusajili kiungo mkabaji, maana form ya Fabinho ilionekana kushuka, pia Henderson peke yake huwa anastruggle, kwa kipindi kile haikuleta maana, ila sasa hivi ndio kila kitu kipo wazi.
Simba, Mgunda sio tatizo. Acheni ubishi.
Ukweli mtupu, shida Simba sio makocha shida usajili mbovu na kuendelea kuwakutumia wazee km kina Boko wanakimbizwa ulimi njeYanga inanolewa na Nabi, akisaidiwa na Kaze. Kaze ni kocha mzuri, na mkubwa, ananitosheleza kupewa timu peke yake, na alishawahi kuwa kocha mkuu wa Yanga...
Tatizo linakuja pale ambapo viwango vya wachezaji vinaonekana kushuka na kupanda kama homa za vipindi, hasa baada ya ujio wa makocha wapya, ndio maana ya hoja yangu kwamba, inawezekana uwepo wa Mgunda pale kwenye benchi la Simba Sc unampoteza mbwa kwa miluzi mingi.Kwa haya matokeo mtazunguka sana kutafuta wapi mmejikwaa, lakini mbona mambo mepesi tu, kabla msimu mpya tulipiga sana kelele kuwa yapaswa kuja kivingie katika Usajili...
Usajili ungekuwa mbovu sana kama mnavyosema, basi inawezekana leo timu ingekuwa nafasi ya nne au tano, lakini mbona bado tunaikomalia nafasi ya pili bila kushuka? ina maana hao wengine ni wabovu kupitiliza?Ukweli mtupu, shida Simba sio makocha shida usajili mbovu na kuendelea kuwakutumia wazee km kina Boko wanakimbizwa ulimi nje
Mkuu, hata Kaze ni hivyo hivyo. Tofauti yao ni kwamba Mgunda hajawahi kufukuzwa. Kama kumbukumbu zako ziko vizuri, Kaze alitimuliwa akarudi kwao Burundi, alivyoletwa Nabi, na yeye ndio akarudishwa kama msaidizi.Nimependa sana ulichoandika.
Hapo kwa Kaze na Nabi, hawa nakubaliana nawe wanafanya kazi vizuri na wote wana sifa stahiki, Kaze pia alishawahi kuwa kocha mkuu wa Yanga Sc...
Great great analysis....Yanga inanolewa na Nabi, akisaidiwa na Kaze. Kaze ni kocha mzuri, na mkubwa, ananitosheleza kupewa timu peke yake, na alishawahi kuwa kocha mkuu wa Yanga.
Man UTD, Ina Ten Hag, ila moja kati ya walio chini yake ni Steve Maclaren. Huyu alishawahi kuwa kocha wa timu ya Taifa ya England, lakini pia alishawahi simamia vilabu kadhaa pale EPL.
So, hapo Simba acheni kuangushia jumba bovu kwa Mgunda, nyie mnamatatizo binafsi mengi.
Timu yenu ni nzuri, Ina wachezaji wenye experience, ila wengi hawakustaili kuendelea kuwepo pale.
Mechi ya jana, Azam hata hawakutumia nguvu nyingi, kazi ilirahisishwa na ninyi. Ushawahi angalia Azam vs Yanga inavyokuwaga? Huwa wanakamiaga sana, wangekamia ya jana, basi mlikuwa mnakufa goli nyingi.
Matola hakuwahi kuwa tatizo pale Simba, Mgunda pia sio tatizo, tatizo lipo kwa viongozi wenu, ambao wanamleta Manzoki kwenye kampeni, alaf kwenye usajili wanaleta Sawadogo. Simaanishi kuww Sawadogo ni mbaya, ila timu ilihitaji mfungaji zaidi kuliko kiungo.
Simba mnaendekeza sana loyalty kuliko reality. Wote tunajua, Bocco pale ni legend, ila kiuhalisia ilibidi awe ameshaondoka kitambo, au la, basi asiwe chaguo la kwanza au tegemezi.
Kiombo hana tofauti na Mzize, hawa wote ni back up strikers, ila tofauti yao ni kwamba, Mzize hana presha kubwa, maana mbele yake kuna Mayele na Musonda, so hata akikosa nafasi za wazi, halaumiwi sana. Ila Kiombo ni back up strikers anayetakiwa kuibeba timu kwa kufunga magoli kila mechi, maana mbele yake kuna Baleke (ambae bado anajaribu kuizoea timu) na Bocco ambae mwili na akili vinashindana.
Mpira ni mchezo wa wazi. Kila kinachotokea kinajionesha, wala hakuna uchawi. Mfano mdogo Liverpool, kabla ya msimu huu kuanza, wachambuzi wengi walisema wanahitajika kusajili kiungo mkabaji, maana form ya Fabinho ilionekana kushuka, pia Henderson peke yake huwa anastruggle, kwa kipindi kile haikuleta maana, ila sasa hivi ndio kila kitu kipo wazi.
Simba, Mgunda sio tatizo. Acheni ubishi.
Hii inawezekanaje? Yaani mgunda amwambie chama piga shuti ulenge mwamba tu? Au amwambie bocco jifanye huna control uwe unapoteza mipira?Tumeona nyakati kadhaa Mgunda akitoa maelekezo kwa wachezaji wakati mechi ikiendelea, huyu mtu anaweza kuwa anatoa malekezo tofauti na kocha mkuu anachotaka, matokeo yake ni kuwachanganya wachezaji, kwanini kocha mkuu asiachwe huru kufanya majukumu yake kwa nafasi?
Haya yako ndio madini yanayotakiwa..Mkuu, hata Kaze ni hivyo hivyo. Tofauti yao ni kwamba Mgunda hajawahi kufukuzwa. Kama kumbukumbu zako ziko vizuri, Kaze alitimuliwa akarudi kwao Burundi, alivyoletwa Nabi, na yeye ndio akarudishwa kama msaidizi...
Hoja.ya Mgunda kumuingilia mzungu nimeijenga kwenye nasharia kwamba, timu lazima icheze kwa mipango ya kocha mkuu, sasa anachowaambia wachezaji Mgunda inawezekana kikaingiliana na kile anachotaka kocha mkuu, hapa suala sio kuwaambia tu wachezaji piga shuti nk..Hii inawezekanaje? Yaani mgunda amwambie chama piga shuti ulenge mwamba tu? Au amwambie bocco jifanye huna control uwe unapoteza mipira...
Usajili uliofanyika Simba kwa msimu huu na hata dirisha dogo umeshindwa kuleta tija iliyotegemewa, wachezaji karibia wote hasa wa kigeni ni wa kawaida mno.Salaam..
Nimekaa nikajiuliza, hasa baada ya timu pendwa ya Simba Sc kuwa matokeo.yasiyoridhisha kwa mechi za hivi karibuni baada, hii ni baada ya kuchapwa 0-3 na mwarabu, na jana usiku, kulazimishwa sare ya 1-1 na Azam...
Kwa sababu umesema ni nadharia okey, lakini maelekezo ya kocha yeyote yakitolewa kama yako kinyume hata uchezaji tu utaona unabadilika, siamini katika nadharia yako ila uko sahihi.Hoja.ya Mgunda kumuingilia mzungu nimeijenga kwenye nasharia kwamba, timu lazima icheze kwa mipango ya kocha mkuu, sasa anachowaambia wachezaji Mgunda inawezekana kikaingiliana na kile anachotaka kocha mkuu, hapa suala sio kuwaambia tu wachezaji piga shuti nk..
Mpumbavu mwenyewe heshimu maoni ya wenzako shenziMaoni yako kuhusu Baleke ni dalili ya umbumbumbu na wewe ni ni moja ya watu wasiojielewa hata kidogo.
Mayele hivi karibuni amekuwa anakosa magoli kwa hiyo naye aitwe mshambuliaji machachari?
Hii Simba kweli ina watu wapumbavu sana
Hilo jamaa n jinga Sana na kilaza bin mbumbumbu katika ugaa huu wa sokaKwa hiyo kwako Mayelle kukosa nafasi kwenye mechi mbili ndio aitwe mbovu licha ya kuwa kinara wa mabao?
Wewe ni mpumbavu, tuvumiliane tu.