ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Hizi tabiri tusha ziona nyingi humu mwisho wa siku hua ni aibuNasema hivi trh 25 Simba anashinda..
Utashangaa haya Ila Simba anashinda kwa kishindo cha kuwashangaza wengi Uganda watakufa vibaya wakiwa nyumbani kwao
Tunza hii kumbukumbu..
Bao ni Vipers 0-3 Simba wakikoswakoswa basi ni Vipers 1-4 Simba
Usiseme nimeroga Ila tunza hii kumbukumbu
Mimi sio Simba Ila nnaweza kuona mbali
Usiseme nilifanya editing uliza waliokuwepo kabla watakupa majibu halisi...Hizi tabiri tusha ziona nyingi humu mwisho wa siku hua ni aibu
Bao ni 2-1 wakikoswakoswa basi ni 3-1
Young African WIN
Jamaa anatafuta faida kwa kuitumia Simba Sc, siku zote timu inatakiwa iwe na Plan A na B kwenye masuala ya usajili, kama ikimkosa mchezaji A igeukie kwa mchezaji B, lakini kwa Simba mambo hayako hivyo, tukimkosa A habari ndio imeishia hapo, makocha wanaambiwa watupeleke nusu fainali CAF[emoji1787][emoji1787]Mo muhuni anaitumia Simba kutangaza biashara zake kwenye usajili anaminya pesa isitoke.
Lakini mashabiki hawachezi uwanjani mjomba, hayo makelele ya mitaani ndio kazi ya mashabiki, wachezaji kazi yao ndio ku perform uwanjani.Ukiacha uliyoandika tatozo jingine kubwa ni mashabiki wa simba kudharau wapinzani na kuishi katika fantasy kwamba hii simba ina uwezo wa kushinda kila mechi. Horoya na azam sio timu mbovu kwaiyo hakuna maajabu yoyote kupata point kwa simba hao raja casablanca wamewazidi ubora sasa ulitegemea matokeo ya aina gani. Ifike hatua mashabiki wa simba anzeni kuwaheshimu wapinzani wenu na mkubali timu yenu haina ubora mkubwa ambao mnafikiri inao na hii itawasaidia kujiandaa kisakolojia kwa matokeo yoyote kwenye kila mechi.
Nakubaliana nawe kwenye mambo mawili.Simba sio wabovu ki hivyo tunavyo fikiri shida yao hawataki kukubaliana kua walikua juu misimu kadhaa nyuma ila sasa hivi yanga nao wamewafwata waliko huko juu. Nao ni bora kama wao, baada ya kutulia kujenga timu zaidi wao wanakurupuka kutaka kufanya mabadiliko ya haraka ambayo yanaweza kubali au kukataa(kwao yamegoma).
Mlianza mlalamikia matola sahizi mme hamia kwa mgunda. Pia kila kocha akija na mfumo wake mnamlazimisha amuanzishe chama kitu ambacho sio kibaya lakini mkumbuke umri wake umeenda akiondoka je mbadala wake atakua nani?.
Mkiendelea kutengeneza team kumtegemea mtu mmoja hamta acha kulalamikia makocha na viongozi wenu maana kila timu ina viongozi wa hovyo sema tu upande wa pili wanapata matokeo.
Rizki iko popote sio lazima Ukraine au Urusi, hata Mgunda rizki yake sio lazima Simba Sc.Mbona hujaenda Ukraine kuichukua hiyo rizki ikiwa ipo popote nakati kila siku Ukraine na Russia wanatakiwa Watu wa kupigana vita?
Acha kukaza fuvu wewe, mwache Mgunda apate rizki kulea familia yake.
Ngoja tukitoka kwa Vipers jumamosi tutakuwa na majibu ya hiki ulichoandika, kama ni kweli au uongo.Simba kwa sasa hivi itakuwa kazi sana kuifunga timu kubwa kama Yanga, Azam, Vipers na Horoya. Kwa sababbu mfumo wake ni uleule na umeshaeleweka. Mfumo wa Simba sasa hivi hauna flanks za maana na mabeki wake wa pembeni wamechoka zikipigwa kaunta ndefu pembeni wanakuwa slow .
Pia set pieces za pembeni.
Ila kwa timu ndogo Simba wanajaza mido nyingi na forwards kwa hiyo wanaweza kuwapiga hata 10. Lakini siyo kwa timu kubwa zenye pros wengi.
hayo mengine ni sababu tu ambazo haziathiri simba peke yake.
Aamen.Nasema hivi trh 25 Simba anashinda..
Utashangaa haya Ila Simba anashinda kwa kishindo cha kuwashangaza wengi Uganda watakufa vibaya wakiwa nyumbani kwao
Tunza hii kumbukumbu..
Bao ni Vipers 0-3 Simba wakikoswakoswa basi ni Vipers 1-4 Simba
Usiseme nimeroga Ila tunza hii kumbukumbu
Mimi sio Simba Ila nnaweza kuona mbali
Ukiona timu inawachezaji 16 wazuri hii timu itakuwa na squad bora sana.Simba ina wachezaji kama 16 hivi wazuri ,waliobaki ni tia maji tia maji. Tatizo hao tia maji wanaingia first 11.
Hilo ndio tatizo kuu. Inatakiwa icheze cream tupu
We nenda kaangalie magoli 10 yaliyopita ambayo simba imefungwa.Ngoja tukitoka kwa Vipers jumamosi tutakuwa na majibu ya hiki ulichoandika, kama ni kweli au uongo.
Simba SC mleteeee mdhunguuuuSalaam..
Nimekaa nikajiuliza, hasa baada ya timu pendwa ya Simba Sc kuwa matokeo yasiyoridhisha kwa mechi za hivi karibuni baada, hii ni baada ya kuchapwa 0-3 na mwarabu, na jana usiku, kulazimishwa sare ya 1-1 na Azam.
Tukiondoa sababu nyingine kama wachezaji kukosa nafasi za wazi, ambalo limeonekana kuwa tatizo kwa sasa pale Simba Sc, umri wa wachezaji na uchovu kwa kucheza mfululizo miaka mingi, lakini pia naona bado kuna tatizo jingine kubwa ambalo nalo hatujalitazama kwa umakini.
Nimekaa nikajiuliza, hivi ni ipi mantiki kwa Simba Sc, hasa viongozi wake, kuamua kuwa na makocha wawili, wote wenye sifa za kuifundisha timu, wenye umri mkubwa, kwa wakati mmoja?
Kama walishaamua kufuata maoni ya mashabiki kwamba Mgunda alikuwa hatoshi, wakaamua kumleta Mzungu, sasa ni sababu ipi inayowafanya waendelee kuwa na Mgunda pale kwenye benchi la ufundi?
Huu mkanganyiko unaojitokeza sasa matokeo yake ni kama vile Simba Sc imegawanyika makundi mawili, ina kocha wa viongozi, Mgunda, na kocha wa mashabiki waliotaka Mgunda aondoke kwa kura, mzungu.
Sijui ni kitu gani kinachowashinda viongozi wa Simba Sc kumwambia Mgunda asante kwa kazi yako, wamlipe chake, kisha aondoke, wamwambie ukweli sasa tumeamua kwenda na uelekeo tofauti, uwepo wake kwneye benchi naamini unawavuruga wachezaji kwa namna fulani.
Tumeona nyakati kadhaa Mgunda akitoa maelekezo kwa wachezaji wakati mechi ikiendelea, huyu mtu anaweza kuwa anatoa malekezo tofauti na kocha mkuu anachotaka, matokeo yake ni kuwachanganya wachezaji, kwanini kocha mkuu asiachwe huru kufanya majukumu yake kwa nafasi?
Kwangu, viongozi wa Simba Sc ndio chanzo cha hili tatizo, kwani sijawahi kuona timu zinazojielewa hapa duniani zinakuwa na makocha wakuu wawili, hapa wanaajiri kocha mpya, na pale bado wanaendelea kubaki na yule wa mwanzo!, halafu tunajitapa tunakwenda kimataifa, mataifa yapi hayo?!
Viongozi wa Simba Sc pamoja na Mo wabadilike, waachane na mambo ya kimazoea na uswahili mwingi kwenye uendeshaji wa timu, tusipoamka mapema itakuwa too late.
Ipo makundi.Kila timu hupitia wakati mgumu hasa unapobadiisha kocha kipindi ambacho si cha pre-season. Kosa la Simba ni hilo, Kocha mpya anakuja na philosophy mpya na selection mpya - ku addapt inachukua muda mrefu na siki wiki mbili ama tatu.
Jana simba kwa kuhesabu wangefung magoli 6 kama si 7, lakini umakini na wasiwasi uliwajaa wakiingia ndani ya 18 nafikiri kipigo cha juzi liliwachanganya.
Simba bado ni club kubwa na inaweza kuingia makundi.
Ni mfumo tu wa mwalimu ndiyo umeleta badiliko hili lakini baada ya muda wachezaji wataadapt tu.Simba kwa sasa hivi itakuwa kazi sana kuifunga timu kubwa kama Yanga, Azam, Vipers na Horoya. Kwa sababbu mfumo wake ni uleule na umeshaeleweka. Mfumo wa Simba sasa hivi hauna flanks za maana na mabeki wake wa pembeni wamechoka zikipigwa kaunta ndefu pembeni wanakuwa slow .
Pia set pieces za pembeni.
Ila kwa timu ndogo Simba wanajaza mido nyingi na forwards kwa hiyo wanaweza kuwapiga hata 10. Lakini siyo kwa timu kubwa zenye pros wengi.
hayo mengine ni sababu tu ambazo haziathiri simba peke yake.
Lakini kukosa magoli kumeanzia kule kwa Horoya, hakukuanzia baada ya kile kipigo cha mwarabu.Kila timu hupitia wakati mgumu hasa unapobadiisha kocha kipindi ambacho si cha pre-season. Kosa la Simba ni hilo, Kocha mpya anakuja na philosophy mpya na selection mpya - ku addapt inachukua muda mrefu na si wiki mbili ama tatu angalia kocha wa Arsenal alivyohangaika msimu uliopita, angalia kocha wa Chelsea alivyo na matatizo.
Game ya jana na Azam, Simba kwa kuhesabu wangefung magoli 6 kama si 7, lakini umakini na wasiwasi uliwajaa wakiingia kwenye 18 nafikiri kipigo cha juzi liliwachanganya umakini ukakosekana.
Simba bado ni club kubwa na inaweza kuingia makundi.