Hilo la kupiga chini wazee wote mwisho wa msimu naona halina mjadala, kwani kuendelea kuwakumbatia inaonekana ni sawa na kujitafutia matatizo zaidi, sasa ni kujipanga tu kwa msimu ujao.Makocha wote hawana tatizo,
Angalia vizuri wachezaji tulionao wengi wamechoka,
Kamati ya Usajii nayo ni kama inahujumu timu , usajili gani wanofanya na kwa malengo yapi.
Leo Simba imekuwa tia maji tia maji hapana hili suala muhimu viongozi wawajibike.
Piga chini wachezaji wazee wote pale Msimbazi tunahitaji matokeo.
Umenena vema sana.Salaam..
Nimekaa nikajiuliza, hasa baada ya timu pendwa ya Simba Sc kuwa matokeo yasiyoridhisha kwa mechi za hivi karibuni baada, hii ni baada ya kuchapwa 0-3 na mwarabu, na jana usiku, kulazimishwa sare ya 1-1 na Azam.
Tukiondoa sababu nyingine kama wachezaji kukosa nafasi za wazi, ambalo limeonekana kuwa tatizo kwa sasa pale Simba Sc, umri wa wachezaji na uchovu kwa kucheza mfululizo miaka mingi, lakini pia naona bado kuna tatizo jingine kubwa ambalo nalo hatujalitazama kwa umakini.
Nimekaa nikajiuliza, hivi ni ipi mantiki kwa Simba Sc, hasa viongozi wake, kuamua kuwa na makocha wawili, wote wenye sifa za kuifundisha timu, wenye umri mkubwa, kwa wakati mmoja?
Kama walishaamua kufuata maoni ya mashabiki kwamba Mgunda alikuwa hatoshi, wakaamua kumleta Mzungu, sasa ni sababu ipi inayowafanya waendelee kuwa na Mgunda pale kwenye benchi la ufundi?
Huu mkanganyiko unaojitokeza sasa matokeo yake ni kama vile Simba Sc imegawanyika makundi mawili, ina kocha wa viongozi, Mgunda, na kocha wa mashabiki waliotaka Mgunda aondoke kwa kura, mzungu.
Sijui ni kitu gani kinachowashinda viongozi wa Simba Sc kumwambia Mgunda asante kwa kazi yako, wamlipe chake, kisha aondoke, wamwambie ukweli sasa tumeamua kwenda na uelekeo tofauti, uwepo wake kwneye benchi naamini unawavuruga wachezaji kwa namna fulani.
Tumeona nyakati kadhaa Mgunda akitoa maelekezo kwa wachezaji wakati mechi ikiendelea, huyu mtu anaweza kuwa anatoa malekezo tofauti na kocha mkuu anachotaka, matokeo yake ni kuwachanganya wachezaji, kwanini kocha mkuu asiachwe huru kufanya majukumu yake kwa nafasi?
Kwangu, viongozi wa Simba Sc ndio chanzo cha hili tatizo, kwani sijawahi kuona timu zinazojielewa hapa duniani zinakuwa na makocha wakuu wawili, hapa wanaajiri kocha mpya, na pale bado wanaendelea kubaki na yule wa mwanzo!, halafu tunajitapa tunakwenda kimataifa, mataifa yapi hayo?!
Viongozi wa Simba Sc pamoja na Mo wabadilike, waachane na mambo ya kimazoea na uswahili mwingi kwenye uendeshaji wa timu, tusipoamka mapema itakuwa too late.
Huyu Okrah namkubali sana, tatizo lake ubinafsi anataka kufanya kila kitu uwanjani peke yake wamrekodi ili wapost twitter ndugu zake Ghana wamuone.MWAMEDI ONDOKA AU SAJILI WACHEZAJI WA MAANA.
SIO KUTULETEA AKINA DEJAN.
Wachezaji wa kigeni Mizigo.
Mohamed Ottara.
Peter Banda.
Ismail Sawadogo.
Joash Onyango
Augustine OCCRA
Sadio Kanute.
Baleke na Phili wananipa wasiswasi sana
Khaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nani alokwambia simba sc ina makocha wakuu wawili? Muache mgunda nae apate rikizi mkuu punguza roho mbaya.Mgunda yupo kama daktari jadi(mfano mzuri reverse ya juzi) ndiyo kazi ya mgunda,angalia chuma ile alovaa mkononi ndiyo utajua inaitwa vyuma chakavu
Khaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nani alokwambia simba sc ina makocha wakuu wawili? Muache mgunda nae apate rikizi mkuu punguza roho mbaya.Mgunda yupo kama daktari jadi(mfano mzuri reverse ya juzi) ndiyo kazi ya mgunda,angalia chuma ile alovaa mkononi ndiyo utajua inaitwa vyuma chakavu
Khaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nani alokwambia simba sc ina makocha wakuu wawili? Muache mgunda nae apate rikizi mkuu punguza roho mbaya.Mgunda yupo kama daktari jadi(mfano mzuri reverse ya juzi) ndiyo kazi ya mgunda,angalia chuma ile alovaa mkononi ndiyo utajua inaitwa vyuma chakavu
Paragraph ya pili imebeba sababu nyingine nilizoona zinachangia ikiwemo ulizoandika wewe, mimi sikuandika zote ...Sababu zipo kama IFUATAVYO...
1. Quality ya Wachezaji
2. Ubovu wa kamati ya usajili.
3. MAKUNDI ya uchaguzi.
FULL STOP.
UKIKOSA HOJA ZA HAPO JUU UMEANDIKA PUMBA
MO ana 49% pekeeBosi wetu mbahili[emoji1787][emoji1787]
Ila Onyango wetu umemuonea 40+ 🫣🫣
Kwani MO anamiliki 100% ya Simba?Mo muhuni anaitumia Simba kutangaza biashara zake kwenye usajili anaminya pesa isitoke.
Mgunda ndo mbaya pale SimbaHii timu ilikuwa ya mgunda mpaka mwisho wa msimu ila imekula kwetu
Tutalia sisi mpaka tukome