Mtazamo wangu: Urafiki wa kawaida kati ya muislam na muislam una mashiko ya kweli kuliko urafiki wa mkristo na mkristo mwenzie

Wanaojiitaga Wakristo wengi wao ni roho mbaya ndio maana Huwa wanavurunda kwenye Uraisi na kuharibu maisha ya watu.
Koran
5;51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki...... 9;23. Enyi mlio amini! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani....
 
πŸ˜‚πŸ˜‚wakristo ndo wakina Nan? hao ni manaswara ambao baadae waliomfuata Paulo wakaitwa wakristo na wengine wakawa washirikina.

Ina maana hatuko radhi kufuata Mila zao.
 
Muogope Mungu wako kwanini unadanganya hapa kiasi hiki? Nilini wewe umewahi kuwa mkristo?
 
sio wakristo tu mpaka baba na ndugu Yako Allah kakataza kufanya urafiki nae kama sio muislamu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚wakristo ndo wakina Nan? hao ni manaswara ambao baadae waliomfuata Paulo wakaitwa wakristo na wengine wakawa washirikina.

Ina maana hatuko radhi kufuata Mila zao.
Rudia kusoma ulichokiandika
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ndo maana nikakuambiwa huelewi kasome kisa Cha Abu lahab na uhusiano wake na Mtume ndo utajua watu hawana mchezo..

Kasome surah Al Masad.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ndo maana nikakuambiwa huelewi kasome kisa Cha Abu lahab na uhusiano wake na Mtume ndo utajua watu hawana mchezo..

Kasome surah Al Masad.
Koran
9;23. Enyi mlio amini! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani....
 
Duh, "kristo alituhusu ukweli na uongo vichangamane"
 
SISI WAKRISTO UPENDO NI AMRI. LAZIMA UMPENDE MWENZIO/JIRANI YAKO KAMA NAFSI YAKO.

Kama huna upendo wewe ni MKRISTO jina full stop.
 
Ukisoma historia ya dini, Issa sio Yesu. Ni obvious hilo liko wazi.

Ni waislamu walijaribu kutaka kuhusisha uislamu na yesu angalau kutafta relevance ila ukisoma Quran na Biblia ni vitabu vimeandikwa na viumbe 2 tofauti.

Haiwezekani Mungu akamtuma Yesu aje kufundisha habari njema za upendo na kupendana, msamaha na kusameheana, kujaliana, kutokulipa kisasi kua na huruma nk halafu ghafla Mungu akamtuma Mohamed aje kutangaza mauaji, kuua watu, kubaka watoto, kulawiti watu nk.

Mungu wa kwenye Quran ni Mungu ambae kama amechanganyikiwa, yuko very frasturated, amevurugwa na maisha, amejaa visasi, hana huruma, hana msamaha, God of no mercy. Mungu wa kulazimisha watu wakubaliane na hoja zake za kitaahira ukikataa anataka uuwawe nk.
 
Koran
9;23. Enyi mlio amini! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani....

Ukiachana na ayah hiyo Qur an 5:51 inasomeka kama hivyo hapo juu

Kundi la manaswara lililomfuata Paulo ndo likaitwa wakristo.
 
Muogope Mungu wako kwanini unadanganya hapa kiasi hiki? Nilini wewe umewahi kuwa mkristo?
Dini itapendwaje au itaelewekaje kama hawajakuwepo waumini kama hawa?

Mwenzako hapo anafanya ibada hicho unachosema ni uwongo yeye ameshachukua point kesho anataraji kitampeleka peponi.
 
Labda kama sijaelewa

Kwa maisha haya ya Tanzania hakuna awezae kufanya tathmini ikawa correctly kwamba watu fulani wanasaidiana sana watu fulani hawasaidiani labda kwa vitu vidogo vidogo kama huko kwenye harusi ila changamoto serious za maisha huo ukweli haupo!

Mgonjwa alazwe Muhimbili bill ije 2mill useme dini fulani walilipa dini fulani hawakulipa?umeona wapi!hoja ingekuwa ni familia za ukanda fulani(inaleta sana ukakasi kuzungumza mambo ya kikanda) zinashikamana wakati wa matatizo bila kujali dini mada ingeleta maana,nina rafiki early 2012 mkewe alipata cancer ya ziwa akaitisha kikao cha watu wa kwao zikachangwa hela mke akapelekwa India leo mzima.

Dini eg;mimi Mkristo natenda mema kutokana na huruma niliyo nayo pia zingatia kipato same to Muislam nae anatenda wema kwa huruma aliyo nayo na kipato chake na yupo mtu haabudu chochote ila ana huruma na anasaidia watu,binadamu wote (ukiondoa hizi imani tulizopandikiziwa) aut'cally tumeumbiwa hisia dini zote wapo wanaoletewa taarifa ndugu zao au jirani zao wanakufa kwa kukosa dawa ambazo wana uwezo wa kuzinunua na hawachukui hatua na wapo wanaochukua hatua.

NB;tusijisahaulishe kwamba haya yote yatafanyika kwa kuzingatia vipato vya wahusika na mioyo yao ya utoaji.
 
Hey tobaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…