Mtazamo wangu: Urafiki wa kawaida kati ya muislam na muislam una mashiko ya kweli kuliko urafiki wa mkristo na mkristo mwenzie

Labda kama sijaelewa

Kwa maisha haya ya Tanzania hakuna awezae kufanya tathmini ikawa correctly kwamba watu fulani wanasaidiana sana watu fulani hawasaidiani labda kwa vitu vidogo vidogo kama huko kwenye harusi ila changamoto serious za maisha huo ukweli haupo!

Mgonjwa alazwe Muhimbili bill ije 2mill useme dini fulani walilipa dini fulani hawakulipa?umeona wapi!hoja ingekuwa ni familia za ukanda fulani(inaleta sana ukakasi kuzungumza mambo ya kikanda) zinashikamana wakati wa matatizo bila kujali dini mada ingeleta maana,nina rafiki early 2012 mkewe alipata cancer ya ziwa akaitisha kikao cha watu wa kwao zikachangwa hela mke akapelekwa India leo mzima.

Dini eg;mimi Mkristo natenda mema kutokana na huruma niliyo nayo pia zingatia kipato same to Muislam nae anatenda wema kwa huruma aliyo nayo na kipato chake na yupo mtu haabudu chochote ila ana huruma na anasaidia watu,binadamu wote (ukiondoa hizi imani tulizopandikiziwa) aut'cally tumeumbiwa hisia dini zote wapo wanaoletewa taarifa ndugu zao au jirani zao wanakufa kwa kukosa dawa ambazo wana uwezo wa kuzinunua na hawachukui hatua na wapo wanaochukua hatua.

NB;tusijisahaulishe kwamba haya yote yatafanyika kwa kuzingatia vipato vya wahusika na mioyo yao ya utoaji.
Hii nimeweka bayana ya kuwa ni mtazamo wangu, na wewe ruksa kusema uonavyo wewe
 
Umekutana na waislamu wasio mtii Allah

Allah anasema
5;51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki...... 9;23. Enyi mlio amini! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani....
 
Naomba muelewe tofaut ya ushirikiano na ubaguzi...
 
Kwa sababu Ukristo umeruhusu Ukweli na Uongo kuchangamana.
Na aliyeruhusu hayo ni Kristo mwenyewe.

Ni ngumu kumuamini Mkristo hata kama ameshika dini Kwa sababu ya Kanuni hiyo hapo juu. Lakini ni rahisi kumuamini Muislam aliyeshika Dini. Kwa sababu uislam haujaruhusu ukweli na Uongo kukaa pamoja.
Mimi siku zote naamini wewe muhaya ni taahira na unajifanya mjuaji sana ni sehemu gani Yesu aliruhusu uongo mpumbavu wewe?
 
Mathayo 13:
24 Yesu akawaambia mfano mwingine, akasema: “Ufalme wa Mbinguni unaweza kufananishwa na mtu aliyepanda mbegu nzuri katika shamba lake.25Lakini wakati kila mtu alipokuwa amelala, adui yake akaja na kupanda magugu katikati ya ngano, akaenda zake. 26Ngano ilipoota na kutoa masuke, magugu nayo yakatokea.
27 “Watumishi wa yule mwenye shamba wakamjia na kumwambia, ‘Bwana, si tulipanda mbegu nzuri shambani mwako? Basi, magugu yametoka wapi?’
28 “Akawajibu, ‘Adui ndiye alifanya jambo hili.’
“Wale watumishi wakamuuliza, ‘Je, unataka twende tukayangʼoe?’
29 “Lakini akasema, ‘Hapana, msiyangʼoe, kwa maana wakati mkingʼoa magugu mnaweza mkangʼoa na ngano pamoja nayo. 30 Acheni ngano na magugu vikue vyote pamoja mpaka wakati wa mavuno. Wakati huo nitawaambia wavunaji wayakusanye magugu kwanza, wayafunge matita matita ili yachomwe moto; kisha wakusanye ngano na kuileta ghalani mwangu.’ ”

Ukimaliza kusoma hiyo Aya kanywe chai ya tangawizi Akili itulie kisha utafakari.
 
kwahiyo wapi Yesu amefundisha uongo hapo wewe mwehu?
 
Wewe ndio mwehu wa kimataifa.
Unajitungia maneno yako Kutokana na Akili yako kuwa ndogo kama mtoto wako, alafu unaniwekea Mimi.

Labda nikuulize, wapi nimesema Yesu amefundisha Uongo?
Pengine umekunywa chibuku Huko ndio unakuja kuandika humu
 
Watoto wa zinaa muna tabu sana wewe si umesema Yesu alifundisha uongo?
 
Back
Top Bottom