Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Tuanze na hivi vitu viwili, kwanza:-
Ajira za kudumu zifutwe, na badala yake zipewe mikataba ya miaka 10
Ajira za kudumu zifutwe, na badala yake zipewe mikataba ya miaka 10
- Hii itasaidia idadi ya watu wengi kuajiriwa
- Wengi watakula keki ya taifa
- Itaongeza ubunifu na ujenzi wa viwanda
- Sekta binafsi zitakuwa kwa kasi
- Uchumi utakuwa kwa kasi n.k
Watu waajiriwe kwa 'shift', na mshahara waweze kugawana.
- Hakuna umuhimu wa mtu mmoja, mfano kulipwa milioni 4, wakati hiyo nafasi inaweza kushikiliwa na watu wanne na wakawa wanalipwa milioni 1 kila mmoja.
- Hii itaongeza watu wengi kuajiriwa, na hatimaye kupata mitaji.
- Itaongeza ufanisi katika uzalishaji
- Ubunifu wa viwanda n.k utakuwepo
- Itapunguza idadi ya watu kukesha maofisini kwa masaa ya ziada.
- Itamsaidia mfanyakazi kutumia muda mchache kwa mwajiri, na kupata muda wa kutosha wa kuanzisha viwanda n.k
Tukianza na hivyo vitu viwili, njia ya mafanikio itaonekana.
Karibu kwa mjadala.
Karibu kwa mjadala.