This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Unajihami kwelikweli. Hebu tupe jibu usajili bomba km mnavyosema wana utopolo lkn goli ni moja tu.Maswali ya kina Shafii na Oscar Oscar haya! Mwisho wa siku mtaishia kuuliza kwa nini timu yenu kila mechi inashinda goli moja moja tu?
Goli moja ndiyo kiwango cha Misukule na dunia nzima na kila mtu anajua hilo.
Utopolo Ni Utopolo tu . Mechi na Simba ikiisha mnarudi kwenye uhalisia wenu.
Ila labda kwa mbinu mliyokuja nayo ya kumwaga bonasi kwa timu zingine kuikamia simba ,na kujeruni wachezaji, huenda mkafanikiwa kuwatuliza fans wenu.
Yote hii GSM anataka kutuliza upepo kwasababu Utopolo wasipochukua kombe tena hataeleweka.Hivyo hii Ni kufa na kupona.
Ila ubingwa msimu huu pia mtausikia tu!