Mtembea kwa miguu aliyegongwa na basi la mwendokasi atolewa ICU

Mungu ni mwema. Na apone maana alikumbwa katika ajali ambayo ilikuwa haimuhusu kabisa!!!
 
Kila mja huenda kwa wakati wake...bado anakitu cha kufanya duniani..Mungu ni mkubwa.
 
Ningekuwa mimi jamaa badala ya kukimbilia upande wa kushoto kwenye ukuta ningekimbia kulia barabarani. Yani kwenye manzingira kama haya maamuziya haraka sana yanahitajika.
 
Mtembea kwa miguu!! CHADEMA kama kawaida yao walisema amesagwasagwa na kufa. Hiki chama kinapenda sana vifo
Nape yeye alisema "Sasa bahari imetulia hali ni shwari, Mungu amemaliza ugomvi wetu tarehe 17 Machi 2021". Wewe bado unataka kuturudisha huko tena?
 
Mungu aendelee kumpa afya na uzima
 
Yaani kifo kilimfuata live ila kasalimika Mungu akiwa kazini hakuna linaloshindikana
 
Ningekuwa mimi jamaa badala ya kukimbilia upande wa kushoto kwenye ukuta ningekimbia kulia barabarani. Yani kwenye manzingira kama haya maamuziya haraka sana yanahitajika.
He did the best he could, yaani hapo ungekimbilia barabarani tena? Na kumbuka gari dogo liliburuzwa barabarani Wala hata usingetoboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…