Mtembea kwa miguu aliyegongwa na basi la mwendokasi atolewa ICU

Mtembea kwa miguu aliyegongwa na basi la mwendokasi atolewa ICU

Ndugu zake wameombwa wajitokeze kusaidia kumuuguza na kumfariji
Huo ni mtegooooooo
Msiende acheni apone kwanza mtadaiwa milioni tano muone bora angetembea
 
Ndugu zake wameombwa wajitokeze kusaidia kumuuguza na kumfariji
Huo ni mtegooooooo
Msiende acheni apone kwanza mtadaiwa milioni tano muone bora angetembea
Nafikiri matibabu yake yaghahramiwe na Bima ya gari kama inafaa au na serikali
Anaonekana kuwa mtu wa kawaida sana hivyo gharama kubwa za matibabu zinaweza kuwa changamoto kwake kulipa
 
Usikute wamemtoa ICU haraka kuepuka gharama za kumuuguza, mbona kashindwa kutaja majina mawili.
 
Mwanzo alikuwa anaitwa Ismail ,leo anaitwa Osam jina la pili alikumbuki lakini Mvungi anasema kwamba afya imeimarika anaendelea vizuri.

Kifuatacho ITV .............Sanaa na Wasanii kila jumamosi saa moja usiku.

Jina lake kamili ni Osam Milanzi, anaishi midizini manzese.
 
Back
Top Bottom