Mtembea Kwa Miguu toka Kigoma ni Mkweli?

Mtembea Kwa Miguu toka Kigoma ni Mkweli?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Jana Ijumaa Kipindi cha michezo Mshike mshike saa 3:30 usiku kiliripoti kuwa hiyo jana Ijumaa alikua amefika Morogoro sasa leo Jumamosi hii saa 6:12 nipo hapa Kijiweni jamaa wanaongea kuwa eti mkimbiaji keshafika yupo Uwanjani Kwa Mkapa.

Kinachoshangaza ni muda alioutumia toka Morogoro hadi hapa Dar es salaam Temeke, hivi ni kweli huyu bwana amekimbia au kuna sehemu alikua anadandia malori?

Kigoma kiumbali ni habari ingine sio Tanga.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Angetangaza kuwa anakimbia kwa ajili ya kuwachangia watoto yatima au vipofu angetengeneza heshima zaidi na angekusanya hela nyingi kila sehemu

Ila eti nakimbia kwenda kuangalia mpira sioni sababu ya maana hapo
Charity ni bora zaidi
 
Mimi kinachinishangaza zaidi licha ya kukimbia umbali wote huo eti anakuja kuishangilia Uto ya akina Sarpong 😀
 
uto ni choka mbaya hadi nauli tu ya treni kakosa
 
Back
Top Bottom