ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Jana Ijumaa Kipindi cha michezo Mshike mshike saa 3:30 usiku kiliripoti kuwa hiyo jana Ijumaa alikua amefika Morogoro sasa leo Jumamosi hii saa 6:12 nipo hapa Kijiweni jamaa wanaongea kuwa eti mkimbiaji keshafika yupo Uwanjani Kwa Mkapa.
Kinachoshangaza ni muda alioutumia toka Morogoro hadi hapa Dar es salaam Temeke, hivi ni kweli huyu bwana amekimbia au kuna sehemu alikua anadandia malori?
Kigoma kiumbali ni habari ingine sio Tanga.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app