Uongo mkubwa!Wakati Legend Mirambo anapambania uhai wake kwa kulishwa kichwa cha mbwa, Legend MKWAWA alikua anakunywa supu ya mbwa tena supu ya kichwa.
Yote kwa yote nimejifunza kitu kipya, shukrani mlugaluga
Tupe na historia ya Zimbabwe pia.Habari zenu wakuu.
Kumekuwa na upotoshaji mkubwa wa historia hasa linapokuja suala la uwezo wa Mwafrika kutokupewa sifa zinazotakiwa kama ilivyo kwa hayati J.K. Nyerere na Nelson Mandela. Afrika inaaminishwa Mandela ni zaidi ya Nyerere hiki ni kituko.
Kuna hili pia la Chief Mirambo na chief Mkwawa eti sifa kubwa anapewa Mkwawa ili tumuone ndio shujaa wetu na pia alipambana akashindwa na wazungu. Nadhani wanataka kutujengea mazingira ya kuwasujudia na kuwaogopa. Itawezekanaje uniamnishe shujaa wangu wa kuigwa ni yule aliyepigwa wakati kuna waliopiga?
Baada ya kuifatilia historia ya mtemi Mirambo a.k.a. Napoleon wa Afrika kama alivyojulikana na wazungu nimegundua kuna upotoshaji mkubwa wa historia.
Chief Mkwawa japo naye si haba ila kwa chief Mirambo hatii mguu hata kucha.
Nguvu za jeshi la Mirambo kwa Afrika mashariki alikuwa hana wakumlingasha. Ndiye aliyetawala eneo kubwa kuliko machief wengine. Tabora mpaka Kigoma eneo lake lilipakana na ziwa Tanganyika japo aliona haitoshi akaingia mpaka Burundi akapiga himaya ya Urundi akasambaratisha.
Wakati Mkwawa anasilaha za jadi kabla hajaletewa bunduki moja na Mwarabu, Mirambo alikuwa anatengeneza bunduki yeye mwenyewe na alimiliki jeshi lilikowa na active personnel zaidi ya 10000.
Hapakuwa na cha mzungu wala mwarabu aliyeleta fyoko kwenye himaya yake aliua kama anau panzi tu ikabidi wafate masharti yake kila wanapopita kwenda Zambia na Kongo walimlipa kodi kwa kuikanyaga ardhi yake huna kodi mzigo wote unabaki na kuwa mali yake.
Wafipa walijichanganya hawakumjua vizuri kichwa chake kikoje. Huyu jamaa alikuwa hana masihara kabisaa!
Wazungu baada ya kubanwa sana waliomba nguvu ya jeshi kutoka kwa sultan wa Zanzibar wakimwambia kwamba Napoleon wa Afrika anataka kuiharibu biashara yako kwakuwa ndiye alikuwa mnunuzi mkubwa wa pembe za ndovu na watumwa kutoka Zaire na Zambia.
Sultan akatuma askari 3000 kuja kuongeza nguvu kwa wazungu wakishirikiana na jeshi la snitch wa Mirambo alikuwa anaitwa Chief Mkasiwa. Jamaa walinyoosha mikono sultan akaona anamaliza watu wake akaamuru jeshi lake lililosalia lirudi Zanzibar haraka walikuwa wamebaki 1500 ndio waliokuwa wamesalimika na jeshi la awali la Mtemi Mirambo lililokuwa likiitwa Luga Luga (walugaluga).
Mtemi Mirambo alikuwa na majeshi matatu ambayo aliyapanga kwa ubora kutoka la kwanza hadi la tatu. Jeshi kali kabisa lenye mafunzo na uwezo wa juu kabisa liliitwa Abaoko kama sijakosea herufi.
Sasa Mkwawa aliuza mali zake kwa Mwarabu pembe za ndovu na kuletewa nguo Mirambo hakuuza mali zake bali alichukua za wazungu walizokuwa wamekusanya sehemu mbalimbali.
Mirambo alichukua watumwa kutoka mikononi mwa wazungu na waarabu na kuwasajili kwenye jeshi lake. Yaani unapomtaja Mirambo jua unataja habari kubwa.
Sasa historia za namna hii zinafichwa na kuoneshwa historia dhaifu ya kumtukuza mzungu kuwa ni bora.
Mtemi Mirambo alifariki kwa ugonjwa wa rovu miaka ya 1880.
Nimeweka hapa kwa kifupi sana. Kwa mwenye interest anaweza kufatilia ahakikishe mwenyewe.
MAGUFULI4LIFE.
Hiki kinaitwa niniTupe na historia ya Zimbabwe pia. View attachment 1633485
Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
Livingstone na John Speke hawatokuelewa walichokiona.. Mana waarabu walijichanganya wakataka kumvamia wakati alishawaacha aliingia kambi Yao piga watu wote akawaacha wazungu maana hakuwa na beef nao huo wakatiMirambo badooo sana kumuwekea battle na mkwawa. Kwa wasiojua hadi leo kuna medan ya kivita aliitumia mkwawa kijj cha LUGALO kwenye battle na kamanda VON ZELEWSKY, tactic hii inatumiwa na kufundshwa pia na JWTZ.. hadii leo staitaji ni siri za jeshi..So miramboo hakuwaa genious kuliko mkwawa...big no . Japo naweza kukubali geographically mirambo alikuwaa na sehem kubwaa with lillte resistance.
Hapa naona mnaleta ego kubwa each one alipigana vita yake kwa ustad mkubwa.. Hakuna kiongozi after ukoloni anayeweza kuwafika hata robo ya Hao miamba ya mkwawa na Mirambo hamna aliyebora ya mwenzake wote ni majembe sanaNi kuna mnyamwezi mmoja tu....
Ameamua kulisifu kabila lake ( si vibaya, kama hutobagua wengine).
Mirambo hasimami sehemu moja na Mkwawa kamweee.....
Kama ni kodi kwenye misafara, mkwawa pia alitoza...
Kama ni ujasiri wa Ajabu, Mirambo hatoshi kwa mkwawa.
Ila tujiulize ni lini Mirambo aliwashinda wazungu ( Umesema walimuogopa, Si kweli na kamwe isingewezekana Eti mjerumani Super power wa Dunia amuogope Mirambo).
Uliwahi fikiria Resistance ya miaka nane dhidi ya wazungu ( Resistance ya mkwawa ilikuwa ni 8 yrs).
Si bure wazungu wachukue kichwa chake, wakipeleke makao makuu lazima kuna Namna.
Kwenye eneo lake ( Mirambo) kulikuwa na Chief mwingine pia ( huyo snitch) hii ni ishara kuwa alikuwa weak Sana na alipenda kujitwalia maeneo makubwa yaliyokaliwa na wachovu.
Waangalie wahehe waleo ( itikadi zao) na wanyamwezi, ndio utajua kuwa yupi alikuwa imara.
Huo ni ushahidi tosha kwamba hao Wazungu unaosema hawakuleta fyokofyoko ni Wazungu ambao hawakuwa na jeshi wala dola na ndio maana wakaomba msaada kwa Sultani...Wazungu baada ya kubanwa sana waliomba nguvu ya jeshi kutoka kwa sultan wa Zanzibar wakimwambia kwamba Napoleon wa Afrika anataka kuiharibu biashara yako kwakuwa ndiye alikuwa mnunuzi mkubwa wa pembe za ndovu na watumwa kutoka Zaire na Zambia.
Man, sio kwamba tunawasujudia Wazungu lakini uhalisia sio rahisi kama unavyodhani! Kudai kwamba endapo asingekufa mapema huenda bado Afrika Mashariki ingekuwa moja unamaanisha Mirambo angewashinda Wajerumani kivita!!!Bila kufa mapema Chief Mirambo huenda mpaka sasa Afrika mashariki ingekuwa nchi moja.
Kifupi Mirambo alikuwa mpingaji wa biashara ya watu. Mzungu sio tu kulipa kodi kwa wananchi wa Mirambo, alikuwa akifanya fyoo mali zote zinachukuliwa na Mirambo.
Wakati amewaelemea na waarabu wa sultan kuamua kurudi tayari chief Mkasiwa alikuwa mikononi mwa Mirambo ila Mirambo haikujulikana kwanini aliamua kumuacha salama. Ila tayari alikuwa kakamatwa kama kuku na wakumsaidia Mkasiwa hakuwepo.Kwahiyo huyo Mirambo chamtoto tu kama alishindwa kumsambaratisha huyo Cheif mwenzake snitch wa Tabora
Huyu mkwawa huyu aliyeteka bunduki akazichimbia stop hadi wajerumani waliporudi na kumpiga na kukuta bunduki zao ziko sawa kwa idadi kwa ujinga huo lzm Mirambo Ni zaidi.Umekuza sana story za Mtemi Mirambo.
Jamaa alikuwa mtemi wa kawaida sana, ila alikuwa anajimwambafai kama Magufuli.
Hivi unajua Mirambo ndio mtemi maarufu aliyekuwa akipenda hongo?
Hivi unajua Mtemi Mirambo alikuwa mfanyabiashara maarufu wa watumwa kwa huku bara?
Hivi unajua Mtemi Mirambo alikuwa mtemi aliyekuwa na mikataba mingi zaidi ya kibiashara za kilaghai ambayo alifanya na waarabu, wajerumani.
Kuhusu Mtemi Mkwawa hiyo ni level nyingine kabisa. Misimamo yake isiyoyumba, nidhamu ya askari wake na mbinu za medani za kivita alizokuwa nazo, mpaka leo hii wajerumani wanampigia saluti.
Kama hujui tu, Mkwawa aliwachinja mpaka wamisionari wa kizungu waliofika kwenye himaya yake ambao kiasili walikuwa hawaguswi maana enzi zile walionekana kama wajumbe wa amani (malaika!).
AhahahahaWakati amewaelemea na waarabu wa sultan kuamua kurudi tayari chief Mkasiwa alikuwa mikononi mwa Mirambo ila Mirambo haikujulikana kwanini aliamua kumuacha salama. Ila tayari alikuwa kakamatwa kama kuku na wakumsaidia Mkasiwa hakuwepo.
MAGUFULI4LIFE.
Yaani ilibidi wachukue kichwa kwa ajili ya uchunguzi... Kwamba huyu jamaa alikuwa Mwafrika halisi au...Battle ya miaka nane mzee! Vita ya France na Germany (Franco-Prussian war) ilidumu kwa mwaka mmoja tu! (1870-1871). Hata vita za dunia hazikudumu miaka yote hiyo ambayo Mkwawa alimhenyesha mjerumani!
Si bure walitwaa kile kichwa chake wakipeleke kwao.
Ni mwana "MAGUFULI 4 LIFE" mwenzako huyo... si unajua nyie majamaa mlivyo waongo!!! Yaani jamaa bila aibu anamshusha Mkwawa simply because alishindwa vita bila kuangalia Mkwawa alishindwa vita dhidi ya nani, na huyo Mirambo alikuwa anashinda vita dhidi ya nani!!!Historia ya Mkwawa inajulikana hapo juu. JF kwa majungu wanangoza yaani mtu anatunga uongo hadharani. Kongoli hapo juu upate ukweli.
Mkuu usipotoshe historia. Mtemi Mkasiwa ndiye alikuwa anauza watu wake na ndiye aliye wakaribisha waarabu Tabora. Kuhusu Napoleon wa Afrika ni bahari kubwa usisikilize propaganda mkuu. Mtemi Mirambo akisikia unauza watu kama watumwa anakuja kukupiga nakuchukua himaya yako inakuwa yake. Ndicho kilichomfanya Mtemi Mkasiwa kuwaalika waarabu aishi nao akimuhofia Mtemi Mirambo.
Hiki nacho kieleza sio propaganda za Magumashi. Ndio ukweli 100%.
MAGUFULI4LIFE.
Mkuu hatumbezi Mkwawa ndio maana kuna aya nilisema naye si haba ila kwa Mirambo Mkwawa hagusi. Mirambo aliua wamisionari wawili na hakuna mzungu aliyeenda kuhoji. Jamaa hakuwa na maneno mengi. Jinsi alivyo fanya Mirambo ingewekwa wazi watanzania wote wakajua hakuna mtanzania ambaye angemuogopa na kumsujudia mzungu.Uwezo wa Mowawa sikudhani kama unaweza kubezwa kiasi hiki, Mkwawa alikuwa mtu na akili nyingi sana katika utawala wake, inasemekana Mkwawa angekuwa hai basi kusini mwa Tanzania yote ingekuwa yake.
Isike baada ya kuogopa kupigwa na Mkwawa basi akamtoa binti yake aje kuolewa na Mkwawa ili asishambuliwe na huyo binti alikuwa anaitwa Sekilonge, Mkwawa hakuwa anafanya biashara ya watumwa ila alikuwa anatoza kodi kwa kila mtu anayepita kwenye himaya yake, mpaka hiyo njia ya biashara ya kwrnda Tabora Mkwawa pia alikuwa anaishikiria na ndicho chanzo cha wajerumani kukasilika zaidi. Si hivyo tu mkwawa alikuwa Mwanadiplomasia mzuri maana aliwahi kutuma ujumbe wa kwenda kujadiliana na wajerumani japo wajerumani waliwauwa wajumbe wale. Mkwawa inasemekana katika maongezi yake yeye alisema kabakiza vita moja tu nayo ni ya wamasai
Aliyeuwa wanajeshi akiwemo kamanda mkuu Von nzelewsky na aliyeuwa wamisionari wasio hata na kisu nani anatakiwa kuohopwa hapo?Mkuu hatumbezi Mkwawa ndio maana kuna aya nilisema naye si haba ila kwa Mirambo Mkwawa hagusi. Mirambo aliua wamisionari wawili na hakuna mzungu aliyeenda kuhoji. Jamaa hakuwa na maneno mengi. Jinsi alivyo fanya Mirambo ingewekwa wazi watanzania wote wakajua hakuna mtanzania ambaye angemuogopa na kumsujudia mzungu.
Wewe unasema Mkwawa angechukua kusini yote ya Tanganyika wakati Mirambo kachukua Shinyanga,Mwanza, Kagera, Kigoma na Burundi yote.
MAGUFULI4LIFE.
Habari zenu wakuu.