Mtemi Ng'wanamalundi (Mwanamalundi) - Yesu wa Afrika?

Ahsante kwa hadithi.

Prof wa sanaa za maonesho, drama na Fasihi ya Kiswahili Prof, Emmanuel Mbogo aliiandikia Tamthilia 'Ngoma ya Ng'wanamalundi'.

Katika Tamthilia hiyo iliyojaa sihiri na vitisho vya kusisimua kabisa, mwandishi anampa msomaji burudani tele iso na kifani iliyosheheni mafunzo na mafundo.

Siyo kitabu cha kukosa, zaidi sana nimejifunza jambo moja kubwa "kutanabaisha fikra ni mwendo wa kobe". Lakini nimshukuru zaidi kwa kuweza kuninywesha chai ya rangi kwani nimeweza kuondoa kibanzi kimoja ndani ya macho ya fikra yangu.

Wakati tunazidi kujijengee utamaduni wa kusoma vitabu basi Maktaba yako isikose kitabu hiki.

Asalaam.
 
Unaonaje utawala wa kijerumani wa wakati ambao haukutaka kukosolewa na wasasa wa Magufuli unaƴe mshaɓikia?
 
NG'WANAMALUNDI ALIKUWA EGWUGWU WA WASUKUMA KAMA OKWONKO ALIVYOKUA EGWUGWU WA UMUOFIA!


.........................REFER 'THINGS FALL APART' BY CHINUA ACHEBE!
 
Mkuu itaendea lini?
 
Inakauka na kuchipua kila 30min? Hadi leo?
 
Hakufufuka?
 
Kwa yeyote mwenye kujua wapi naweza kupata kitabu au documentary ya huyu mtu kwa namna yoyote anisaidie Tafadhali.
Natanguliza shukrani
 
Nikiwa mdogo niliamini kila kilichokuwa kimeandikwa ndani ya kitabu hicho. Baada ya kukua na kupata uwezo wa kuchambua mambo nikagundua kwamba mambo mengi yaliyomhusu huyo Mwanamalundi. Eti kuna sakati alielekeza kidole upande fulani na miti yote mibichi liyokuwa upande huo ikakauka na kuwa kuni!
 
ushaandika au bado?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…