Mtemi Ng'wanamalundi (Mwanamalundi) - Yesu wa Afrika?

mwengine alikuwa anaitwa Mawombekelo, huyu alikuwa alikuwa na uwezo wa kujaa ndani pindi anapogundua pombe anayokunywa ni tamu, kama ndani kuna watu wengi anajaa peke yake chumba kizima.

duh
 
There will be any no any exception to compare Jesus with some Sukuma Magician whom his existence can not be concretely be established

huyo Jesus existence yake ni concretely established?
 
Manju maarufu wa Kisukuma

1.Ng'wana malundi

2.Gindu nkima

3.Ng'wana Dudila

4.Inaro

5.Sumbi

6.Ng'wana Kawa

7.Igong'wa shu

8.Madebe

9.Inaga

10. Etc
 
Kitendo cha kuwa na picha zinazohusiana na uzi ulouanzisha alafu ukaamua kukaa nazo bila kuambatanisha ni uchoyo uliyobarehe mkuu
 
Mkuu umeongea kwa uchungu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasemekana Mwanamalundi alikua ni msukuma kutoka Shinyanga ama Mwanza,alifanya mengi ya ajabu kwa nguvu za kichawi,alikamatwa na serikali ya kikoloni na kuletwa Dar es salaam,akafungwa Gerezani,alitoroka kichawi, akawa akionekana mitaani,akakamatwa tena ,safari hiyo alipelekwa kisiwani Mafia akawekwa kizuizini,lakini siku iliyofuata alionekana akikata mitaa ya Dar.

kulikua kuna kitabu kinachomhusu mtu huyu,sasa sijui kama ni hadithi ya kweli ama la,
Naomba kujua kama kuna yeyeote anaweza kuelezea vizuri habari za mtu huyu.
 
Habari wakuu,

Growing up, I herd alot of tales about the so called mwanamalundi. Alikua ni binadamu mwenye uwezo mkubwa na wakufanya miujiza mbalimbali.

Nasikia alikua ana uwezo wa kupotea kimiujiza hata mwezi mmoja bila kujulikana halipo halafu mnashangaa ghafla yuko nyumbani kwa mama yake.

Naomba wenye habari zaidi ya huyu mwamba aweze kutujuza...
 
Ungeingia hata youtube tu .. utapata a b c..
 
Walikuwa na miujiza kama ya manabii ila kwa kuwa alizaliwa Afrika walimchukulia kama mchawi tu.mfano alinyoosha kidole kwenye miti ambayo hai na kukauka ili wake wake akate kuni.
Mengine kesho
 
Walikuwa na miujiza kama ya manabii ila kwa kuwa alizaliwa Afrika walimchukulia kama mchawi tu.mfano alinyoosha kidole kwenye miti ambayo hai na kukauka ili wake wake akate kuni.
Mengine kesho
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kama mchawi
 
Nasikia eti wazee wa zamani ilikuwa akitaka kwenda safari ya mbali anapanda eneo lililoinuka kisha anafumba macho ile kufumbua kasharuka mlima hadi mlima unaofuatia. Yaani safari ya say, Dar mpaka Arusha anaweza fika kwa hatua kama kumi tu ...nani mwingine kasikia haya ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…